Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kwa hiyo Unataka kulala mpaka saa ngapi ili wasogeze muda wa adhana?
Hoja hapa punguzeni mikelele..hata ushirikina unasambaa pia.Sio Wewe tu hata Babu zako walikerwa kweli na Uislam wakang'oka wakauacha unasambaaa tu
Dah bila maspika mimi wameniua maana kila alfajiri ndio wakombizi wangu....utasikia Allah wakbar Allah Wakbar,,,,amka hicho kitanda ndio jeneza lako mie tobaaaa Niko bafuni.Wafanye muda wowote lakini haina haja ya kutumia maspika. Mungu anasoma yaliyo ktk mioyo ya wanadamu. Hauhitaji speaker kusikika naye.
Pale sinza palestina ndio balaa
Hadi nikaamua kuhamia pengine. Hawa wana makelele sana na wakiambiwa wanaanza fujo.
Hili suala ilibidi umoja wa EA waupinge kwa nguvu zote.hamna kitu yule ombaomba
juzi kaingia Mkataba na Ufaransa kupokea Wahamiaji haramu waje wamwage kwake …jamaa atatuletea balaa sana …Kambarage angejua angewateka kama tulivyofanya kwa Jamaa zenu wa visiwani
Mimi ni mkristo! Lakini siungi mkono kuminya uhuru wa kuabudu!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Alkaida wakiisikia hii Rwandaa itainhia matatizoniKwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana.
Hii ni Taharifa ya BBC...
Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo.
-
Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.
-
Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu. View attachment 2188599
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Safi sana,maana nchi asilimia 99 ni wakristo,waislam wawe wapole,kama ilivyo Zenj,kula wakati wa mwezi wa ramadhan ni marufuku hata kwa wasio waislam,basi ni jambo la kawaida kwenye jamii ambazo waumini WA dini moja ni wengi kwa zaidi ya asilimia 80Kwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana.
Hii ni Taharifa ya BBC...
Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo.
-
Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.
-
Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu. View attachment 2188599
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Mnajirafiri au vipi? Huko uarabuni walshaelekea pabaya Kwa kuua watu wa dini zingine zisizo Islam! Tatizo mnadharau haki za wengine na kwamba mnaweza Fanya lolote katika Taifa lolote mlilopo!Rwanda wanaelekea pabaya
Mimi ni mkristo! Lakini siungi mkono kuminya uhuru wa kuabudu!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kwani wamenyimwa kuabuduMimi ni mkristo! Lakini siungi mkono kuminya uhuru wa kuabudu!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tunaanza na misikiti kwanza, maana hii ni yoteNa makanisa yanayopiga kelele yaondoe kelele.