Ruto anaonyesha kila dalili za kuja kuwa Kama Magufuli

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania

Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.

Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.

Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.

1 Updates. Rais Ruto amesema ataagiza mafuta urusi ambayo imewekewa vikwazo na Mataifa ya Magharibi kwa sababu ya Putin kuua watu wasio na hatia nchini Ukraine.

2 Update. Wakili aliyewahonga mashahidi waliotaka kutoa ushaidi kwenye mahakama ya ICC kuwa Ruto aliusika na mauaji ya watu wasio na hatia mwaka 2007 baada ya uchaguzi ameuwawa kwa sumu.
 
Kenya wanakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania

Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.

Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Hotuba ya makamu wake tu inaonyesha hawana sifa za uongozi. Wamejaa visasi na chuki zisizo na sababu. Muda utaongea ila Wakenya watajuta kuendekeza ukabila.
 
Kenya wanakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania

Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.

Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
We Jaluo, ochionale!
 
Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania

Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.

Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.

Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.

Wenzetu wana magavana, mahakama huru, tume huru, bunge linalo jitegemea . Sasa umagufuli utatoka wapi? Lakini kapata chini ya 51% hiyo ni nchi ya demokrasia!
 
Back
Top Bottom