Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Watuwengi hawaelewi kuwa dini ni utaratibu wa kibinadamu. Na utaratibu wowote unaweza kubadilishwa. Hata Muhamad hajawai kutumia maspika kuhazini ila wanadam wakaamend kutokana na mabadiliko ya Tech. Ni muda muafaka sasa waamendi watumie alam za sim kuamshana.

Wewe unadhani Adhana ni kwa ajili ya Wenyeji wa mahali inapotoplewa tu??, adhana ni kwa kila Muisilamu mpita njia, mgeni, msafiri nk, adhana inapotolewa basi kila Muisilamu atajua msikiti ulipo na kama atataka kwenda na ataenda hivyo mbali na mafundisho na nasaha zilizomo ndani ya adhana lakini pia adhana ni utambulisho wa location ya msikiti.

Watu hawajui maana ya maneno ya adhana na ndio maana wanaita ni kelele, Mungu apishe mbali, na hii inatokana na watu wengi kupungukiwa na hofu ya Mungu, ukipigwa mdundiko, mnanda, mchiriku, au sebene nk, huwezi kusikia watu wakilalamika kelele.

Hizi.ni alama za mwisho watu kutojali na kumuhofu Mungu.
 
Mimi sipend, mnakera sana kiukwel, makelele kila asubuh bhana, watu hatulali, na bahati mbaya sio wote ni wa dini hiyo, this is too much kwa kwel mkera sana watu. Muache.
 
Mwenyezi Mungu amuangamize yeyote anayetaka kuidhalilisha dini yake kama alivyowangamiza kina Fir-auni,Namrudha na wengineo katika ulimwengu huu.

Huyu jamaa kisha ikamata Rwanda hakuna wa mnyarwanda mwenye kumchallenge akakubali lazima amdhoofishe,Sasa hapa kwenye Adhana amechezea Moto utakaomchoma muda si mrefu.
Hapo umeongea upupu kabisa. Hakuna dini ya Mnyezi mungu. Mungu hana Dini, hizi ni Taratibu za kibinadam wamejiwekea
 
Wenye dini yao kule uarabuni wameshaanza kubadilika, nyie waswahili ndio bado mnasumbua watu na hayo makelele.
Hakuna anayewazuia kuabudu huyo alla na Mohammed, mnachoombwa ni myafanye bila kusumbua wasiohusiana na hayo mavitu.

Wewe unajua kiingereza vyema??

Wewe ni kabila gani ili tuongee kikwenu labda utaelewa hicho kilichoandikwa hapo na kile kilichopigwa marufuku Rwanda.
 
Mimi sipend, mnakera sana kiukwel, makelele kila asubuh bhana, watu hatulali, na bahati mbaya sio wote ni wa dini hiyo, this is too much kwa kwel mkera sana watu. Muache.
Ni kuvumiliana tu usiyokipenda mwingine anakipenda.
Waovu ndo uogopa adhana
 
Kagame ni wakala wa shetani kuwa kinyume na mambo ya Mungu sio ajabu.
Kagame amesababisha wajane na yatima wengi sana Rwanda, Tanzania na congo.Ana dhambi ya vichwa vingi Sana vya watu.
 
Wewe unadhani Adhana ni kwa ajili ya Wenyeji wa mahali inapotoplewa tu??, adhana ni kwa kila Muisilamu mpita njia, mgeni, msafiri nk, adhana inapotolewa basi kila Muisilamu atajua msikiti ulipo na kama atataka kwenda na ataenda hivyo mbali na mafundisho na nasaha zilizomo ndani ya adhana lakini pia adhana ni utambulisho wa location ya msikiti.

Watu hawajui maana ya maneno ya adhana na ndio maana wanaita ni kelele, Mungu apishe mbali, na hii inatokana na watu wengi kupungukiwa na hofu ya Mungu, ukipigwa mdundiko, mnanda, mchiriku, au sebene nk, huwezi kusikia watu wakilalamika kelele.

Hizi.ni alama za mwisho watu kutojali na kumuhofu Mungu.
Majengo ya misikiti inajulikana na hakunasababu ya makelele. Watu wamelala unasikia kiarabu alafu wanaanza kutishia Mara sanda, mara Kaburi hadi unajiuliza unaenda mzimuni au
 
Mwenyezi Mungu amuangamize yeyote anayetaka kuidhalilisha dini yake kama alivyowangamiza kina Fir-auni,Namrudha na wengineo katika ulimwengu huu.

Huyu jamaa kisha ikamata Rwanda hakuna wa mnyarwanda mwenye kumchallenge akakubali lazima amdhoofishe,Sasa hapa kwenye Adhana amechezea Moto utakaomchoma muda si mrefu.
[emoji1][emoji1][emoji1] Takbiiiir Takbiiiir Takbiiiir
 
Nasaha zangu kwa waislamu wa Rwanda

1. Waheshimu na wafuate taratibu zilizowekwa na mamlaka

2. Warejee katika asili ambayo ni kuadhini kwa kutotumia vipaza sauti 'swala za al-fajiri'

3. Waendelee kuadhini milangoni au ndani ya misikiti kwa sauti ya wastani

4. Kwa misikiti iliyokaribiana mmoja waweza adhini na ikatosheleza: adhana ni faradhi kifaya 'si lazima kila msikiti uadhini'

5. Itolewe elimu kwa waumini kuondosha hali zisizotarajiwa zitokanazo na ufahamu mbovu, mihemko, hamasa na mengineyo mfano: maandamano

6. Waumini wapeane taarifa kuhusu tamko la mamlaka, wanasihiane kuwa wapole na waendelee kutekeleza ibada zao kama kawaida

Yanatosha kwa leo [emoji1691]
Kumbe mnaweza kuishi kwa utulivu na ustaarabu..haya makelele huku tz mbona mnayaendekeza.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagame ni wakala wa shetani kuwa kinyume na mambo ya Mungu sio ajabu.
Kagame amesababisha wajane na yatima wengi sana Rwanda, Tanzania na congo.Ana dhambi ya vichwa vingi Sana vya watu.
Naona umejivika utakatifu..haya jilipue uende ukapewe bikra 72.

Mana hii dunia ya wadhambi haikufai.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unajua kiingereza vyema??

Wewe ni kabila gani ili tuongee kikwenu labda utaelewa hicho kilichoandikwa hapo na kile kilichopigwa marufuku Rwanda.

Muabudu mambo yenu ila msipigie watu makelele, hakuna anayekuzuia kuvaa mikanzu na kulea ndevu, ila acha makelele, watu wamelala alfajiri.
 
Eti "nawapongeza".... Rubbish kabisa

The way Uislam unavyopigwa vita na kuchukiwa...mwisho wa siku ni majuto makubwa na hasara kwa atakae Fanya hivo

Uislamu ni neema ambayo ukiikosa utakuja kujuta sana..
We danganyika na haya maisha mafupi....ila siku roho itakapoachana na mwili ndio utajua

Screenshot_20220416-114655.png
 
Majengo ya misikiti inajulikana na hakunasababu ya makelele. Watu wamelala unasikia kiarabu alafu wanaanza kutishia Mara sanda, mara Kaburi hadi unajiuliza unaenda mzimuni au

Kumbe wewe unaogopa kile kiarabu??!!🤣

Adhan ipo hivi (in transliteration)

Allah akbar ×4= Allah ni mkubwa.
Ashhadu an laaillah illa llah×2 == Nashuhudia kwamba hakuna Mungu isipokuwa Allah.
Ashhad anna Muhanmada alrasullullah×2== Nashuhudia Muhammad ni mjumbe wa Allah.
Hayya ala swalaa×2== Njooni kusswali.
Hayya ala falaa×2== Njooni kwenye ufaulu.
Allahu akbar×2== Allah ni.mkubwa.
Laa illaha ilaa llah×1=Hapana Mungu isipokuwa Allah.

Sasa hiyo ndio maana ya maneno ya adhana na inaimbwa kwa kiarabu sababu Islam is a universal religion joined worldwide through Quranic arabic.

Usihofu mkuu,🤣
 
Kagame ajakua bado akikua ataona Hakuna jipya zaidi kaukimbiza upepo. Ina maana kama ataishi milele.
 
Sawa adhana itakatazwa na kengele katika makanisa ya Roman kila alfajiri zitaruhusiwa kwakua ile siyo kelele ni sauti nzuri inayo vutia
Makanisa ya Catholic hawaweki hata hizo kengele zenyewe kwenye makanisa yao siku hizi
 
Muabudu mambo yenu ila msipigie watu makelele, hakuna anayekuzuia kuvaa mikanzu na kulea ndevu, ila acha makelele, watu wamelala alfajiri.

Wewe unayochuki na husuda binafsi dhidi ya Uisilamu; Mtume mtukufu (saw) alipata kutuhusia kwamba,

"Jiupusheni na husuda hakika husuda hutafuna mema ya mtu jinsi moto unavyotafuna kuni".

Mema yako yanatafunwa na husuda yako dhidi ya Uisilamu mbaya zaidi kwako ni; Islam is the FASTEST growing religion in the entire world.

My advice to yuo; If you can't beat it join it, you are not late.
 
Kagame kazikuta dini atakufa ataziacha. Ni SAwa na aliyetaka kuuwa upinzani akafa yeye upinzani ungalipo imara tu
 
Back
Top Bottom