Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Ukitaka kuona fujo ya maana serikali iingilie mambo ya kidini yami itokee leo aseme hamna pasaka ,maandamano kwa wakristo, kutumia vipaza sauti ndio utaona

Au aseme amna iddi wala adhana ndio utajua kumbe hata raia wanamafunzo ya jeshi
😄😄😄 Patachimbika siku hio.
 
Hii ni sawa kabisa, hata huku pia ipigwe marufuku pamoja na zile kengele za makanisani.

Katika dunia ya sasa ya sayansi na teknolojia kuna njia nyingi za kujua muda hivyo sio muafaka kupigia watu kelele japo nafahamu kwa hapa mtawala wa sasa atawakingia kifua waendelee na adhana yao.
 
Sio kila kitu cha kuiga, wakipiga marufuku adhana wasisahau na utitiri wa makanisa yanayopiga mziki weekdays kwenye makazi ya watu tena kwa maspka
Tena hii ndio kero zaidi
 
Pale sinza palestina ndio balaa
Hadi nikaamua kuhamia pengine. Hawa wana makelele sana na wakiambiwa wanaanza fujo.

Hawaendi na nyakati. Hiyo adhana ilikuwa kwa ajili ya miaka ile hakuna saa wala alarm. Haihitajiki dunia ya leo.
 


Hamuendi na nyakati. Hiyo adhana ilikuwa kwa ajili ya miaka ile hakuna saa wala alarm. Haihitajiki dunia ya leo.
 
Wakongwe wa Dar tunakumbuka vema, hoja ya kupiga marufuku adhana iliwahi kuletwa na aliyekua RC wa Dar Brigedia Hassan Ngwilizi. Kilichompata mwenyewe ndio anajua.
 
Yalishapigwa marufuku huko,huna degree ya Theology hutakiwi kuanzisha kanisa...
Sio kila kitu cha kuiga, wakipiga marufuku adhana wasisahau na utitiri wa makanisa yanayopiga mziki weekdays kwenye makazi ya watu tena kwa maspka
 
Wakongwe wa Dar tunakumbuka vema, hoja ya kupiga marufuku adhana iliwahi kuletwa na aliyekua RC wa Dar Brigedia Hassan Ngwilizi. Kilichompata mwenyewe ndio anajua.
Tuache kutisha watu, jamii yoyote iliyo na ustaarabu hayo makelele ya kilevi ni ujinga unaopaswa kupingwa. Nenda pale UDSM upo Msikiti wa wasomi Maprofesa huwezi kukuta hizi kelele za Wapuuzi wanaobwabwaja kwa nguvu mpaka hewa inawatoka matakon huku mtaaani.
Tuache kuwapigia watu makelele kama walevi kwa kisingizio cha kuabudu, huo ni ushtani na kukosa Busara
 
Kwa hiyo ukiamshwa saa 10-11 alfajiri kwa dk 5, unalala tena? Acheni kubudhuni wenzenu, jamani. Fikirieni wenzenu pia. Hamuishi kisiwani. Unaweza kuabudu bila kubughudhi wanaokuzunguka.
Kwa hiyo Unataka kulala mpaka saa ngapi ili wasogeze muda wa adhana?
 
Huwezi kutetea ukosefu wa busara ukiwa we ndio kiongozi wa kukosa busara....rudia andiko lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…