Kenya 2022 Ruto atashinda kesi, double agent kamuangusha Raila Odinga

Kenya 2022 General Election
Raila the Cash Cow wa
umengalia kwenye tv kweli leo? hiyo issue ya mvenezuela imewaaibisha kina raila vibaya na ndiyo chanzo ch uzi huu unless hukuelewa kwamba njoroge kawapa fake evidence wakaingia nayo front
View attachment 2343466
Bahati mbaya pia CJ kakataa report yao ya baada ya zoezi la kupekua server na baadhi ya ma box ya kura amesema report inayotambulika ni ile ya registrar wa mahakama na kwenye report ya registrar wa mahakama upande wa Odinga ulisema mambo yako sawa. Mzee watu wanakula pesa zake tu na kujipatia manufaa kisiasa
 

Unaleta hearsay unataka iwe kweli. Amos Wako ni seneta mstaafu huko busia, ana mamlaka gani ya kuingilia uchaguzi?. Halafu watabadilisha Nini wakati kila kitu kipo wazi.

Kenya sio Tanzania am ambapo akishinda upinzani Tume inafuta uchaguzi kwa msaada wa jeshi.
 
Jumatatu sio mbali mkuu, nitarudi kwenye huu uzi
 
Mkuu kusoma haujui hata picha uoni.
 

Attachments

  • Screenshot_20220902-214644_1.jpg
    54.5 KB · Views: 3
angewasubiri watu ambao walikuwa washakimbilia serena hotel walipowekwa siku kadhaa bila hata nguo za kubadilisha,unajua walikuwa wamepanga kumteka chebukati? katangaza muda sahihi kabisa ,kitakachotokea ni mkahakama kuu kutoa mapendekezo ya kuboresha system ya uchaguzi na tume ya uchaguzi
 
hahahahaha kwa taarifa yako wakikuyu weeeengi wamempa ruto hawataki mjaluo labda watu wa kisumu ndiyo watakunja, cha kwanza Ruto kaahidi kufanyia kazi ni kushusha bei ya unga, in few days akifanikisha hakuna atakumbuka ujinga wa Raila

Wakikuyu wamempa kura Ruto halafu amepata 50.5. basi mwaka huu mambo yalikuwa magumu. Uchaguzi uliopita Kenyatta alimzidi Odinga kwa kura milioni moja na wakikuyu walipiga kura hasa Hadi wagonjwa walibebwa kutoka mahospitalini.
 
kwani members wote wa baraza la usalama la kenya unawajua? chebukati kawataja kwamba walimtembelea saa 9 usiku kufosi kubadili matokeo na Tuju kakubali, hadi IGP kajipa likizo ya matibabu, wako hajakanusha madai mazito kama hayo sema wewe ndiye unakanusha kwa niaba yake
members kadhaa wa national security council walikuwepo akiwepo huyo state attorney wa zamani, amos wako
 
Wakikuyu wamempa kura Ruto halafu amepata 50.5. basi mwaka huu mambo yalikuwa magumu. Uchaguzi uliopita Kenyatta alimzidi Odinga kwa kura milioni moja na wakikuyu walipiga kura hasa Hadi wagonjwa walibebwa kutoka mahospitalini.
sasa ndo hivyo basi kambeba Raila mgongoni lakini wale wazee wa zamani wanakumbuka kiapo walichoapa mbele ya baba yake uhurumzeekenyata KWAMBA HAKUNA KUWAPA NCHI MAGOVI YASIYOTAHIRIWA YA KIJALUO
 

Mbona uchaguzi uliopita alishinda kesi uchaguzi ukafutwa?.
 
Mbona uchaguzi uliopita alishinda kesi uchaguzi ukafutwa?.
Haina shida tusubiri, uchaguzi uliopita dosari kubwa ilikua ni IEBC ilishindwa kuthibitisha matokeo ya kwenye vituo kwenye form 34A ni sawa sawa na yale waliyokuwa nayo kwenye national tallying center, pia walishindwa kutoa access ya server, round hii vyote hivyo vipo
 

Hapo uchaguzi ufutwe na Tume ivunjwe. Inaonekana Tume imepasuka na kila upande una mgombea wake.
 
Hiyo ndiyo sehemu pekee kenya iatakapotokea vurugu jumatatu baada ya Mungu wao raila kupigwa chini sababu kesi imeisha hakuna evidence yoyote ya maana waliyowasilisha ni vituko

Ushahidi gani ni vituko?. Kumbuka hi kesi sio ya Raila pekee Bali Kuna wakenya wengine 6 wameunga wa kwenye kesi hii. Kuna hoja upande wa Ruto na IEBC umeshindwa kujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…