mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kweli kabisaMimi ni mkristo! Lakini siungi mkono kuminya uhuru wa kuabudu!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Lkn Rwanda hakuna pia manabii makanjanja wale
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaMimi ni mkristo! Lakini siungi mkono kuminya uhuru wa kuabudu!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
kuna kelelel nyingi sana kwny miji kuliko za adhana ya dakika 3
Wapige marufuku kote tu,tuishi bila makeleleSio kila kitu cha kuiga, wakipiga marufuku adhana wasisahau na utitiri wa makanisa yanayopiga mziki weekdays kwenye makazi ya watu tena kwa maspka
hamna kitu yule ombaombaMh Kagame atazame na suala la kuzuia kelele za radi.
Nchi na yeye wengi, na wewe ukiwemoWewe sawa, Nchi sio wewe tu..
Mbona walishapiga marufuku kitambo, na bila degree hausajiri kanisaSio kila kitu cha kuiga, wakipiga marufuku adhana wasisahau na utitiri wa makanisa yanayopiga mziki weekdays kwenye makazi ya watu tena kwa maspka
Chokochoko za kidoni hatutaki. Usifananishe kiwilaya na nchi.Imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba dunia. Anyway, hata simu za viswaswadu / vitochi vina alarm, ya nini kupigiana makelele?
Hivi kabla ya kugunduliwa kwa ma- ‘speaker’ makubwa yenye mshindo, makanisa ya kilokole yalijiendeshaje?
Yaani walikuwa wanaendeshaje endeshaje shughuli zao za ibada? Kwamba wanaemuabudu alianza kupoteza uwezo wake wa kusikia au ilianzaje anzaje hii hali?www.jamiiforums.com
Mkuu una mission ya rwanda?Ukataze adhana uruhusu wenye mabaa wapige mziki watakavyo,laana hiyo.Adhana ya dakika mbili ina tatizo gani? Adhabu yake ipo na siyo muda mrefu
Hivi na huko Ulaya na Amerika nao upiga makelele hovyo hovyo kama nionavyo hapo BuguruniKupiga marufuku adhana ya kwenye spika siyo mwisho wa sala ya subhi kwa wa islam wa rwanda.
Na ukimuona mkristo anachukia adhana ya subhi ujue kazaliwa kijijiji sana na bado ana ushamba.
Mkristo aliye zaliwa na kukulia mjini, adhana kwake ni kitu ya kawaida.
Kelele za mara 1 kwa mwezi utazilinganisha ba hizi za kila baada ya masaa 4, tukubali tukatae kelele za makanisa, misikiti ni usumbufu hasa haya makanisa au misikiti iliyoko kwenye makazi ya watuUna uhakika huyo Kagame amezuia kelele zote au unaunga tu mkono Uhuru wa kuabudu kuminywa? Hao wanasiasa, wakati wa kampeni hawatafunga speaker mitaani? Ambulance zitatembea bila sauti? Misafara Yao itaendeshwa kimya kimya? Ndege zao hazina kelele? Hazishuki alfajiri?
Ni upuuzi kufurahia Uhuru wa namna yeyote ile kuminywa, iwe unakugusa au haukugusi.
Mbona husemi Asia na Afrika?Hivi na huko Ulaya na Amerika nao upiga makelele hovyo hovyo kama nionavyo hapo Buguruni