Ruto anaonyesha kila dalili za kuja kuwa Kama Magufuli

Atakuwa dictator zaidi ya Magufuli. Nimesikiliza hotuba zake, naona viashiria vyote vya tabia za Magufuli. Wakenya watajuta kutomchagua Raila kwani ndio hasa baba wa demokrasia ya Kenya.

Binafsi sikumchagua, ila pona yetu ni katiba, hawezi kupata jeuri ya kufanya hayo ya Magufuli maana katiba inambana sana, hata rais Uhuru alianza kwa mihemko ila akakatwa mbawa na katiba mpaka akanyooka.
 
Hapo labda, uzuri hapo Kenya nyie wakenya mna uwezo wa kuingia barabarani kupambania katiba yenu iheshimiwe. Hapa kwetu katiba inavunjwa wazi wazi na hakuna lolote wananchi tunafanya.
 
Halafu mbona Ruto sio Mkikuyu? Mgombea wa Uhuru ambae ndio Kiongozi wa hao Wakikuyu alikuwa Odinga

Sasa kama walikataa chaguo la Uhuru ambaye ndio mkikuyu mwenzao wakachagua Ruto wa kabila tofauti utasemaje ni wakabila?
Wapi nimesema Ruto ni mkikuyu? Nilichosema Wakikuyu hawako Radhi kumpigia Mjaluo hata asingegombea Ruto Bado wangempa hata Waihiga au Wajackoyah kuliko Odinga!!

Maana Odinga angepata walau 30% ya kura za Wakikuyu angekua ikulu. Ndio maana hata wajimbo mengi ameshinda Odinga sababu anakubalika nchi nzima tofauti na Ruto ambaye Central Kenya/Rift Valley pekee ndio imempa Urais kwingine kote hakubaliki. Such ukabila hauna afya kama wanataka kiongozi makini.
Angalia hii ramani then uone nachojaribu kusema.
 
Uko sawa 100%
 
Halafu mbona Ruto sio Mkikuyu? Mgombea wa Uhuru ambae ndio Kiongozi wa hao Wakikuyu alikuwa Odinga

Sasa kama walikataa chaguo la Uhuru ambaye ndio mkikuyu mwenzao wakachagua Ruto wa kabila tofauti utasemaje ni wakabila?
Raila ni mjaluo na Ruto ni mkalenjin kabila la Moi. Ukabila wa kenya wanataka rais awe mkikuyu au mkalenjin.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hao Wajaluo walishawahi kumpigia nani kura zaidi ya Odinga? Huo sio ukabila?
 
Ogopa sana kiongozi anaeongoza kwa kujifanya ni muumini wa dini sana na vifungu kakariri au awe wa kijijini kama anavyosema, wengi wao hua ni madikiteta, with exception of Hichilema

Mark my words, huyu jamaa ni Moi ajaye
 
Kikuyu for life
 
RUTO ameanza kulipa VISASI
 
Sasa hao Wajaluo walishawahi kumpigia nani kura zaidi ya Odinga? Huo sio ukabila?
Ndio, 2003 kura ya Urais walimpigia Kibaki ilihali Mjaluo James Orengo aligombea ila alizidiwa kura na kibaki hapo hapo ujaluoni kitu ambacho mkikuyu hawezi fanya miaka 1000!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…