Mshangazi na Mshangazi mdogomdogo kuna uhusiano wowote? Maana vijishangazi vimaskini vimeanza kuja kwa kasi PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, ebu niache mieMshangazi na Mshangazi mdogomdogo kuna uhusiano wowote? Maana vijishangazi vimaskini vimeanza kuja kwa kasi PM
Ok, Safi sanaTumeinyaka hiyo,Kuna mwamba aliileta asubuhi
Ni kweli Kuna wanaogawa uroda hata kwa elfu 2 kwanini umuue mtuWhy? Ya nini kuua jitu ambalo halitaki kunipa uroda? Ndio ni mke wangu, kama hataki isiwe taabu naenda kutafuta uroda nje, upo wa kila bei hata wa buku unapata, unatoa ugwadu unarudi nyumbani kulala kwa amani. Haina haja ya kupiga au kuua jitu ambalo limeamua kutotoa uroda
Safi kabisa...nipo na jamaa mia mia.Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea, Novemba 14,2024 Majira ya saa 12 Asubuhi katika kitongoji cha mbilo kijiji cha kizuka kilichopo kata ya kizuka Tarafa ya Mhukuru Wilayani Songea.
"Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Luciana Dastani kapinga (22) mkulima mkazi wa kitongoji cha mbilo aliuawa kwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali maeneo ya kichwani upande wa juu wa jicho la kushoto hadi kichwa kubonyea na mume wake aitwaye Martin Hyera Baada ya kumnyima Unyumba"
"Wawili hao walionekana alfajiri wakikimbizana huku Mtuhumiwa Martin Hyera akiwa ameshika mpini wa Shoka kisha kutekeleza Mauaji hayo na baada ya kutekelezea mauaji hayo Mtuhumiwa alimpigia simu shangazi yake aitwaye Paulina nchimbi na kumjulisha kuwa amemuua Mke wake kwa sababu amekuwa akimnyima unyumba kwa muda mrefu kisha Mtuhumiwa huyo alitoroka" - SACP Marco Chilya, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma
Mambo kwa ndoa sio marahisi kiasi hicho, kuna mengi mpaka inafikia hapo,Miaka 22 tiar upo kwenye ndoa alafu utaki kutoa mzigo why so
Na nyinyi vijana wezangu acheni kuoa wanawake ambao hawajui maandiko
Mwanamke anaejua maandiko anafahamu fika kabisa kuwa hana mamlaka na mwili wake mwenyewe
Anaitwa Luciana Mpinga Bolo kajitahidi kadri ya uwezo bolo lisimuingie dah bolo la Hyera ni kibokoPumzika kwa aman sana dada Luciana
Anapinga kupigwa bolo sasa aliolewa ya nini? Au ndio tuseme njaa?Alikua anagawa kwengine huku hatoi
Abdallah hawezi kupigana kanyimwa unyumba kwani yeye ndio anatoa unyumba kwa wanaume wenzake.Ndio naona comments za heshima. Kumbe ni Martin aliofanyq haya na sio Abdallah?
HahaahahaUkute jamaa hatimizi majukumu yake ya nyumbani...ukute marehem alikuwa kapungukiwa nguvu za kike na pia labda michepuko ilikuwa mingi...ukute hali duni ya maisha..ukute marehemu aliamua kumkomoa muwewe huwenda kulikuwa na ugomvi wa muda mrefu..ukute mwanaume alikuwa hamjali mke wake...ukute wote hawakufata taratibu za ndoa...ukute wote hawakuwa wanasali na kufuata mafundisho ya kiroho..najaribu kuwaza tu lakini yote mwanaume kaaibisha kundi la wanaume...alipaswa awe na michepuko lakini pia michepuko nayo inaitaji fedha je kama alikuwa hana fedha ya kuhonga?Mmmmh kuna mtiahan hapo...R.I.P luciana pole Martin hukupaswa kufanya hvo mbona sisi tunavumilia?
Ni kuachia tuu waaahhh..Miaka 22 tiar upo kwenye ndoa alafu utaki kutoa mzigo why so
Na nyinyi vijana wezangu acheni kuoa wanawake ambao hawajui maandiko
Mwanamke anaejua maandiko anafahamu fika kabisa kuwa hana mamlaka na mwili wake mwenyewe
Ndio mtumishNi kuachia tuu waaahhh..
Hebu tuelezee hizo factors mzee babaUnyumba sio kama maji ya kunywa, Kuna factors zake.