Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Allah anasema hakuna kilicho mzuia ila kaamua kutoshusha , sasa wewe nani unasema Muhammad alikuwa na muujiza
 
Koran 10:20. Na wanasema: Kwa nini hakuteremshiwa Ishara kutoka kwa Mola wake Mlezi? Sema: Mambo ya ghaibu ni ya Mwenyezi Mungu. Basi nyinyi ngojeni, na mimi ni pamoja nanyi katika wanao ngojea.
 
Hivi unajua vitabu vya hadithi vinafika mpaka 10+? halafu wewe unasita tu!!

Hivi unajua kuwa kuna sahihi zingine ukiachilia sahihi mbili? halafu unajifanya unajua hadithi!

Hizo hadithi muhaddithuun wamezihifadhi kichwani sahihi kwa dhaifu, halafu wewe unazo kwenye simu tena kwa kutafsiriwa halafu unajifanya unaujua uislamu!!!

Halafu unasema anahadithi authentic! hivi unajua ili hadithi iwe authentic inatakiwa iwe na sifa gani?

Unaweza kumchambua hata rawi mmoja wa hadithi? au huwa unakopi tu kibubusa.

Asee wewe jamaa huna unachokijua.

kukibwa ambacho huwa ninikifanya ninapojadiliana na wewe ni kurekebisha tafsiri zako ambazo zipo kinyume na maana sahihi za nususi, sasa huoni kuwa unanichosha?
 
Unajua ata kwa nini nina 6 , kajifunze kwanza hilo, hivyo vingine ni ubabaishaji na vinapingwa Sana , ndio maana unaona mpaka Koran mnayosoma ni kwa mujibu wa hafs lakini hafs Hadith zake zote zilipingwa
 
Kwanza msaidie mwenzako chabuso kujua Allah sio spirit Anza na hilo kwanza umuokoe na upotoshaji alio potoshwa nao
 
Ngoja nikuonyeshe kwa hapa kuwa hakuna unachokijua.

Hili swali lako linaonyesha kuwa hujui hata maudhui ya hadithi ni yepi, zaidi ya hapo ulipo quote ndio maana ukauliza hili swali la kijinga.

Hii hadithi ni ndefu kama unadai unaijua, jibu haya maswali.

1. Sema hii hadithi inazungumzia kumuona mwenyezimungu siku gani?
2.je katika hiyo siku mwenyezimungu ataonekana mara ngapi?
3.Je kuonekana mwenyezimungu katika hayo mazingira ambayo hadithi inaeleza kunalazimu kuwa hakuonekana kabla?
4.Ni wakina nani ambao mwenyezimungu atawapa huu mtihani?
5.Kwa mujibu wa hadithi alifanya hivyo ili kuwapambanua akina nani katika hilo kundi ambalo litamfuata?
6.Hii hadithi katika sahihi Bukhari inapatikana katika mlango gani na kitabu gani?

Ukiweza kujibu haya maswali hata 3 maana yake unaijua hadithi, na automatically utakuwa umejijibu swali lako la kijinga.
 
Ndio maana nimekuwekea Hadith number na jina la Hadith, unachotakiwa kasome utapata majibu ,

Usikimbie nipo hapa kukufundisha
 
Jamaa amechimba nje ndani MUSTALAH AL HADITH na JARH WA TA'ADIL [emoji23]
 
Rudi kule umemkimbia mwenzako kisai , ninewakuta mnadanganya eti mna free will
Upo nondo sana ULAMAA - unafanya ISTIGH'MBAT [emoji23]

Unasoma maandiko mwenyewe na kuibuka na maana sahihi iliyokusudiwa na SPIRITUAL BEING au PROPHET, mfano andiko: CALVIN ANA MKONO WA BIRIKA - unachukua moja kwa moja maana ya maneno yaliyowasilisha dalili, unafunika unaendelea na andiko jingine [emoji23]

Yaonyesha wanazuoni wetu wa tafsiri na hadithi walikuwa wanacheza tu japo muda wote wa maisha yao waliutumia kusoma, kwa unavyowasilisha hoja zako umewazidi maarifa wote, walitakiwa waje wapige goti kwako

Jadiliana na wengine aisee, wewe 100% mimi 0%, ahsante
 
Hebu elezea kidogo hapa mkuu kuhusu hii ilmu
 
Dozi zinagawiwa kwa pande zote.[emoji1][emoji1]View attachment 2188614
Kagame anatakiwa kujua kwa yaliyotokea Rwanda 1994 (mauaji ya kimbali) ni hayohayo makanisa na misikiti yamesaidia sana kupunguza roho za visasi na chuki.Mtu kuuliwa familia yake na jirani yake na bado akaendelea kuishi karibu na jirani yule ni ngum kuwezekana bila uwepo wa Mungu.Anatakiwa pia kujua ingawa waanzilishi wa haya makanisa au misikiti wanapiga pesa ila hakuna kanisa au msikiti linalohubiri watu wakauwane hata kama mchungaji wake hajasoma.
 
Yalisaidiaje wkt makanisa hayo hayo ndio yaliyochochea mauaji mpk mapadri na masista wakafungwa huko magerezani.
 
Jamaa amechimba nje ndani MUSTALAH AL HADITH na JARH WA TA'ADIL [emoji23]
[emoji23]yaani anajimwambafai huyo, full kujipakulia minyama, anajifanya ana KUTUB SITTA[emoji23]

Kumbe hana anachojua kuhusu I'LMU-RRIJAAL.

JAAHIL MURAKKAB.
 
mimi namuita Ostaz Mokiti[emoji23]
 
[emoji23]yaani anajimwambafai huyo, full kujipakulia minyama, anajifanya ana KUTUB SITTA[emoji23]

Kumbe hana anachojua kuhusu I'LMU-RRIJAAL.

JAAHIL MURAKKAB.
Unapo ita watu ignorant haisaidii

Nipo hapa kuwaumbua na uongo mnaoweka , nimemkamata mmoja nimekuta anadanganya kwamba Allah kawapa free will
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…