Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Ndugu Yako katika Imani chabuso amepinga bukhari amesema ameandika uongo, unamsaidiaje

Alafu mbona hujajibu ni wapi mmeona umbo la Allah mpaka mtakataa umbo lake jipya?

Hadith nimekata kwa weka dots ikimaanisha Kuna maneno yapo nyuma nime stick na point niliyotaka Kuwakilisha

Alafu msaidie kutambua Allah sio spirit na hana spirit ni physical being
 
Mimi siweki maana zangu naweka Hadith kama ilivyo wala hakuna edit yoyote nayofanya ,

Adhana ilikuja kwasababu wailsmu wa enzi za Muhammad walikuwa hawajui mda wa Sala ndio maana wakakusanyika wakasema wabuni kitu kuitana , wakaweka mada mezani kama kengele au tarumbeta ndipo Umar akaja na idea ya mtu kuita watu

Issue ya wake wa nne ni Allah kasema kwa waislamu wengine na Sheria hiyo haikumuhusu Muhammad , Allah kasema uanze na wake wawili kwa mpigo kuendelea kama huwezi ndio uoe mmoja

Pia Allah karuhusu kama una mjakazi au kwa sasa house girl tafuna na verse kashusha kabisa
 
Naona mjadala wetu uishie hapa maana hata mimi maswali ninayokuuliza huyajibu.

Ila uache uongo unajifanya unajua kiarabu kumbe hujui halafu unadanganya Che mittoga kuwa eti unatafsiri hadithi from Arabic to English.

Nikakutric kidogo tu kwa kuonyesha udhaifu wa google ukaloose confidence, wakati jibu sahihi lipo mbele ya macho yako and still huwezi kulitoa, na ukashindwa hata kujitetea kwa sababu hujui na ukijaribu ndio utadhihirisha ujinga wako.

Sasa kwa kuwa kiarabu hujui basi hizi stori zako za uongo&kutunga huwa either unazikopi sehemu, au unazisoma hadithi kwa kingereza ndio maana huwa unatoa maana ambazo hazipo, maana kingereza ni lugha ilitafsiriwa na sio lugha ya asili.

Halafu nimegindua hata ukristo wako huufahamu vizuri lakini cha kushangaza unahangaika na uislamu, yaani kwenu it doesn't matter mtu asipokuwa mkristo ila tu asiwe muislamu.

Allah subhaanahu wataa'la anasema:-

Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hivyo mnatuchukia kwa kuwa tumemuamini Mwenyezi Mungu na tuliyo teremshiwa na yaliyo teremshwa kabla, na kwa kuwa wengi katika nyinyi ni wapotofu?(5:59)
 
Kero zipo nyingi ndo kuvumiliana huko.
Sidhani kama adhana inaweza fikia hatua ya kuwa kero hivyo nje ya chuki labda kama speaker zimeelekezwa dirishani kwako hilo ni suala jingine.
sio kwa alfajir elewa mkuu
 
elewa , kelele kwa alfajir ndio kero , jifunze kulegeza fuvu hilo
 
weka hoja serikali iifanyie kaz , sio kwa visasi
 
hoja kubwa sana hii
 
nyinyi watu ni ngumu kumeza ndio maana dunia inawazingua sana sababu mnataka kila kitu mfanye kama mnavyotaka hamuheshimu imani na tamaduni
 
Aya kama hizi ndio za kuchukua kama zilivyo

Walio kufuru miongoni mwa watu wa Kitabu na washirikina hawapendi mteremshiwe kheri yoyote kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Na Mwenyezi Mungu humkusudia kumpa rehema yake ampendaye. Na Mwenyezi Mungu ni mwenye fadhila kubwa.(2:105)

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.(2:120)
 
kwanini Allah karuhusu Waislam waowe wake wanne,waanze na wawili,watatu,wanne,kama huna uwezo mmoja,nini maana ya sheria hii..kwanini iwe hivyo ?
 
elewa , kelele kwa alfajir ndio kero , jifunze kulegeza fuvu hilo
elewa , kelele kwa alfajir ndio kero , jifunze kulegeza fuvu hilo


Wewe vipi kichwa nazi?!!, Mbona jogoo wanawika kila alfajiri na hamuiiti ni kelele!?!, mbwa wanabweka bila mpango usiku kucha mbona watu hamlalamiki kelele?!!, mapikipiki na magari usiku kucha yanapita mitaani mbona hampigi yowe kwamba yanaleta kelele?!!---- adhana tu ya dakika 1 alfajiri ndio imekuwa kelele??!!---- kweli wahenga walisema; ukitaka kuua mbwa kwanza mpe jina baya.

Hakuna kingine bali ni Chuki yenu dhidi ya Uisilamu ndio tatizo.
 
ss mbwa na jogoo unawazuiaje ?
 
nyinyi watu ni ngumu kumeza ndio maana dunia inawazingua sana sababu mnataka kila kitu mfanye kama mnavyotaka hamuheshimu imani na tamaduni


Wewe akili yako ni ndogo, Katika nchi hii (Tz) kila mtu kikatiba anao uhuru wa kuabudu anachopenda, Waisilamu kama jamii wanazo ibada kadhaa na moja ya ibada kubwa kuliko zote ni swala ambayo inazo taribu zake, taratibu ya kwanza ni kitoa adhana, kutawadha, kukimu swala katika swala ya jamaa na kisha kuswali, anapokuja mtu na kusema adhana isitolewe eti sababu inaleta kelele huko ni kuingilia uhuru wa watu kuabudu.

Njia rahisi ni kupeleka jambo hilo bungeni ili lijadiliwe basi.
 
ss mbwa na jogoo unawazuiaje ?


Kama spika zimwekwa na watu na zinaweza kuzuiwa matumizi yake vipi jogoo na mbwa wasizuiwe??!, kwani jogoo na mbwa sio mifugo ya watu??!!---- kama watu wanaweza kuzuiwa kutumia spika basi watu pia wanaweza kuzuiwa kufuga jogoo na mbwa.
 
Hakuna swali umeuliza sijajibu, na wala usijifiche kwenye kiarabu , alafu kuhusu Hadith nina vitabu SITA vya Hadith tena authentic , tofauti na wewe uwa unaongea tu huweki rejea ata moja

Umekataa umbo la Allah unasema wamekosea , na Allah anasema atabadilika siku ya mwisho na mtalikataa umbo lake je mmeshawahi kuliona kabla?
 
kwanini Allah karuhusu Waislam waowe wake wanne,waanze na wawili,watatu,wanne,kama huna uwezo mmoja,nini maana ya sheria hii..kwanini iwe hivyo ?
Ni uzinzi tu anaendekeza , ndio maana hakuishia wake wa nne akasema mpaka house girl upige machine ,akaona haitoshi akasema mfanye na mutah
 
Bado hujacheka kuna mengi huyafahamu kuhusu Mungu Yesu
Nilikupa home work , ukajifunze kwanza mungu wako Allah sio spirit, umefikia wapi? Ukishajua utofauti wa
Allah - physical being
Jehovah - spirit

Ndipo nitakujibu kuhusu Mungu Yesu
 
huna jipa,hujui Kingereza,hujui maana ya Physical na Spritual..

Maswali kuhusu Mungu Yesu hukujibu hata moja,nimeweka kalamu chini hutonisikia tena
 
huna jipa,hujui Kingereza,hujui maana ya Physical na Spritual..

Maswali kuhusu Mungu Yesu hukujibu hata moja,nimeweka kalamu chini hutonisikia tena
Nimeshakwambia mungu wako Allah sio spirit mpaka na video nimekuwekea waislamu wenzanko wakieleza ,

Maswali kuhusu Mungu Yesu nitakujibu mpaka ukiri kwanza Allah sio spirit Allah sio Roho

Nakusaidia umjue mungu wako nature yake maana inavyoonekana umekuwa ukidanganywa
 
Ndio maana nipo hapa kukufundisha

17:59 "And We refrain from sending the signs, only because the men of former generations treated them as false
Katika majibu yako ya awali ulisema eti Allah kasema hakuna muujiza kwa Muhammad maana amezuia miujiza , wewe nani unamrekebisha ?
Nilipokutaka uoneshe wapi imeandikwa umekuja na hicho kipande hapo cha surat bani Israil 17 .ambacho hata japo hukumalizia aya yote lakini bado hicho ulichoandika hakizungumzii kwamba Allah alizuia muujiza kwa vile Muhammad s.a.w alizuia miujiza mwengine..Yeye Muhammad s.a.w kwa Mwenyezi Mungu ni nani hata azuie muujiza.Kama angekuwa na uwezo huo basi angezuia kuisoma ile aya katika surat Abbasa iliyomkaripia yeye mwenyewe pale alipompuuza kipofu ili awalinganie matajiri wa Makkah kwanza.
Tukirudi kwenye hiyo aya hapo juu 17:59 kwa urefu wake wote iko hivi,na nakuletea kwa Kiswahili kwani yawezekan kiingereza kinakuchanganya kwani hata hapo juu umetafsriri kimakosa.
Hakuna kilichotuzuia kuteremsha miujiza ambayo washirikina waliitaka isipokuwa ni kwamba ummah waliowatangulia waliikanusha, Allah Mtukufu Aliwajibu kwa waliyotaka wakakanusha na wakaangamia. Na tuliwapa Thamûd, nao ni watu wa Ṣãlih, miujiza iliyo wazi, nayo ni ngamia, wakaikanusha na tukawaangamiza. Na huku kutuma kwetu Mitume wakiwa na alama, mazingatio na miujiza tuliyoipitisha kwenye mikono yao, hakukuwa isipokuwa ni kuwatisha waja wapate kuzingatia na wakumbuke.
Allah s.w. katika aya hii alikuwa anamsimulia mtume Muhammad s.a.w juu ya jeuri walizofanya umma zilizopita maelfu ya miaka nyuma walipokuwa wakiletewa miujiza mara kwa mara halafu wanaleta jeuri ya kuongeza maneno badala ya kusadiki na kutekeleeza.Mwishowe Allah s.w akaamua dawa yao awaangamize.Ndio pale ikatajwa baadhi ya adhabu walizopoata baadhi ya Qaumu hizo mfano watu wa Thamud ambao ni watu wa nabii Saalih a.s. Hebu angalia hiyo aya na uongo wako uliotoa hapo juu.Jeuri zako kama hizi unapewa dalili halafu unapindisha maneno kujifurahisha nafsi yako ungekuwepo wakati wa Qaumu hizo ungeonja hizo adhabu.Lakini si neno hata leo Allah s.w aliyewaangamiza Qaumu hizo yuhai na anakuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…