Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄😄 Patachimbika siku hio.Ukitaka kuona fujo ya maana serikali iingilie mambo ya kidini yami itokee leo aseme hamna pasaka ,maandamano kwa wakristo, kutumia vipaza sauti ndio utaona
Au aseme amna iddi wala adhana ndio utajua kumbe hata raia wanamafunzo ya jeshi
Tena hii ndio kero zaidiSio kila kitu cha kuiga, wakipiga marufuku adhana wasisahau na utitiri wa makanisa yanayopiga mziki weekdays kwenye makazi ya watu tena kwa maspka
Hii sio hoja mkuu ni taarifa...kama vipi zanzibar nao wafate njia hio...😜😜😜Siungi hoja mkono
Pale sinza palestina ndio balaaJirani na home kuna ositazi huyo anaamsha kwa kwa hasira ni kama kalazimisha. Nukuu;swalaaaaa swalaaaa swalaaaa ndugu muislam amka hicho kitanda sio mali yako utakiacha siku ya kiama mwenzezi mungu anasema (hapa kuna maneno anatamka ya koraan siyajui hata)hapa duniani hukuja na hicho kitanda,hukuja kulala,amka uje tufanye swalaaaaaa.mwisho .
Basi akisema swalaaaa anatamka kwa sauti na lile lispika volume anakuwa kaweka hadi mwisbo basi ni kero balaa.
Kwanini wewe uone ni haki yako kulala na usiamshwe,lakini usione haki ya wale wanaotaka kuamshwa!?
Muhimu kuvumiliana.
Jambo ambalo mimi nikiwa muislamu nasisitiza ni kufuata mafundisho sahihi ya dini zetu. Tuache madoido. Adhana imefundishwa mwanzo wake hadi mwisho wake. Haya maneno mengineyanayoongezwa ni makosa. Mtu anawasha kipaza sauti anaanza kuhubiri halafu ndio anaadhini. Hayo ni kuzidisha mambo kwenye dini. Na dini inakataza. Adhana sahihi haichukui dakika tano
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile ap
Wakongwe wa Dar tunakumbuka vema, hoja ya kupiga marufuku adhana iliwahi kuletwa na aliyekua RC wa Dar Brigedia Hassan Ngwilizi. Kilichompata mwenyewe ndio anajua.Kwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana.
Hii ni Taharifa ya BBC...
Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo.
-
Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.
-
Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu. View attachment 2188599
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Kivipi?Rwanda wanaelekea pabaya
Sio kila kitu cha kuiga, wakipiga marufuku adhana wasisahau na utitiri wa makanisa yanayopiga mziki weekdays kwenye makazi ya watu tena kwa maspka
Tuache kutisha watu, jamii yoyote iliyo na ustaarabu hayo makelele ya kilevi ni ujinga unaopaswa kupingwa. Nenda pale UDSM upo Msikiti wa wasomi Maprofesa huwezi kukuta hizi kelele za Wapuuzi wanaobwabwaja kwa nguvu mpaka hewa inawatoka matakon huku mtaaani.Wakongwe wa Dar tunakumbuka vema, hoja ya kupiga marufuku adhana iliwahi kuletwa na aliyekua RC wa Dar Brigedia Hassan Ngwilizi. Kilichompata mwenyewe ndio anajua.
Kiongozi anapokaa madarakani kwa miaka mingi huwa anaanza kujiona ana akili nyingi kuliko wananchi. Mimi ni Mkristu na anayoyafanya Kagame si mazuri. Kwani dk 3 ni kitu gani!!!?.Mimi ni mkristo! Lakini siungi mkono kuminya uhuru wa kuabudu!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo Unataka kulala mpaka saa ngapi ili wasogeze muda wa adhana?Kwa hiyo ukiamshwa saa 10-11 alfajiri kwa dk 5, unalala tena? Acheni kubudhuni wenzenu, jamani. Fikirieni wenzenu pia. Hamuishi kisiwani. Unaweza kuabudu bila kubughudhi wanaokuzunguka.
Huwezi kutetea ukosefu wa busara ukiwa we ndio kiongozi wa kukosa busara....rudia andiko lakoTuache kutisha watu, jamii yoyote iliyo na ustaarabu hayo makelele ya kilevi ni ujinga unaopaswa kupingwa. Nenda pale UDSM upo Msikiti wa wasomi Maprofesa huwezi kukuta hizi kelele za Wapuuzi wanaobwabwaja kwa nguvu mpaka hewa inawatoka matakon huku mtaaani.
Tuache kuwapigia watu makelele kama walevi kwa kisingizio cha kuabudu, huo ni ushtani na kukosa Busara
Who told you?Rwanda wanaelekea pabaya