technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.
1 Updates. Rais Ruto amesema ataagiza mafuta urusi ambayo imewekewa vikwazo na Mataifa ya Magharibi kwa sababu ya Putin kuua watu wasio na hatia nchini Ukraine.
2 Update. Wakili aliyewahonga mashahidi waliotaka kutoa ushaidi kwenye mahakama ya ICC kuwa Ruto aliusika na mauaji ya watu wasio na hatia mwaka 2007 baada ya uchaguzi ameuwawa kwa sumu.