Hilo ndilo litakuwa suluhisho la pekee. Watusi na wahutu wawe makabila ya Tanzania na ifanyike assimilation kwa hao watu ijapokuwa inaweza kuchukua kipindi kirefu. Tofauti na hapo mizozo haitokaa iishe.Rwanda inabidi iwe mkoa wa Tanzania
Ni hivi, mnapigwa "the lelemnt of suprise"Hawezi, hajawahi na hatawahi.
Haitokaa itokee na hiyo jeuri hana Kila akikumbuka operation Kimbunga PAKA anaufyata mkia wake.Ni hivi, mnapigwa "the lelemnt of suprise"
Mkijakushtuka, US, UE na UN wanaingilia kati vita iishe, na mshakula kipondo......anarudisha majeshi kwake na anapewa ulinzi na US.....Unadhani kwa akili yako Uganda atamsaidia nani?......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu EU watasimama na kagame
Kibaha,tangu enzi za mwalimu,nyumbu jeshini huko kitamboCha Kwetu kiko wapi!!?
Ku assemble sio cha kutengeneza kabisa!!?
Wapo 12m,tuongeze watu 12m kwetu bila sababu za msingiHilo ndilo litakuwa suluhisho la pekee. Watusi na wahutu wawe makabila ya Tanzania na ifanyike assimilation kwa hao watu ijapokuwa inaweza kuchukua kipindi kirefu. Tofauti na hapo mizozo haitokaa iishe.
🤣🤣🤣Rwanda inabidi iwe mkoa wa Tanzania
Jeshi la Congo halina nidhamu, halina Mbinu za Kijeshi, Kagame anajua Madhaifu yao.Sema wakongo nao wamechachamaa naona patawaka moto si mda mrefu... kainchi km mkoa kanasumbua nchi kubwaaaaaa...wakongo nyinyi amsheni vita wahutu watakua upande wenu watamalizana nae maana wanamachungu wanashindwa ni wapi wapumulie
Kama ni akili ya kufanya taifa lisonge mbele, kagame yupo mbali kuliko sisi.MKUU
MIMI simkuzi Bali,naisifu Akili yake tu!!
Angalau ana kiwanda cha magari sisi hatuna na KAZI yetu unaijua! Ni kupambania chama tu badala ya maendeleo!
Sio simple sababu inahitaji uwe na uchumi mkubwa.Ningekua ni Mimi DRC ,kwanza ningeimalisha taasisi yangu ya ujasusi wa nje iwe na uwezo wa kutengeneza tension within Rwanda kati ya Serikali ya Kagame na wapinzani wake (hasa wahutu) ,wakianza vurugana kazi yangu kuwaongezea nguvu wapinzani.
inabidi Africa nzima tusimame na congo kama EU [emoji1099] walivofanya kwa Ukraine.
hahahahaHaya Pro Kinshasa na Pro Kigali tujuane hapa.
Maana ndo mambo yetu hayo
ni kama utani lakini ndio uhalisia wenyewe hao Watusi wanapewa kiburi na jamii ya NATO miaka mingi ndio maana kuna propaganda za western kumfanya yeye ndio kiongozi bora wakati anaexploit madini ya Congo miaka mingi-bomu la nyuklia lilipigwa hiroshima lilizalishwa na madini kutoka Congo miaka ile, ukifuatilia DRC kuanzia kipindi cha Kwame Nkrumah walikuwa pro Russian na Cuba ndio maana hata Che Guavara aliwahi kwenda kupigana Congo DRC, it is just tip of the ice berg lakini kuna fukuto kubwa chini yake. Juu unaweza kumuona tshkedi na mtusi lakini kuna mengi sana nyuma ya paziaDRC wazuie gas na nafaka kwenda Rwanda.
Winter is coming
Just kidding [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo nchi nyingi za ukanda wetu hazina matatizo mengi nje ya mipaka yao hata wawekeze sana kwenye ujasusi wa nje zaidi ya kutumia vitengo vya kijasusi jeshini kupata taarifa za nje ( mfano pale Israel, kitengo cha ujasusi jeshini kinaitwa AMAN, na ujasusi wa nje MOSSAD ambao wamekuwa na mafanikio kuliko Aman japo kuna vitu wana share na kupingana katika maamuzi)Sio simple sababu inahitaji uwe na uchumi mkubwa.
Che Guavara aliporudi bongo akitokea Kwny mapambano huko Congo na kusepa zake Cuba alisemaje khs Kabila Senior na lile jeshi lake la waasi?ni kama utani lakini ndio uhalisia wenyewe hao Watusi wanapewa kiburi na jamii ya NATO miaka mingi ndio maana kuna propaganda za western kumfanya yeye ndio kiongozi bora wakati anaexploit madini ya Congo miaka mingi-bomu la nyuklia lilipigwa hiroshima lilizalishwa na madini kutoka Congo miaka ile, ukifuatilia DRC kuanzia kipindi cha Kwame Nkrumah walikuwa pro Russian na Cuba ndio maana hata Che Guavara aliwahi kwenda kupigana Congo DRC, it is just tip of the ice berg lakini kuna fukuto kubwa chini yake. Juu unaweza kumuona tshkedi na mtusi lakini kuna mengi sana nyuma ya pazia
Kuunganisha chochote hakufanyi uwe na kiwanda, hiyo ni karakana.Kiwanda cha kutengeneza au kuunganisha?