kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Kwa sehemu kubwa naona sura za watoto wanao takiwa kuwa shuleni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sehemu kubwa naona sura za watoto wanao takiwa kuwa shuleni
Mikoa ya Kusini ina idadi kubwa ya mbumbumbu ikiwepo Tuvuma. Huko CCM inateleza kwa raha zake.Itoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035.
waTanzania katika makundi yao, wazee wa kimila, vijana na watoto, wakulima, wafugaji, wafanyakazi, wafanyabiashara na makundi mengine mbalimbali, walijumuika kwa wingi kumlaki rais na kumpongeza kwa dhamira yake njema ya kuwaletea wanainchi maendeleo ambayo yanaonekana mchana kweupe na wanayafurahia sana, kwenye maeneo ya afya, maji, elimu, miundombinu, kilimo, biashara, ufugaji, umeme, amani , utulivu, ulinzi na usalama n.k
Kwa umati na hamasa ya kipekee sana waliokua nayo watu wa Ruvuma na Songea, ni wazi CCM ina nguvu mno nchini, ushawishi na mipango yake ya kimageuzi, chini ya Rais na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan, ndio pekee inayoeleweka, inayominika na kukubalika na waTanzania wote nchini.
Ni muhimu sana kwa waTanzania wotw maeneo mengine nchini, kuendelea kuiunga mkono CCM na kumsikiliza kwa makini kiongozi wetu huyu wa kitaifa na kumuamini zaidi Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, kwani ndie pekee agenda ya Taifa, ya waTanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2025.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
uzoefu wangu kwa kuzunguka nchi hii, nirahis kupata kura maeneo ambayo watu wake hawaja elimika au hawajali sana elimuItoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035.
waTanzania katika makundi yao, wazee wa kimila, vijana na watoto, wakulima, wafugaji, wafanyakazi, wafanyabiashara na makundi mengine mbalimbali, walijumuika kwa wingi kumlaki rais na kumpongeza kwa dhamira yake njema ya kuwaletea wanainchi maendeleo ambayo yanaonekana mchana kweupe na wanayafurahia sana, kwenye maeneo ya afya, maji, elimu, miundombinu, kilimo, biashara, ufugaji, umeme, amani , utulivu, ulinzi na usalama n.k
Kwa umati na hamasa ya kipekee sana waliokua nayo watu wa Ruvuma na Songea, ni wazi CCM ina nguvu mno nchini, ushawishi na mipango yake ya kimageuzi, chini ya Rais na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan, ndio pekee inayoeleweka, inayominika na kukubalika na waTanzania wote nchini.
Ni muhimu sana kwa waTanzania wotw maeneo mengine nchini, kuendelea kuiunga mkono CCM na kumsikiliza kwa makini kiongozi wetu huyu wa kitaifa na kumuamini zaidi Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, kwani ndie pekee agenda ya Taifa, ya waTanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2025.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Yaan hakuna mkoa maskini kama Ruvuma Kuna maeneo ya vijijini kule watu hata viatu tu hawana.wanatembea umbali mrefu sana kufata huduma za kijamii yaan ni mafukaraNA NDIYO MIKOA PIA YENYE UMASKINI NA MIUNDOMBINU MIBOVU KULIKO YOTE NCHINI. NI VYEMA MUWAKUMBUSHE NA HILO. MTAJI WA CCM NI KWENYE MIKOA YENYE MATATIZO YA ELIMU NA UCHUMI
Namba yako ya Simu Iko wapi?Itoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035.
waTanzania katika makundi yao, wazee wa kimila, vijana na watoto, wakulima, wafugaji, wafanyakazi, wafanyabiashara na makundi mengine mbalimbali, walijumuika kwa wingi kumlaki rais na kumpongeza kwa dhamira yake njema ya kuwaletea wanainchi maendeleo ambayo yanaonekana mchana kweupe na wanayafurahia sana, kwenye maeneo ya afya, maji, elimu, miundombinu, kilimo, biashara, ufugaji, umeme, amani , utulivu, ulinzi na usalama n.k
Kwa umati na hamasa ya kipekee sana waliokua nayo watu wa Ruvuma na Songea, ni wazi CCM ina nguvu mno nchini, ushawishi na mipango yake ya kimageuzi, chini ya Rais na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan, ndio pekee inayoeleweka, inayominika na kukubalika na waTanzania wote nchini.
Ni muhimu sana kwa waTanzania wotw maeneo mengine nchini, kuendelea kuiunga mkono CCM na kumsikiliza kwa makini kiongozi wetu huyu wa kitaifa na kumuamini zaidi Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, kwani ndie pekee agenda ya Taifa, ya waTanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2025.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Nenda na wewe uweke Drama.Drama!
Halafu kuna Ruvuma na MbingaMim nimependa hapo kwenye Ruvuma na Songea
Mkuu Ruvuma ndiyo Songea.Halafu kuna Ruvuma na Mbinga
Ruvuma na Nyasa
Kama ambavyo kuna Tanga na Korogwe na Dar es salaam na Temeke.
Naelewa.Mkuu Ruvuma ndiyo Songea.
Pamoja mkuuNaelewa.
Kimsingi mtoa mada hakutakiwa kuandika "Ruvuma na Songea" ihali, Songea ni wilaya na makao makuu ya Ruvuma.
Acha utani mkuu, muulize Zuchu kilichomkuta baada ya kusema mitano tenaYes gentleman,
ndiyo hasa imethibitishia waTanzania maeneo mengineyo nchini kwamba CCM ina nguvu mno na Dr.Samia Suluhu Hassan ndiyo agenda 2025-2035🐒
Kuna mikoa kadhaa hapa Tanzania, majina ya mikoa hiyo huwa hayapo kwenye wilaya zake. Mmoja kati huo ni mkoa wa Ruvuma. Hakuna wilaya inaitwa Ruvuma, kama ilivyo Kilimanjaro, hakuna wilaya inaitwa Kilimanjaro, Au Kagera, Rukwa the same thing. We kubali tu hapo umechemsha.pale uwanja wa maji maji Songea palijaa na kufurika wananchi dah aise 🐒
ulitamani niitaje Namtumbo kwenu huko, mbinga, nyasa au tunduru sio 🤣
sasa ingenogaje hapo gentleman?
Songea is everything in Ruvuma gentleman 🐒
Kinachonifurahisha mikoa yote yenye uchumi mbovu ndio hukumbatia CCM,kujitokeza kwao kwa wingi hamna kinachobadilisha uchumi wa Mkoa waoItoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035.