Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Watuwengi hawaelewi kuwa dini ni utaratibu wa kibinadamu. Na utaratibu wowote unaweza kubadilishwa. Hata Muhamad hajawai kutumia maspika kuhazini ila wanadam wakaamend kutokana na mabadiliko ya Tech. Ni muda muafaka sasa waamendi watumie alam za sim kuamshana.
Wewe unadhani Adhana ni kwa ajili ya Wenyeji wa mahali inapotoplewa tu??, adhana ni kwa kila Muisilamu mpita njia, mgeni, msafiri nk, adhana inapotolewa basi kila Muisilamu atajua msikiti ulipo na kama atataka kwenda na ataenda hivyo mbali na mafundisho na nasaha zilizomo ndani ya adhana lakini pia adhana ni utambulisho wa location ya msikiti.
Watu hawajui maana ya maneno ya adhana na ndio maana wanaita ni kelele, Mungu apishe mbali, na hii inatokana na watu wengi kupungukiwa na hofu ya Mungu, ukipigwa mdundiko, mnanda, mchiriku, au sebene nk, huwezi kusikia watu wakilalamika kelele.
Hizi.ni alama za mwisho watu kutojali na kumuhofu Mungu.