Ruvuma na Songea wameonesha nguvu na ushawishi mkubwa wa CCM na Rais Samia!

Mikoa ya Kusini ina idadi kubwa ya mbumbumbu ikiwepo Tuvuma. Huko CCM inateleza kwa raha zake.
 
uzoefu wangu kwa kuzunguka nchi hii, nirahis kupata kura maeneo ambayo watu wake hawaja elimika au hawajali sana elimu
 
NA NDIYO MIKOA PIA YENYE UMASKINI NA MIUNDOMBINU MIBOVU KULIKO YOTE NCHINI. NI VYEMA MUWAKUMBUSHE NA HILO. MTAJI WA CCM NI KWENYE MIKOA YENYE MATATIZO YA ELIMU NA UCHUMI
Yaan hakuna mkoa maskini kama Ruvuma Kuna maeneo ya vijijini kule watu hata viatu tu hawana.wanatembea umbali mrefu sana kufata huduma za kijamii yaan ni mafukara
 
Namba yako ya Simu Iko wapi?
 
Yes gentleman,
ndiyo hasa imethibitishia waTanzania maeneo mengineyo nchini kwamba CCM ina nguvu mno na Dr.Samia Suluhu Hassan ndiyo agenda 2025-2035πŸ’
Acha utani mkuu, muulize Zuchu kilichomkuta baada ya kusema mitano tena
 
pale uwanja wa maji maji Songea palijaa na kufurika wananchi dah aise πŸ’

ulitamani niitaje Namtumbo kwenu huko, mbinga, nyasa au tunduru sio 🀣

sasa ingenogaje hapo gentleman?
Songea is everything in Ruvuma gentleman πŸ’
Kuna mikoa kadhaa hapa Tanzania, majina ya mikoa hiyo huwa hayapo kwenye wilaya zake. Mmoja kati huo ni mkoa wa Ruvuma. Hakuna wilaya inaitwa Ruvuma, kama ilivyo Kilimanjaro, hakuna wilaya inaitwa Kilimanjaro, Au Kagera, Rukwa the same thing. We kubali tu hapo umechemsha.
 
Kinachonifurahisha mikoa yote yenye uchumi mbovu ndio hukumbatia CCM,kujitokeza kwao kwa wingi hamna kinachobadilisha uchumi wa Mkoa wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…