Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

Ni kweli Kuna wanaogawa uroda hata kwa elfu 2 kwanini umuue mtu
 
Ukute jamaa hatimizi majukumu yake ya nyumbani...ukute marehem alikuwa kapungukiwa nguvu za kike na pia labda michepuko ilikuwa mingi...ukute hali duni ya maisha..ukute marehemu aliamua kumkomoa muwewe huwenda kulikuwa na ugomvi wa muda mrefu..ukute mwanaume alikuwa hamjali mke wake...ukute wote hawakufata taratibu za ndoa...ukute wote hawakuwa wanasali na kufuata mafundisho ya kiroho..najaribu kuwaza tu lakini yote mwanaume kaaibisha kundi la wanaume...alipaswa awe na michepuko lakini pia michepuko nayo inaitaji fedha je kama alikuwa hana fedha ya kuhonga?Mmmmh kuna mtiahan hapo...R.I.P luciana pole Martin hukupaswa kufanya hvo mbona sisi tunavumilia?
 
Wengine dini na imani haziruhusu kuwa na wake wengi, lakini kwa hali hii michepuko ni muhimu kuliko kuua mtu kisa kunyima uroda. Akinyima uroda unajikata kislesi kwenda kwa mchepuko kula uroda huko. Taabu yote ya nini kwani hiyo kitu kaumbiwa yeye peke yake? Na wengine wanayo, yeye abaki nayo labda kuna anayeidonoa huko nje
 
Safi kabisa...nipo na jamaa mia mia.
 
Miaka 22 tiar upo kwenye ndoa alafu utaki kutoa mzigo why so

Na nyinyi vijana wezangu acheni kuoa wanawake ambao hawajui maandiko

Mwanamke anaejua maandiko anafahamu fika kabisa kuwa hana mamlaka na mwili wake mwenyewe
Mambo kwa ndoa sio marahisi kiasi hicho, kuna mengi mpaka inafikia hapo,
Mathalani, mke anaona huna uwezo mkubwa kiuchumi, mkapanga msiongeze watoto, changamoto inakuja, njia anayotumia mke kuzuia mimba,inampa ma tatizo, maumivu, akikwambia wewe hauambiliki, anaishia kubeba zisizotarajiwa, akikuambia amekamata ujauzito, unasema toa, sitakimtoto mwingine! Na hapo utoi hata pesa! Mwanamke anaishia kuteseka! Lazima atachoka kuendelea kubeba ujauzito wa dume lisiloshaurika!
 
Ndio naona comments za heshima. Kumbe ni Martin aliofanyq haya na sio Abdallah?
Abdallah hawezi kupigana kanyimwa unyumba kwani yeye ndio anatoa unyumba kwa wanaume wenzake.

Natamani nikuone unaonekanaje maana si kwa uozo huo ulio nao kichwani. Ptuuuuuu
 
Hahaahaha
 
Miaka 22 tiar upo kwenye ndoa alafu utaki kutoa mzigo why so

Na nyinyi vijana wezangu acheni kuoa wanawake ambao hawajui maandiko

Mwanamke anaejua maandiko anafahamu fika kabisa kuwa hana mamlaka na mwili wake mwenyewe
Ni kuachia tuu waaahhh..
 
Labda kama mke amejua mumewe kaivaa miwaya..?? Anataka ampe waumwe wote? Halafu nyie wanaume hamjui...
Wanawake kitu kidogo tuu kinafanya appetite ipotee...labda lugha mbaya..mdomo unanuka pombe..labda umemjua mchepuko wake...n.k
 
Nashauri semina za ndoa kwenye nyumba za ibada zipewe kipaumbele ili wanandoa waelewe umuhimu wa tendo la ndoa, kumnyima mme tendo Kwa muda mrefu inapelekea mme kupata hasira na matokeo yake ndo kama hayo wananawake wengi hawatambui wajibu wao kwenye ndoa
 
Duh! Dada wa watu apumzike tu kwa amani ila aliyataka mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…