Rwanda wanajenga kinu cha Nyuklia; sisi bado tuna maono ya kujenga madarasa miaka 60 ya uhuru

Just keep on praying our race don't get to power. Keep on crossing your fingers tightly we don't own magogoni and Dodoma.
Why all that comrade?!!!

Tanzanians are the ones and all of us enjoy being the citizens....

All races participate in "keki ya taifa"....race ipi haipo mezani?!!!
 
Kabla ya kulileta jeiefu, ungeliwakilisha kwenye chama chako
 
Rasilimali tulizonazo ni nyingi kuliko Rwanda hivyo tunapaswa kuwa na uwezo mkubwa sana.

Je unataka kutuambia kuwa kama kila mkoa wa nchi hii ungekuwa nchi inayojitegemea, maendeleo ya kila mkoa yangekuwa makubwa kuliko haya yaliopo?

Burundi ni ndogo kama Rwanda lakini haijaendelea!
 
Hizo nazo pia propaganda hasi mkuu 🤣🤣

Hebu jionee hapa......
Mpumbavu kweli wewe na ndio maana tunawatoa akili UVCCM mnakuwa kama mazombie yani suala la shida ya maji,umeme na umaskini uliotukuka ikiwa pamoja na huduma mbovu za afya ni propaganda!!!!!...kwamba sisi wengine hatuoni kwakuwa tunaishi Botswana??!..bibi yangu alifariki kutokana na ubovu wa barabara katika process ya kumpeleka kituo cha afya akafia njiani..acha upumbavu dogo
 
Mbona Burundi Ni nchi ndogo na haijaifikia Maendeleo RWANDa?

Kwahiyo unaamini udogo wa nchi Maendeleo?

Mbona TANZANIA ni ndogo kwa marekani na Marekani imeizidi TANZANIA Maendeleo?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Why all that comrade?!!!

Tanzanians are the ones and all of us enjoy being the citizens....

All races participate in "keki ya taifa"....race ipi haipo mezani?!!!
No you are mistaken. Since the beginning you have sidelined us. You fear us for nothing. The founder of this nation was a hypocrite he is the one who instigated all this hatred towards us by inflicting some mentality to other communities. It's better we call upon a referendum we have our own nation.

Magonjwa Mtambuka
 
Hivi kuna mwaka chadema iliwahi kushika nchi? Halafu kama madarasa hakuna unataka yaachwe kisa rwanda wana jenga kinu cha nyuklia?
Kuna mwengine yeye alielekeza nguvu kwenye mabarabara
 
What are you talking compatriot?😳

Are "Chagas" sidelined by this nation?!!

Chagas are all over this nation....from the government ,armies to special bureau....that fear is particular in you...yourself.....
 
Listen carefully you Chagga hater. I promise you I will use all my massive blessed resources to track you down and fix you up. This is a solemnly promise I swear to God Jesus you must pay for this atrocities.

QENGAY
Asante mkaldayo..
 
nuclear power sio rafiki sana aisee wawaulize japan,urusi na marekani ilivyowafanya licha ya kuwa na teknolojia ya hali ya juu.Bwana Kagame chondechonde isije ikatokea disaster huko kinu kikaripuka halafu nuclear radiation zikaja kutufikia hadi sisi huku,hicho kinu chenu mkijenge mbali na mipaka ya Tanzania msije kutuletea balaa
 
Hili tatizo ni two folds...wanoweza hawapo kwenye nafasi mahususi wasio weza hawana aibu ya kusema hawawezi, most are with no integrity...Uki interact nao ndiyo unagundua kumbe!

Uzalendo ni pamoja na kuacha kupoteza muda kwenye vyama ambavyp vimeshaji compromize...Please join CCM kwa wingi tupate chama chenye nguvu na watu wenye integrity kisha tukishajaa humo tukubali kuwa responsible kuondoa yooote yasiyo ya msingi kwa nchi yetu including kujenga vyama vyenye integrity na siyo hivi vya wachumia tumbo!

Mpaka sasa integrity ni bidhaa adimu sana Tanzania kila kundi linafikiria tumbo zaidi kuliko mustakabali wa taifa letu...Mtu akipewa ulaji tu huyo kimya...Asipopewa basi anapiga makelele as if ni mzalendo kumbe tabulalasa kama wengine tu!
 
Mbona Burundi Ni nchi ndogo na haijaifikia Maendeleo RWANDa?

Kwahiyo unaamini udogo wa nchi Maendeleo?

Mbona TANZANIA ni ndogo kwa marekani na Marekani imeizidi TANZANIA Maendeleo?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mkuu umeonja pombe leo siku ya Mwalimu Nyerere?.Hiyo hoja yako kati ya Marekani na Tanzania haieleweki.
 
Nuklia ni nishati nzuri ya kuzalisha umeme, tatizo lipo kwenye kuhifadhi mabaki ya nuklia baada ya kuzalisha nishati hiyo. Mabaki hayo bado yanakuwa yanatoa miozi (radioactive). Mionzi hiyo ni hatari sana- inasababisha madhara makubwa kwa binadamu, wanyama na mimea. Vile vile magaidi wakipata inaweza kuleta taharuku katika hiyo nchi. Teknologia hiyo ya nuklia siyo ya kukimbilia, sisi tukimbilie vyanzo vya maji, jua, upepo na maji moto ya ardhini.
 
Sawa Mkuu hebu ona hapa chini...
 
Kisha nionavyo mimi na kwa experience yangu yakuwa mwana CCM tangu tumboni mwa mama kisha kujiunga mwenyewe huku ukubwani; Wengi wa wanaokimbilia siasa na uongozi wali fail somehwere (angalia wengi japo si wote, elimu zao ni za kuunga unga na zipo mahususi ku justify uwepo wao kwenye nafasi zenye institutional power ili wapate livelihoods na siyo kuongeza welfare ya wananchi) na hivyo wameifanya siasa kama livelihood option yao na wale ambao in average wanaelewa nini kinatakiwa kufanyika wapo passive huku wakionekana kama vile wanasubiri rehema na neema na mara wakipewa ka nafasi tu na hao mediocres ndiyo wanakuwa wakwanza kuwa oppress wenzao wenye uwezo ili kuji exhibit kuwa ni loyal kwa hao mediocres yaani hili group la wajanjawajanja wasio na maono wala uwezo...Na hii ni kila sekta iwe mashirika ya umma, iwe vyuo vikuu iwe serikali za mitaa every where...Mpaka lile kundi ambalo linauwezo likubali responsibility na kuwaondoa technically hawa weak beings kwakutumia mifumo sahihi hakuna kitakachobadilika; take it from me!

Kwakufikia hapa ndipo nami na amini pengine katiba mpya itatusaidia kuwaondoa hawa mediocres waliojazana kwenye sehemu nyeti kwaajili ya kuendeleza nchi yetu...

Leo nimeamka kizalendo zaidi!
 
Sawa mkuu wangu....
 
Rwanda ni nchi ndogo sana kama mkoa mmoja tu wa Tanzania Bara. Ukumbuke hilo unapozilinganisha hizi nchi mbili.
Look at this Arrogance,......
Such shortsightedness, arrogance and naivety are dangerous leeches sucking the sanity out of this nation. Hivi kuzalisha nishati ya nyuklia ni lazima uwe na Uranium mkuu ??? Lakini pia Afrika tumesiani mkataba wa Pelindaba (The Pelindaba Treaty 1996) ambao unazuia nchi zetu kujihusisha na tafiti za kinyuklia. Rwanda ni mwanachama wa huu mkataba: Je, atakwepaje vikwazo vya kisheria za kimataifa ??? (Hili linawezekana na Rwanda anaweza kulifanya japo sitakujibu)

A man shall fly through the power of his mind........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…