Waliotengeneza hiyo video wameacha hii ayaKama kingereza kinaoanda ingia hapa sikiliza alafu njoo toa mrejesho , ni kwamba haujui nature ya mungu wako Allah
Wrong!Mpaka uelewe tofauti ndio nikujibu?
Jibril alikuwa anaitumia mwili wa dihyah al-kalbi alikuwa akimaliza kuutumia anaurudisha kwa kalbi au? Je jibril mda wote yupo na mwili wa kalbi alikuwa anakunya?
.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
Kwa hiyo sura tu au na mwili ni WA kalbi?Wrong!
Malaika Jibril allaihi ssalaam hakuwa anautumia mwili wa Dahyah al-kalbi, alikuwa anakuja kwa sura ya Dahyah al-kalbi hivyo jibril anakuwa katika mwili wake lakini amejibadilisha kama Dahyah al-kalbi.
Labda utaniuliza wakati huo Dahyah al-kalbi anakuwa wapi? maana kungekuwa na watu wawili wanaofanana.
Miongoni mwa sababu za malaika jibril alayhi ssalaam kutumia sura ya Dahyah al-kalbi ni kwa sababu Dahyah al-kalbi alikuwa ni mwingi wa safari, ndio maana alipokuwa akija hakukuwa na contradiction, na hata maswahaba hawakuwa waki notice mpaka mtume Muhammad swallallahu allaihi wasallam awaambie kuwa yule ni fulani.
Na sio nyakati zote alikuwa akija kwa sura hiyo.
Allah anasema anamaumbo mbali mbali na anayabadili , ila siku ya mwisho mtakataa umbo lake jipya, je mlisha wahi kuliona la sasa mpaka akija new shape muikatae?Waliotengeneza hiyo video wameacha hii aya
......لَيْسَ كَمِثْلِهِ شَيْءٌ وَهُوَ السَّمِيعُ الْبَصِير.(42:11)
Maana hilo umbile walilolitengeneza linafanana na mwanaadamu.
Kitu gani ambacho hujaekewa hapo, mbona maelezo yangu yamenyooka.Kwa hiyo sura tu au na mwili ni WA kalbi?
Kumbuka jamaa kalbi alikuwa mrembo sana
هذا الكلام من وين؟Allah anasema anamaumbo mbali mbali na anayabadili , ila siku ya mwisho mtakataa umbo lake jipya, je mlisha wahi kuliona la sasa mpaka akija new shape muikatae?
Kivipi??Rwanda wanaelekea pabaya
Wewe unagoma kwamba jibril akuvaa mwili wa kalbi, kwa nini hakuvaa mwili Aisha ?Kitu gani ambacho hujaekewa hapo, mbona maelezo yangu yamenyooka.
Inamaana kwa maelezo ni kwamba situation hii ndio kama situation ya yesu exactly?
Hayo nayo waliwahi kupiga marufuku.Sio kila kitu cha kuiga, wakipiga marufuku adhana wasisahau na utitiri wa makanisa yanayopiga mziki weekdays kwenye makazi ya watu tena kwa maspka
Utaenda kujilipua??.Ukataze adhana uruhusu wenye mabaa wapige mziki watakavyo,laana hiyo.Adhana ya dakika mbili ina tatizo gani? Adhabu yake ipo na siyo muda mrefu
Nipo hapa kuwapa elimu ambayo mmenyimwa madrasaهذا الكلام من وين؟
jibu swali, Je Mungu Yesu alikuwa bwabwa,kafa ana miaka 30 lakini alikuwa bado hajaowa, jambo ambalo sio la kawaida kwa mwanamme kwa enzi hizoMpaka uelewe tofauti ndio nikujibu?
Jibril alikuwa anaitumia mwili wa dihyah al-kalbi alikuwa akimaliza kuutumia anaurudisha kwa kalbi au? Je jibril mda wote yupo na mwili wa kalbi alikuwa anakunya?
.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
Hahaha 😂😂 nacheka sana ,jibu swali, Je Mungu Yesu alikuwa bwabwa,kafa ana miaka 30 lakini alikuwa bado hajaowa, jambo ambalo sio la kawaida kwa mwanamme kwa enzi hizi
Na mtume mwenyewe hakutumia kipazia sauti. Uhuru upo kuita adhan kwa sauti ya binadamu kama siku za akina Salaf.Mnatuboa kusema ukweli. Mungu anasikia hata unayowaza moyoni. Hahitaji kipaza sauti.
Acha kushashifu imani za watu na yako itakashifiwa..Hahaha 😂😂 nacheka sana ,
Ulipotea kwa mda , umeshafundishwa mungu wako Allah sio spirit?
Hakuna mahali nimekashifu , unataka kusema maandiko Yako nakuwekea ni kashfa?Acha kushashifu imani za watu na yako itakashifiwa..
Bado hujacheka kuna mengi huyafahamu kuhusu Mungu Yesu
Inamaana yesu alivaa mwili wa mwanaadamu?Wewe unagoma kwamba jibril akuvaa mwili wa kalbi, kwa nini hakuvaa mwili Aisha ?
Mbona unajipa ujiko ambao haupo kwani sahihi Bukhari inafundishwa kanisani?Nipo hapa kuwapa elimu ambayo mmenyimwa madrasa
Hadith Sahih al-Bukhari 6573 ......Allah will come to them in a shape other than they know and will say 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you ...... ,Then Allah will come to them in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord.
mlisha wahi kuiona shape ya Allah wapi?
Aya na Hadithi za Kiislam ziko sahihi,matatizo yako unaweka tafsiri unavyotaka wewe,unavyofahamu wewe,wenye dini yetu tukijaribu kukufahamisha,hufahamishiki..Hakuna mahali nimekashifu , unataka kusema maandiko Yako nakuwekea ni kashfa?