babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Usisahau na hawa wenye zinazoitwa studio. Wanaingiza movies na nyimbo. Wanafungulia music kwa sauti za juu kuanzia asubuhi hadi saa nne usiku. Tena kwenye makazi ya watuUmenikumbusha bar, nazo ziko kwenye makazi ya watu zinaachia mziki. Hivi tz hakuna sheria zinazofuatwa. Mfano nasikia eti vituo vya mafuta vinabidi viachiane 3 kms, lakini unakuta viko opposite eavh other, bar kwenye makazi ya watu
Uhuru lazima uwe na mipaka..mbona nyie mnakataza wasio waislamu wasipike ama kula mchana..huko kwenu zenji..mnakera kichizi yani.Huyu Kagame anapoelekea sipo katiba yao haina kipengele cha Uhuru wa kuabudu [emoji2959][emoji2959][emoji2959]
Nenda rwanda ukamwambie PK.Siungi mkono suala hilo, Rwanda wana mambo ya kiwaki sana
Hajakataza ili punguzeni mikelele.Mm ni mkristo but kitendo huyu jamaa kujimwamba fy ktk dini hizi mbili,zitampelekea vita nzito ambayo hataiweza na pengine ikamgarimu maisha.
Vita za kidini kati ya serkali na dini,
Huishia kuangusha dola,na ikifanikiwa kusimama dola bas kiongozi wa dola ndiye atakayeanguka.
Asivimbe sana ,muda huakoseagi target.
Ungekuwa unakaa karibu na site kwangu ndo ungejua maana kuna kanisa wanakesha usiku wa manane na ma spika full kelele.Rwanda wanaelekea pabaya
Punguzeni kelele..kwani waumini wenu hawajui muda wa kuabudu mpaka wapigiwe mikelele kila siku kukumbuswa..Abuu Hurayrah anasema kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) anasema:
(( Lau kama watu wangelijua fadhila zilizopo kwenye adhana na safu ya kwanza, kisha wasipate njia ya kuzipata ila kwa kupiga kura, basi wangelipiga kura. Na lau wangelijua fadhila za kuwahi mapema (Msikitini), basi wangelishindania. Na lau wangelijua fadhila za ‘Ishaa na Alfajiri, basi wangeliziendea hata kwa kutambaa)). [Hadiyth Swahiyh: Imefanyiwa “ikhraaj” na Al-Bukhaariy (615) na Muslim (437].
Uhuru lazima uwe na mipaka..mbona nyie mnakataza wasio waislamu wasipike ama kula mchana..huko kwenu zenji..mnakera kichizi yani.
#MaendeleoHayanaChama
Ukitaka kuona fujo ya maana serikali iingilie mambo ya kidini yami itokee leo aseme hamna pasaka ,maandamano kwa wakristo, kutumia vipaza sauti ndio utaonaMada kama hii ya "Adhana" ilimfukuzisha kazi Dada mmoja maarufu tu huko Twitter baada ya kukaa kwenye kipindi cha Televisheni alichokua akiendesha aka support hoja ya 'Mgeni Mualikwa' baada ya Mgeni kusema kwamba 'Adhana' ni Noise pollution!..Kipindi kikaisha saa 07:50, sijui wale jamaa wa Bakwata walitokea wapi..wakatwanga simu moja kwa 'Mmiliki' ...ndani ya Dakika chache walimiminika wale jamaa kwenye viunga vya studio wakitaka ufafanuzi wa hoja zilizoungwa mkono na 'Presenter'.....Flashback hiyo! Zamani kidogo imetokea..na Huyo Dada alirudi kwenye runinga baada kama ya 7 yrs hivi! [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mada korofi sana hizi!
Kuna kitu kila ijumaa huku Kibaha kinaitwa mhadhara au mawaidha baada ya swala ya ijumaa.
Kwanini huyo sheghe hawaambii watu wake walio msikitini ?
Anaweka ma spika makubwa na kuwatangazia wananchi walio nje.
Kwanini asiwahabarishe wale walio ndani,?
P Kagame siyo wa kuogopa Jihad uchwara Rwanda.Mm ni mkristo but kitendo huyu jamaa kujimwamba fy ktk dini hizi mbili,zitampelekea vita nzito ambayo hataiweza na pengine ikamgarimu maisha.
Vita za kidini kati ya serkali na dini,
Huishia kuangusha dola,na ikifanikiwa kusimama dola bas kiongozi wa dola ndiye atakayeanguka.
Asivimbe sana ,muda huakoseagi target.
Kwanini wewe uone ni haki yako kulala na usiamshwe,lakini usione haki ya wale wanaotaka kuamshwa!?