Rwanda inafanya makubwa

Rwanda inafanya makubwa

Unanikumbusha swali muhimu! Yule rafiki wa rais wetu actor aliyekuja kwa Royal tour naambiwa ni shoga. Ilikuwaje urafiki na rais wetu uwe mkubwa kiasi hicho?
😳😳😳😳
 
Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitegauchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize kushangilia mtu anayesafiri kama rubani.

View attachment 2554769
Kwenda bondeni ilikuwa lazima haikwepeki. Ni ziara ya kimkakati kumuokoa Rama kwenye kitanzi cha Malema Machi 20, 2023. Mtasikia Malema ame-slow-down.

Mbeki pia aliokolewa mara kadhaa na Makamu M'kiti Bara (kabla ya kuanguka) kwenye mikono ya Malema na Zuma.

Mfalme hasifiwi kwao. CCM haisifiwi kwao [emoji441][emoji344]

[emoji2956][emoji851][emoji38]

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
With a dictator kind of life, dictator for development. Mambo huwa ni moto. nachukia democrasia uchawa.
 
Rwanda kwenye swala la maendeleo wanakimbia mchaka mchaka while Tanzania tumesimama na kujishika kiuno kwa kukata tamaa
Si unajua hakuna demokrasia wala uhuru wa kipumbavu wanaoutaka wakina fulani hapa...zaidi huyu bwana yupo madarakani miaka nenda rudi....

Sijui tulikuwa tunapinga nini, na tunachotaka kama kimetusaidia kwa miaka 60 iliyopita


Zaidi najua, 2005 mpaka 2015 tulikuwa navyo vyote na bado tulikuwa masikink mbumbu tunaotegemea misaada kama nchi masikini zaidi duniani.
 
Kwahiyo wanazidi Tanzania maendeleo uganda au Kenya? Ile nchi bado masikini sana wana ishi below international poverty line......japo wanafanya propaganda nyingi kuficha udikiteta wa PK ile nchi masikini sana haina tofauti kubwa na Burundi na Malawi kiuchumi.
Ficha ujinga wako watu wanaangalia ratio ya maendeleo versus rasilimali, pia ukisema Rwanda iko sawa na Burundi inadhihilisha uwezo wako mdogo wa akili, gdp ya Rwanda 2022 ilikua usd 32 billion while ya Burundi was only usd 9 billion na per capital ya Rwanda 2022 ilikua usd 878 na Burundi ilikua usd 272 hizi ni data za World Bank endelea kubishana
 
Ficha ujinga wako watu wanaangalia ratio ya maendeleo versus rasilimali, pia ukisema Rwanda iko sawa na Burundi inadhihilisha uwezo wako mdogo wa akili, gdp ya Rwanda 2022 ilikua usd 32 billion while ya Burundi was only usd 9 billion na per capital ya Rwanda 2022 ilikua usd 878 na Burundi ilikua usd 272 hizi ni data za World Bank endelea kubishana

Watanzania wanakuhesabia watu milioni 65 , akihesabu na mipaka ya nchi anaona tayari tuna uchumi mkubwa kumbe hakuna lolote
 
Kinachozungumziwa ni mipangilio ya uchumi siyo kipato kikubwa au population kubwa na ndogo. Wewe unaona ni sawa raisi kuzunguka duniani kutafuta marafiki? Yeye anawaita ni wawekezaji! What a hell leader do we have! Wawekezaji ni wafanyabiashara, kweli wanahitaji kualikwa ili wafahamu wapi watatengeneza faida?

Kubali tu kwamba tuna kiongozi with plan of no real!
We mweupe Sana juu ya uchumi na uwekezaji,achilia mbali kujulikana kwa tz kimataifa
 
Na unaamini capital investments huwa zinatafutwa kwa safari za rais?
Kwani Kuna kitabu Cha muongozo toka mbinguni Cha kutafuta capital investments!?..au mpaka waanze wengine ndiyo sisi tufuate!?..jakaya alifanya ziara kuutangaza fursa za kuwekeza nchini,alifanikiwa kiasi gani!?..Samia kafanikiwa kiasi gani kwa Hilo!?
 
Tuna mkosi wa ajabu sana kama nchi! Uelewa wa rais wetu uko chini na hakuna anayesema hilo, badala yake anapongezwa na akina Msigwa utadhani ndo ajira yao.
🤣🤣🤣🤣wewe unaakili basi.

Hivi unaweza jilinganisha ufanano wa uelewa wako na rais hata robo tu umfikii.
Acha dharau.
 
Back
Top Bottom