Rwanda yafunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki

Shule ipi imefunguliwa freemason?
 
Naunga sana mkono sheria hizo za Rwanda.

Mafundisho na mifumo ya kidini inaongoa watu na kuwaweka katika maisha ya kitakatifu, hasa ndiyo lengo.

Viongozi wa dini ama madhehebu wanatakiwa wawe ni mfano wa kuingwa na waumini wao, lakini kinyume chake, viongozi wa dini wengi wao wamekuwa ni matapeli wa kunyonya masikini na kujilimbikizia mali.

Mifano hii ipo sana nchini mwetu, makanisa yanaota kama uyoga si kwa sababu kuna mahitaji makubwa ya kijamii, bali ni vijiwe vya kutapelia watu kwa njia ya kuwatia hofu kupitia jina la Mungu.

Nasi Tz serikali ingeangazia mfumo mzima wa sheria zilizopo kuhusiana na mambo hayo, maana ndani ya madhehebu kuna ufisadi wa kutisha na wa kila aina uliopewa baraka kupitia sheria za nchi.
 
Sawa mgalatia
 
Kagame yeye sio mnafiki.....alishaamua kuwa ibilisi hachanganyi Na wala hataki kuwa vugu vugu ndio maana anaishi.

Wale wanaochanganya hawadumu.
Yoyete anaemsema vibaya Kagame akigundulika huko church anapigwa komeo, ni sawa hapa Kakobe alimzingua bwana yule akampigia komeo fasta yaan hakuchelewa wala kukawia mara moja Kakobe akapigwa komeo
 
Yoyete anaemsema vibaya Kagame akigundulika huko church anapigwa komeo, ni sawa hapa Kakobe alimzingua bwana yule akampigia komeo fasta yaan hakuchelewa wala kukawia mara moja Kakobe akapigwa komeo
Ndicho kinachotokea huko wala sio kwamba anapambana na Dini bali na Watu wanaowaamsha wananchi.

Dini ina hubiri haki, kwa pk hakuna kitu kinaitwa haki.
 
Ndicho kinachotokea huko wala sio kwamba anapambana na Dini bali na Watu wanaowaamsha wananchi.

Dini ina hubiri haki, kwa pk hakuna kitu kinaitwa haki.
Hicho ndio kitu watu hawaelewi mfano hapa ghafla bwana yule wa Tanganyika P aanze kufokonyoa Serikali yaan pale Tanganyika P fasta panachukuliwa panajengwa kiwanda cha kubangua korosho haraka sana na yeye anasambaratishwa atafute pa kwenda
 
Ukileta hapa kwetu nchi itawaka moto,,imagine Kizee kivaa kobazi na kanzu lake limepauka, imagine vimama vya kilokole vilivozoea kukanyaga mafuta....watu hawa wamepokea dini kuliko wenye nazo...chanzo cha umaskini wa taifa letu.
 
Anajua hawezi kuhubiri haki dhidi ya watu wa rangi ya majani.

Hata akijitokeza tu kuitaka ifanya chaguzi huru basi ndio mwisho wake na miujiza yote inakata.
 
Ukileta hapa kwetu nchi itawaka moto,,imagine Kizee kivaa kobazi na kanzu lake limepauka, imagine vimama vya kilokole vilivozoea kukanyaga mafuta....watu hawa wamepokea dini kuliko wenye nazo...chanzo cha umaskini wa taifa letu.
Na huko Rwanda dini ilijikita mizizi sana hasa makanisa.

Serikali ikiamua lazima watafyata tu mikia zao.

Mfumuko wa madhehebu ya kitapeli imenifanya nizichukie dini na kuona kama wote ni matapeli tapeli tu, hasa ukiangalia life style ya viongozi wa dini wanavyoishi.
 
Ni Wahuni
 
Serikali haina dini,,ukivunja na ukiuka sheria wanakufyeka tu
 
Askofu wa Ovyo kwenye Kanisa Katoliki.

Your browser is not able to display this video.

Angekuwa yuko Rwanda huyu naye angefungiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…