Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

This is a war btn socialist and communist... Keep cool Russian and USA in Kongo... Why and why now? Let keep silence
 
😄😄 Bongo movie zinaharibu sana akili.
 
Nguvu ya Intelligence inatesa Africa.. CIA na other agency always wana waza jinsi ya kututawala while sisi tunawaza jinsi ya chama kushika hatam na kuumizana wao ndio wanafurahi... Umoja wa Taifa nikatika kuwa na uhuru pamoja na kuimarisha taasisi za usalama...
Nawaza ukiwauliza viongozi wa Taifa hili wanawaza nn juu ya usalama wa Taifa hili naiman watakwambia upinzani ndio kitisho... While chui amekaa ktk mfumo kulemaza mifumo na kuwafanya wote waombe mapambio ya ccm while pesa nyingi zikitumika kulinda utawala na kidogo ktk usalama...
Kwa hali ilivyo sasa sio muda wa Taifa kupoteza muda na siasa za ndani... Serikali itemgeneze mifumo imara kulinda Taifa sio chama wala watu... Time will tell...
 
Ruto a mediate Hii shida Ili suluhu ipatikane haraka. Vita sio maneno mzuri ya kushabikia. Mungu aepushe kadhia hii
 
Hasara ya Kuwa ni Miraisi mizee ilochoka kuishi sasa inawaza kufa kwa vita ama kufikia jela.
Afrika bado tuna viongozi wajinga mno, tunaona kinachoendelea huko Ukraine lakini bado kuna watu wanajitoa ufahamu na akili na wanataka kuingia vitani leo, hilo ni tatizo la Afya ya Akili pia.
Hebu wakae chini wapatane,Tanzania hatutaki kupokea wakimbizi sisi.
 
Ruto a mediate Hii shida Ili suluhu ipatikane haraka. Vita sio maneno mzuri ya kushabikia. Mungu aepushe kadhia hii
Jeshi la Kenya limeshakimbia huko Congo na kurudi zao Nairobi,wamejionea Bora wakapate BJ tamu huko kwao kuliko kufia porini.
 
drc ni wajinga waoga. Hivi jeshi lote la drv likimatch kwenda rwanda kagame si atatoroka mabwana zake wanaonunua madini ya wizi kwake watamtorosha mapema sana. Let the drc army match with its might to rwanda tuone ujeuri wake.

Hekima ya wacongo kutotaka kumwaga damu za wanyarwanda kagame alishawaona ni wajinga
 
Kama vile naona vile vita vya style ya enzi za wakina yesu za Kubeba mapanga na kupanda farasi na ngao 😄😄
 
Huyu Kagame apigwe, na wasiishie mpkani.
Itapendeza wakiitwaa Kigali.
Tumechoka na hizi vita!
 
Kama vile naona vile vita vya style ya enzi za wakina yesu za Kubeba mapanga na kupanda farasi na ngao 😄😄
ndiyo suluhisho la kiburi cha kagame na mabeberu walio nyuma yake
 
Wakongo wanateseka na nini?
 
Rwanda nae ana Jeshi au vikundi vya wanamgambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…