Mimi nimekujibu uongo wako kuhusu ivyo viroba havina madini na kama kungekuwa na madini vingelindwa na sio kukaa kizembe hivyo binafsi nilipoona izo picha miaka ya nyuma na mtu akisema madini niliamini hivyo.[emoji1][emoji1] basi Kumbe hata kusema Rwanda& Uganda inaiba madini Congo Ni uongo,maana wanaibaje wkt Walalahoi wanaangalia tu Kama vile hawana shida nayo [emoji1][emoji1]
Ukiangalia hiyo nchi inayoisumbua Congo ni kama mkoa mmoja tuSema wakongo nao wamechachamaa naona patawaka moto si mda mrefu... kainchi km mkoa kanasumbua nchi kubwaaaaaa...wakongo nyinyi amsheni vita wahutu watakua upande wenu watamalizana nae maana wanamachungu wanashindwa ni wapi wapumulie
Ndio nakwambia,mission za kijeshi za UN huko CAR,Haiti,Sudan Kusini etc zote magari yake hayabebagi magunia ya mchanga,lkn ya MONUSCO wao wanabeba gunia za mchanga.Mimi nimekujibu uongo wako kuhusu ivyo viroba havina madini na kama kungekuwa na madini vingelindwa na sio kukaa kizembe hivyo binafsi nilipoona izo picha miaka ya nyuma na mtu akisema madini niliamini hivyo.
Tatizo ni PAKA, solution ni PAKA kuondolewaRuto a mediate Hii shida Ili suluhu ipatikane haraka. Vita sio maneno mzuri ya kushabikia. Mungu aepushe kadhia hii
Shida sio Rwanda,Shida ni wale walio nyuma ya Rwanda.Ukiangalia hiyo nchi inayoisumbua Congo ni kama mkoa mmoja tuView attachment 2404073
Misitu ya Congo ni kwaajili ya wanetu wa 92 wazee wa kazi hizi, hata huyo mlingoti anawajua hao watu ni hatari mno.Jeshi la Kenya limeshakimbia huko Congo na kurudi zao Nairobi,wamejionea Bora wakapate BJ tamu huko kwao kuliko kufia porini.
Uliza nini kilitokea alipojifanya kusuka mapinduzi ya Pierre pale kwa warundi anayo habari.Majeshi duniani Ni ya NATO/US, Russia tu,waliobaki nawacheki tu nasema Hiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji1][emoji1]
Imeisha hiyo....Haitokaa itokee na hiyo jeuri hana Kila akikumbuka operation Kimbunga PAKA anaufyata mkia wake.
Nasikia jamaa alipigwa mpk akatekwa,akajikuta Yuko bongo akipiga magoti.Uliza nini kilitokea alipojifanya kusuka mapinduzi ya Pierre pale kwa warundi anayo habari.
Aiseee,Ni Kweli kabisa.Misitu ya Congo ni kwaajili ya wanetu wa 92 wazee wa kazi hizi, hata huyo mlingoti anawajua hao watu ni hatari mno.
Kwanini Congo hawatumii madini Yao kujiletea maendeleo na wakawa matajiri mkuu?Haka ka Paka lazima kashughulikiwe maana kana kiburi sana
Sasa viongozi wa EA wanashindwa kumpa silaha na kupeleka watu maana naona ana dharau sana na wanakaogopa
Mwafrika anamuibia mwafrika mwenzie madini halafu anampa mzungu ili aijenge Kigali ni ujinga sana
Badala wafanye biashara pamoja wamekuwa majambazi tu
Tunajua yote haya ni madini tu hakuna kingine
Nashangaa pia ila najua kulikuwa na wazungu wanachochea vita kwa maslahi yaoKwanini Congo hawatumii madini Yao kujiletea maendeleo na wakawa matajiri mkuu?