Hili la ushoga vip? Urafiki wa rais wetu na bw. Peter wa Royal tour?Na tunalifanya hilo kwa weledi mkubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili la ushoga vip? Urafiki wa rais wetu na bw. Peter wa Royal tour?Na tunalifanya hilo kwa weledi mkubwa sana
😳😳😳😳Unanikumbusha swali muhimu! Yule rafiki wa rais wetu actor aliyekuja kwa Royal tour naambiwa ni shoga. Ilikuwaje urafiki na rais wetu uwe mkubwa kiasi hicho?
Kwenda bondeni ilikuwa lazima haikwepeki. Ni ziara ya kimkakati kumuokoa Rama kwenye kitanzi cha Malema Machi 20, 2023. Mtasikia Malema ame-slow-down.Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitegauchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize kushangilia mtu anayesafiri kama rubani.
View attachment 2554769
UNataka usifiwe kwa kichwa kikubwa au akili kubwa?Ka Nchi kenyewe kadogo kama Wilaya tuu
Hivi unajua ni kiasi gani serikali ya Tanzania imewekeza kwenye michezo?Rwanda kwenye swala la maendeleo wanakimbia mchaka mchaka while Tanzania tumesimama na kujishika kiuno kwa kukata tamaa
Zinatafutwa kwa safari za lisuNa unaamini capital investments huwa zinatafutwa kwa safari za rais?
Popoma usjitoe ufahamu...UNataka usifiwe kwa kichwa kikubwa au akili kubwa?
Nahisi kilichoulizwa ni mipangilio ya nchi, siyo michezo au treni au bwawa. Tuko serious kiasi gani?Hivi unajua ni kiasi gani serikali ya Tanzania imewekeza kwenye michezo?
Si unajua hakuna demokrasia wala uhuru wa kipumbavu wanaoutaka wakina fulani hapa...zaidi huyu bwana yupo madarakani miaka nenda rudi....Rwanda kwenye swala la maendeleo wanakimbia mchaka mchaka while Tanzania tumesimama na kujishika kiuno kwa kukata tamaa
Ficha ujinga wako watu wanaangalia ratio ya maendeleo versus rasilimali, pia ukisema Rwanda iko sawa na Burundi inadhihilisha uwezo wako mdogo wa akili, gdp ya Rwanda 2022 ilikua usd 32 billion while ya Burundi was only usd 9 billion na per capital ya Rwanda 2022 ilikua usd 878 na Burundi ilikua usd 272 hizi ni data za World Bank endelea kubishanaKwahiyo wanazidi Tanzania maendeleo uganda au Kenya? Ile nchi bado masikini sana wana ishi below international poverty line......japo wanafanya propaganda nyingi kuficha udikiteta wa PK ile nchi masikini sana haina tofauti kubwa na Burundi na Malawi kiuchumi.
Ficha ujinga wako watu wanaangalia ratio ya maendeleo versus rasilimali, pia ukisema Rwanda iko sawa na Burundi inadhihilisha uwezo wako mdogo wa akili, gdp ya Rwanda 2022 ilikua usd 32 billion while ya Burundi was only usd 9 billion na per capital ya Rwanda 2022 ilikua usd 878 na Burundi ilikua usd 272 hizi ni data za World Bank endelea kubishana
We mweupe Sana juu ya uchumi na uwekezaji,achilia mbali kujulikana kwa tz kimataifaKinachozungumziwa ni mipangilio ya uchumi siyo kipato kikubwa au population kubwa na ndogo. Wewe unaona ni sawa raisi kuzunguka duniani kutafuta marafiki? Yeye anawaita ni wawekezaji! What a hell leader do we have! Wawekezaji ni wafanyabiashara, kweli wanahitaji kualikwa ili wafahamu wapi watatengeneza faida?
Kubali tu kwamba tuna kiongozi with plan of no real!
Mwafrika ni yupi!?Libya sio waafrika
Kwani Kuna kitabu Cha muongozo toka mbinguni Cha kutafuta capital investments!?..au mpaka waanze wengine ndiyo sisi tufuate!?..jakaya alifanya ziara kuutangaza fursa za kuwekeza nchini,alifanikiwa kiasi gani!?..Samia kafanikiwa kiasi gani kwa Hilo!?Na unaamini capital investments huwa zinatafutwa kwa safari za rais?
Mtu mweusiMwafrika ni yupi!?
Soma nadharia ya maendeleo ya Developmental StateDikteta na maendeleo ya watu wapi na wapi.
Mbona tumekuwa na madikteta wengi hata kabla ya Kagame
🤣🤣🤣🤣wewe unaakili basi.Tuna mkosi wa ajabu sana kama nchi! Uelewa wa rais wetu uko chini na hakuna anayesema hilo, badala yake anapongezwa na akina Msigwa utadhani ndo ajira yao.