Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Safi kabisa. Wasiishie kwenye adhana tu, hata makanisa yenye kelele yafungiwe tu[emoji35][emoji35]
 
Hizi adhana zilikua mbadala wa saa kwangu ikipigwa ya asubuhi najua kumekucha ya saa kumi alasiri inanikumbusha muda wa tuisheni. Iliyokua inaniogopesha ni matangazo ya vifo asubuhi sana daah
Adhana ya asubuhi saa 11 ni ya kisenge sana omba usiisikie ni vitisho tupe mara eti kitanda ulicholalia ni jeneza amka ukaswali
 
Nasaha zangu kwa waislamu wa Rwanda

1. Waheshimu na wafuate taratibu zilizowekwa na mamlaka

2. Warejee katika asili ambayo ni kuadhini kwa kutotumia vipaza sauti 'swala za al-fajiri'

3. Waendelee kuadhini milangoni au ndani ya misikiti kwa sauti ya wastani

4. Kwa misikiti iliyokaribiana mmoja waweza adhini na ikatosheleza: adhana ni faradhi kifaya 'si lazima kila msikiti uadhini'

5. Itolewe elimu kwa waumini kuondosha hali zisizotarajiwa zitokanazo na ufahamu mbovu, mihemko, hamasa na mengineyo mfano: maandamano

6. Waumini wapeane taarifa kuhusu tamko la mamlaka, wanasihiane kuwa wapole na waendelee kutekeleza ibada zao kama kawaida

Yanatosha kwa leo [emoji1691]
 
Adhana ya asubuhi saa 11 ni ya kisenge sana omba usiisikie ni vitisho tupe mara eti kitanda ulicholalia ni jeneza amka ukaswali
Adhana ni wito wa maneno maalumu 'machache' ya lugha ya kiarabu yenye kuwajulisha watu kuingia au kutaradadi kwa wakati wa swala

Hayo maneno ya nyongeza hayana mafungamano na adhana, ni nyongeza zisizo na asili katika dini ya uislamu ambazo zimezuliwa tu na baadhi ya waadhini kwenye baadhi ya misikiti, ni upotofu

* Wakristo hugonga kengele: Anglican na RC

* Wayahudi hupiga b'uuk "tarumbeta"

* Wabudha hugonga kengele 'zhong' au goma 'muyu'

* Waislamu huadhini kwa mdomo

* Wahindu hugonga kengele 'ghanta'

Yote hayo hufanyika kutoa ishara fulani kwa waumini wao ikiwemo kuwaita kujumuika katika ibada, kuhudhuria ratiba za masomo ya dini, kutoa taarifa maalumu na mengineyo
 
Adhana ni wito wenye maneno maalumu na machache ya lugha ya kiarabu yanye kuwajulisha watu muda wa swala umeingia/umetaradadi

Hayo maneno ya nyongeza hanaya mafungamano na adhana, ni ziada ambazo hazina asili katika dini ya uislamu ambazo zimezuliwa tu na baadhi ya waadhini kwenye baadhi ya misikiti
Ok nimekupata kumbe ni mbwembwe tu za sheikh 😀😀
 
Kwa kweli Rwanda wanajielewa sana kwa hili nawaunga mkono hata Yale makanisa yenye kukesha nayo yafungiwe kupiga kelele Mungu haabudiwi kwa makelele
Hawa alianza nao. Mpaka sasa hata kufungua kanisa lazma uwe na elimu rasmi ya shahada ya theolojia. Hakuna mambo ya kipawa!
Hii inasaidia kudhibit weu au stressed psycopaths wanaovuruga weu wenzie au wahanga wa hali za kijamii!
Kuhusu kelele hata Tanzania tuna sheria zinazodhibit saut lakin kama kawaida yetu.....usimamiaj!
Hata hivyo kuna mambo kama ya iman ukiyadhibit kwa kiboko badala ya sensitization unaweza kufanikiwa kwa muda flan tu!
Njia bora zaid ni kujua kwanini kuna wahanga wa jambo. Mf, tuna wahanga weng kupitia iman hatarish kwasabab watu wana shida nying zinazozid upeo wa elim yao na maarifa yao. Na Majib ya hali hizo hawayapat kikawaida.!
Dawa mojawapo ni ELIMU na UWAJIBIKAJ WA SERKALI!
....BELIEVE RESPONSIBLY!
 
Sheria yetu ya kuzibiti kelele ilitoa exemption kwa adhana.
 
"The Kagame downfall nears, let's wait and see".

The adhan is more than just calling muslims for prayer, it glorifies God, "Allah akbar" being part of the words found in the adhan means; God is great.

By stopping the adhan also means stopping the God glorification.
Sina tatizo na kumtukuza Mola. Lakini huko kufanyike kwa wahusika tu. Hakuna sababu ya kunihusisha mimi ambaye sihusiani na kutukuza huko. Hivyo, naona sababu kubwa ya adhana ni kuamusha watu waje kwenye ibaada. Ilikuwepo sababu ya kufanya hivyo zama zile wakati utaalamu ulikuwa chini. Sauti hiyo inamuamusha mhusika na asiyehusika sawia. Siku hizi mtu unaweza kuweka alarm kwenye saa au simu ikakuamsha muda unaopaswa. Utaamuka wewe tu unayehusika na si jirani yako ambaye hahusiki. Pindi wahusika watakapojumuika hapo msikitini ndipo mfanye zoezi la kutukuza.
 
Adhana ni sehemu miongoni mwa sehemu katika ibada ya swala ya kiisilamu, Adhana ni Lazima itolewe kwa sauti na Adhana haina mbadala kwa njia yoyote kwani yenyewe inabeba ujumbe wa kiroho unaomuhamashisha mtu aache mambo mengine na akaswali, adhana ni wito wenye "spiritual admonitions" and can't be replaced by anything else.

Adhana mbali na kuamsha na kuwataarifu wenyeji juu ya muda wa ibada lakini pia inawajulisha wageni kwamba msikiti upo wapi na hivyo kuwaunganisha Wageni waisilamu na ndugu zao wenyeji wa kiislamu katika Swala nk, Uisilamu ni zaidi ya kuswali msikitini na kuondoka.

Shida iliyopo Rwanda ni 90+% ni Christians na wachache waliobaki ni Muslims hivyo utaona nguvu ya Udini imeshawishi kuwepo na hilo katazo hii ni tofauti na Tz ambapo kuna angalau 50/50% Muslims na Christians ambapo tumejengwa kuvumiliana katika masuala ya imani.

Kuzuia utoaji wa adhana ni pigo katika imani ya dini ya kiisilamu.
 
"The Kagame downfall nears, let's wait and see".

The adhan is more than just calling muslims for prayer, it glorifies God, "Allah akbar" being part of the words found in the adhan means; God is great.

By stopping the adhan also means stopping the God glorification.
Kama hoja ndo kama yako naunga mkono uamzi wa Kagame. Hapa duniani kila jamii au imani ina Mungu wao ambaye hafanani na huyo wa kwako au wa mwingine. Hivyo huo utukufu unautambua pekee yako na sio wote. Hata upande wa makanisa alishapiga ban watu kujifanyia watakavyo. Kongole Prezida Kagame
 
Back
Top Bottom