Rwanda yafunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki

Serikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo.

Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.

Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.

Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo
Rwanda

Ni mawazo mfu kuilinganisha Rwanda na Tanzania. Mara, kwa, Mara naona mtu anatoa jasho na kuongelea ki nchi cha Rwanda na Tanzania na kuilinganisha siasa za huko na za, Tanzania. Ukiona umetoa hoja hiyo ujue una mawazo mfu. Rwanda as Rwanda ceteris peribus ni void ab initio.
 
Kanisa katoliki limekiuka taratibu gani,kanisa katoliki linajulikana mahali pote kuwa ni wastaarabu na watu wenye kuheshimu taratibu za mahali. Labda serikali ya Kagame,ndiyo inawachokoza.
 
Na freemason wanapitia humohumo kwenye dini,,na wanaanza kuwawahi watoto kwa matumizi ya baadae
Wapumbavu wa ccm awawezi kuona huu uhalibifu wamepofuka macho na wao ndiyo wanatoa vibari kwa manabii wa uongo na mitume feki kila kukicha na kusababisha taifa kuwa la kipumbavu ...watu wengi awajiulizi mbona kwenye bongo flave wasanii wanadhibitiwa ila mitume feki wanafanya mambo ya kihuni wala awafanyi lolote wanafilisi familia za watu na kufukarisha ...wanakiuka wazi wazi kanuni kuu ya siku 6 fanya kazi ya 7 ndiyo ya bwana mungu wako.
 
Nyumba za ibada nyingi kuliko shule na hospitali
Acha uongo, wingi Siyo sababu, ubakaji , wauza madawa na chuki zinazoletwa na hao "wenye cult" .

Kwahiyo Saudi wapige marufuku uislamu kwakuwa misikiti ni mingi kuliko shule na vyuo?
 
Serikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo.

Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.

Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.

Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo
Nyie wakristo ni wapumbavu wakati kagame anafungia misikiti nlikua mnashangilia na kumuona yuko sahihi
Saiv kafungia makanisa mnaanza kumponda .
 
Ni kuyapiga pin yote sio wagalatia wala wazee wa makubazii...dini zenye asili ya Africa ndo ziruhusiwe tuu.
Haya madini yenye utamaduni wa kiarabu na kizungu ndo changamoto ya mtu mweusi.
Tatizo ni madhehebu uislamu na ukristo hauna tatizo lolote kubwa tupige marufuku madhehebu yote ya dini uislamu ubaki kuwa kitabu na mtu binafsi na ukristo hivyo hivyo ....hijabu ziondoshwe mashuleni watanzania tujengwe kitaifa siyo kidini au sasa tumefika pabaya yani tumejengwa kidini na kimadhehebu hivyo tume farakana wenyewe kwa wenyewe.
 
Msabato anamuita mkatoriki ni mpinga Kristo.
Bado Ruto naye anatamani sana staili ya msabato mwenzake Kagame.
 
Riwanda ni nchi Smart sana kwa Africa wanaweza kuongoza kwa idadi kubwa ya watu wanaojitambua. Kaz iendelee ni kama China tu fagia majumba yote ya kukusanyia Chenchi na upotoshaji.
 
Serikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo.

Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.

Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.

Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo
Safi sana na hapa Tanzania Serikali ianze kufunga makanisa, parokia na misikiti. Ibakize makanisa 50, parokia 50 na misikiti 70 nchi nzima. Itatosha sana na ujinga utapungua
 
Rwanda hawajawahi kufungia msikiti acha uongo labda hayo makanisa hususani katoliki kutokana na kunasibishwa na chokochoko zao zile za 1994,
Kuna sheikh ana degree kule Rwanda kweli? Maanake kigezo kilikua ndio hicho; huna ANAFUNGA na jamaa hanaga gear ya reverse kama JPM
 
Back
Top Bottom