Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kule maasi ni mengi sasa watu wanakimbilia kumwabudu Mungu kama kinga yao.Hivi nchi ya Rwanda ilivyo ndogo inawezaje kuwa na makanisa 10,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule maasi ni mengi sasa watu wanakimbilia kumwabudu Mungu kama kinga yao.Hivi nchi ya Rwanda ilivyo ndogo inawezaje kuwa na makanisa 10,000
Shule ipi imefunguliwa freemason?Naungamkono ...mimi natamani serikali zipige marufuku madhehebu ya dini zote tubaki na ukristo na uislamu usio wa madhebebu hivyo kuwe na nyumba chache za ibada zilizo hulia ambazo zitajengwa na serikali moja kila wilaya basi pia ipige marufuku shule za elimu dunia kuwa za kidini yaani kama mkristo akifungua shule hiyo shule iweshule tu siyo kwa mlengo wa dini ya mmiliki au dini ya dhehebu felani na kwa waislamu hivyo hivyo kwa sasa hadi fremason watafungua shule zao ya primary na secondary na kuzidi kuligawa taifa vibaya kupitia roho za watoto toka wadogo ....kumbukeni maandiko yanayo sema ufalme uliofarakana hauta simama .. serikali ipige marufuku vipindi na masomo ya dini kwenye shule zote za serikali na binafsi watoto wasomeshwe dini kwenye shule zisizo toa elimu.lasmi ya dunia
Safi kabisa, mengine kuyaboresha yawe masoko, office za umma nkMimi ningeyachoma moto ama kuyafanya mabwalo ya wafungwa na wanafunzi
Ukisikika unamsema vibaya Kagame hata chini kwa chini unapigwa komeo la MaishaUkipiga tu kelele unapigwa pini
Naunga sana mkono sheria hizo za Rwanda.Serikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.
Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.
Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo
Tumia akili .... kwani unadhani serikali itawazuia kwa misingi gani kufungua shule za dini yao...Shule ipi imefunguliwa freemason?
Sawa mgalatiaWalishakuako watu kama wewe toka enzi. Akina Nebkadreza waliobomoa mahekalu ila hawakuweza kukomesha.
Sasa unapojifunza kufanya jambo lolotr kwanza jitahid kupitia historia ili usiwe mjinga wa kurudia kitu walichofanya wengine waka fail.
Atlrast uje na namna mpya ya tofauti.
JUU YA MWAMBA HUU, NITALIJENGA KANISA LANGU AMBALO MILANGO YA KUZIMA HAITALISHINDA.
hayo si maneno ya mtu mwingine yeyote. Ni Christ mwenyewe mwenye kanisa lake
Yoyete anaemsema vibaya Kagame akigundulika huko church anapigwa komeo, ni sawa hapa Kakobe alimzingua bwana yule akampigia komeo fasta yaan hakuchelewa wala kukawia mara moja Kakobe akapigwa komeoKagame yeye sio mnafiki.....alishaamua kuwa ibilisi hachanganyi Na wala hataki kuwa vugu vugu ndio maana anaishi.
Wale wanaochanganya hawadumu.
Mimi ni mkorinthoSawa mgalatia
Ndicho kinachotokea huko wala sio kwamba anapambana na Dini bali na Watu wanaowaamsha wananchi.Yoyete anaemsema vibaya Kagame akigundulika huko church anapigwa komeo, ni sawa hapa Kakobe alimzingua bwana yule akampigia komeo fasta yaan hakuchelewa wala kukawia mara moja Kakobe akapigwa komeo
Sio MsethalonikeMimi ni mkorintho
Hicho ndio kitu watu hawaelewi mfano hapa ghafla bwana yule wa Tanganyika P aanze kufokonyoa Serikali yaan pale Tanganyika P fasta panachukuliwa panajengwa kiwanda cha kubangua korosho haraka sana na yeye anasambaratishwa atafute pa kwendaNdicho kinachotokea huko wala sio kwamba anapambana na Dini bali na Watu wanaowaamsha wananchi.
Dini ina hubiri haki, kwa pk hakuna kitu kinaitwa haki.
Nina uraia pcha na wa huko piaSio Msethalonike
Ukileta hapa kwetu nchi itawaka moto,,imagine Kizee kivaa kobazi na kanzu lake limepauka, imagine vimama vya kilokole vilivozoea kukanyaga mafuta....watu hawa wamepokea dini kuliko wenye nazo...chanzo cha umaskini wa taifa letu.Naunga sana mkono sheria hizo za Rwanda.
Mafundisho na mifumo ya kidini inaongoa watu na kuwaweka katika maisha ya kitakatifu, hasa ndiyo lengo.
Viongozi wa dini ama madhehebu wanatakiwa wawe ni mfano wa kuingwa na waumini wao, lakini kinyumw chake, viongoziwa dini wengi wao wamekuwa ni matapeli kunyonya masikini na kujilimbikizia mali.
Mifano hii ipo sana nchini mwetu, makanisa yanaota kama uyoga si kwa sababu kuna mahitaji makubwa ya jamii, bali ni vijiwe vya kutapelia watu kwa njia ya kuwatia hofu kupitia jina la Mungu.
Nasi Tz serikali ingeangazia mfumo mzima wa sheria kuhusiana na mambo hayo, maana ndani ya madhehebu kuna ufisadi wa kutisha na wa kila aina uliopewa baraka na sheria za nchi.
Anajua hawezi kuhubiri haki dhidi ya watu wa rangi ya majani.Hicho ndio kitu watu hawaelewi mfano hapa ghafla bwana yule wa Tanganyika P aanze kufokonyoa Serikali yaan pale Tanganyika P fasta panachukuliwa panajengwa kiwanda cha kubangua korosho haraka sana na yeye anasambaratishwa atafute pa kwenda
Na huko Rwanda dini ilijikita mizizi sana hasa makanisa.Ukileta hapa kwetu nchi itawaka moto,,imagine Kizee kivaa kobazi na kanzu lake limepauka, imagine vimama vya kilokole vilivozoea kukanyaga mafuta....watu hawa wamepokea dini kuliko wenye nazo...chanzo cha umaskini wa taifa letu.
Ni WahuniNa huko Rwanda dini ilijikita mizizi sana hasa makanisa.
Serikali ikiamua lazima wafyata tu mikia zao.
Mfumuko wa madhehebu ya kitapeli imenifanya nizichukie dini na kuona kama wote ni matapeli tapeli tu, hasa ukiangalia life style ya viongozi wa dini wanavyoishi.