Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Wafanye muda wowote lakini haina haja ya kutumia maspika. Mungu anasoma yaliyo ktk mioyo ya wanadamu. Hauhitaji speaker kusikika naye.
Dah bila maspika mimi wameniua maana kila alfajiri ndio wakombizi wangu....utasikia Allah wakbar Allah Wakbar,,,,amka hicho kitanda ndio jeneza lako mie tobaaaa Niko bafuni.
 
Pole sana. Mimi nilikaa nchi fulani yenye watu wa dini hiyo wengi. Basi kila usiku saa 10 naamshwa na sauti kwenye kipaza sauti. Kama vile kimesimikwa chumbani kwangu. Halafu sasa kwa kazi nyingi nilizokuwa nazo, kulala kwangu saa 6 usiku. Saa 10 usiku ndio kausingizi kamekolea, halafu naamshwa na kelele za kipaza sauti! Matokeo yake nikawa nasinzia kazini kwenye vikao. Utendaji wangu ukatelemka. Muda wote nikawa najisikia nimechoka choka tu. Miezi 6 tu nikahama.
Pale sinza palestina ndio balaa
Hadi nikaamua kuhamia pengine. Hawa wana makelele sana na wakiambiwa wanaanza fujo.
 
hamna kitu yule ombaomba

juzi kaingia Mkataba na Ufaransa kupokea Wahamiaji haramu waje wamwage kwake …jamaa atatuletea balaa sana …Kambarage angejua angewateka kama tulivyofanya kwa Jamaa zenu wa visiwani
Hili suala ilibidi umoja wa EA waupinge kwa nguvu zote.
Akikataa ale vikwazo.

Kiusalama, hili suala lina athari kwa nchi zote za EA ambapo likifanikishwa.

Rwanda wamekua na kiburi sana, hata kuna hotuba moja Kagame alizungumza, ukimisikiliza jamaa anajiona supa pawa.
 
Wamefanya vizuri sana, kuna eneo nimefikia ni karibu na msikiti, na hatari tupu. Asubuhi kelele, jioni kelele. Nyumba za ibada zinapaswa sauti ziishie humo humo, hii tabia ya kuhubiria watu walio nyumbani siyo nzuri.
 
Kwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana.

Hii ni Taharifa ya BBC...

Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo.

-

Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.

-

Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu. View attachment 2188599

Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Alkaida wakiisikia hii Rwandaa itainhia matatizoni
 
Safi sana,maana nchi asilimia 99 ni wakristo,waislam wawe wapole,kama ilivyo Zenj,kula wakati wa mwezi wa ramadhan ni marufuku hata kwa wasio waislam,basi ni jambo la kawaida kwenye jamii ambazo waumini WA dini moja ni wengi kwa zaidi ya asilimia 80
 
Rwanda wanaelekea pabaya
Mnajirafiri au vipi? Huko uarabuni walshaelekea pabaya Kwa kuua watu wa dini zingine zisizo Islam! Tatizo mnadharau haki za wengine na kwamba mnaweza Fanya lolote katika Taifa lolote mlilopo!

Hapo ndo imeisha hivyo na hamna kitu mnaweza Fanya sasa. Dini zingine haziamki alfajiri Kwa maombi? Ulishaskia wanafanya usumbufu?
 
Back
Top Bottom