Samvurah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 532
- 515
Yule ni SDA(Msabato pure)Hv Kagame huwa ni dini gani? Au ni atheist yule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ni SDA(Msabato pure)Hv Kagame huwa ni dini gani? Au ni atheist yule.
Mbona huko dubei kwa wakina ami wanamswalia hadi mfalme mda wa swala.....sio geni hiloNinacheka kama mazuri, Rwanda Makanisa yameacha kuhubiri habari za Yesu, sasa ni mwendo wa kuhubiri, amani na mshikamano. Kama Tanzania tu, sasa hivi, usiposifia chama na mama, watakusativa tu. Afrika bara letu...
Acha ujinga wewe. Wachafu kwa vigezo vya nani? Yaani mtu mmoja anaamua kuwa hiki kinafaa na hiki hakifai, halafu wewe unakuja hapa kukenua meno? Kagame yeye ni Mungu?Wakati walokole wanafungiwa sisi waumini wa "cult" tulipiga vigelegele, kumbe sisi ndio wachafu kuliko hao walokole, sema tu jamaa alikuwa anatuvutia kasi.
Ni kuyapiga pin yote sio wagalatia wala wazee wa makubazii...dini zenye asili ya Africa ndo ziruhusiwe tuu.Serikali ya Rwanda chini ya Paul Kagame imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo. Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.
Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.
Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo.
Misikiti mingi haina vyoo, ni michafu na makosa mbalimbali huku wakufunzi wake wakiwa hawana elimu dunia kitu ambacho utawala wa Kagame unasema ndio unasababisha kupotosha watu na kuleta machafuko. Ikumbukwe ilianza na walokole wote walikuwa wachungajinna manabii ambao hawana digrii ya dini walifungiwa na makanisa yao yakafungiwa.
65% ni Wakatoliki
9% Walokole
1% Waislamu
Uislamu ndio cult inayokuwa kwa kasi hapo Rwanda.
Wakati kagame anafunga makanisa ya walokole, baadhi ya Cult zilifurahia sana, zikafanya sherehe , sasa nazo cult zimefikiwa huku Makanisa yanayomwamini Yesu yakiwa yamejirekebisha na kuhubiri amani na mshikamano tofauti na cult!
Safi sana. Huwa simkubali kabisa Kagame isipokuwa kwenye hili.Serikali ya Rwanda chini ya Paul Kagame imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo. Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.
Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.
Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo.
Misikiti mingi haina vyoo, ni michafu na makosa mbalimbali huku wakufunzi wake wakiwa hawana elimu dunia kitu ambacho utawala wa Kagame unasema ndio unasababisha kupotosha watu na kuleta machafuko. Ikumbukwe ilianza na walokole wote walikuwa wachungajinna manabii ambao hawana digrii ya dini walifungiwa na makanisa yao yakafungiwa.
65% ni Wakatoliki
9% Walokole
1% Waislamu
Uislamu ndio cult inayokuwa kwa kasi hapo Rwanda.
Wakati kagame anafunga makanisa ya walokole, baadhi ya Cult zilifurahia sana, zikafanya sherehe , sasa nazo cult zimefikiwa huku Makanisa yanayomwamini Yesu yakiwa yamejirekebisha na kuhubiri amani na mshikamano tofauti na cult!
Naunga mkono kwasababu kuna watu hata qur an hawajui lakin wamejivika usheikh wanafanya na kuongea mambo kinyume na dini halaf watu wasioelewa wanawafanya hoja ya kupinga au kutukana dini lazim watu wasomee wanachohubiri.Huo utaratibu na sisi tungeuanzisha. Nadhani ni mzuri kwa namna yake. Na hasa kwenye kipengele cha kuhakikisha viongozi wa dini wanakuwa na elimu husika ya dini. Na siyo bla bla tu.
Uzuri wa tawala za kurithishana ,,maono yanaweza yakaendelea tofauti na nchi ambazo zimejiweka kwenye mfumo wa kidemorasia hasa Africa, kila anaeingia anakua na mipango yake,,,,ila za kurithishana unaendeleza pale mtangulizi alipoishia, ndo anachofanya Kagame na MuseveniKagame anajua anachokifanya ila hata hivyo muda wake umekaribia atapita na utawala wake utapita. Kila zama na kitabu chake. Anamalizia kuandika kurasa za mwisho katika kitabu chake.
Kagame msabato. Wasabato na wakatoliki ni maji na mafuta
Na freemason wanapitia humohumo kwenye dini,,na wanaanza kuwawahi watoto kwa matumizi ya baadaeNaungamkono ...mimi natamani serikali zipige marufuku madhehebu ya dini zote tubaki na ukristo na uislamu usio wa madhebebu hivyo kuwe na nyumba chache za ibada zilizo hulia ambazo zitajengwa na serikali moja kila wilaya basi pia ipige marufuku shule za elimu dunia kuwa za kidini yaani kama mkristo akifungua shule hiyo shule iweshule tu siyo kwa mlengo wa dini ya mmiliki au dini ya dhehebu felani na kwa waislamu hivyo hivyo kwa sasa hadi fremason watafungua shule zao ya primary na secondary na kuzidi kuligawa taifa vibaya kupitia roho za watoto toka wadogo ....kumbukeni maandiko yanayo sema ufalme uliofarakana hauta simama .. serikali ipige marufuku vipindi na masomo ya dini kwenye shule zote za serikali na binafsi watoto wasomeshwe dini kwenye shule zisizo toa elimu.lasmi ya dunia
Ni siri kubwa sana, si unajua serikali ya rumi na warumi tuliopo hapa jukwaani namna tunatetea "cult" yetu, sakata la ushoga tulimpinga mpaka kiongozi wetu tukasema yeye hajasema.Safi sana. Huwa simkubali kabisa Kagame isipokuwa kwenye hili.
Ila taarifa ingeelezea hayo yaliyokiukwa na Kanisa la RC ingependeza
Mkuu una hasira sana.Ni kuyapiga pin yote sio wagalatia wala wazee wa makubazii...dini zenye asili ya Africa ndo ziruhusiwe tuu.
Haya madini yenye utamaduni wa kiarabu na kizungu ndo changamoto ya mtu mweusi.
Mwamakula inamuhusu hii!Serikali ya Rwanda chini ya Paul Kagame imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo. Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.
Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.
Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo.
Misikiti mingi haina vyoo, ni michafu na makosa mbalimbali huku wakufunzi wake wakiwa hawana elimu dunia kitu ambacho utawala wa Kagame unasema ndio unasababisha kupotosha watu na kuleta machafuko. Ikumbukwe ilianza na walokole wote walikuwa wachungajinna manabii ambao hawana digrii ya dini walifungiwa na makanisa yao yakafungiwa.
65% ni Wakatoliki
9% Walokole
1% Waislamu
Uislamu ndio cult inayokuwa kwa kasi hapo Rwanda.
Wakati kagame anafunga makanisa ya walokole, baadhi ya Cult zilifurahia sana, zikafanya sherehe , sasa nazo cult zimefikiwa huku Makanisa yanayomwamini Yesu yakiwa yamejirekebisha na kuhubiri amani na mshikamano tofauti na cult!
Mwamba amesoma, msafi, anaheshimu uhuru wa wenzie na sijawahi msikia akisema "fulani kafiri, fulani shetani" hii haimhusu.Mwamakula inamuhusu hii!
Mmh hebu mchunguze vizuri kuanzia sasa!Mwamba amesoma, msafi, anaheshimu uhuru wa wenzie na sijawahi msikia akisema "fulani kafiri, fulani shetani" hii haimhusu.
Kwa hiyo hawa Yanga walienda kufanya fujo tu nchi ya watuRwanda maeneo mengi hawapendi kelele
Kuna mitaa maalumu ya vileo na shughuli mbali mbali