Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

Sasa hao Liberation of Rwanda kwanini anawafadhili Congo si awatimue maana kama unavyosema
 
Kama vile naona vile vita vya style ya enzi za wakina yesu za Kubeba mapanga na kupanda farasi na ngao 😄😄
wala si vita kwa kanchi kadogo kama rwanda ni uvamizi tu wa masaa sita mnakamaliza maisha yanaendelea
 
Wazir wetu wa ulinzi akae chonjo asisubiri Moto uwake huko mipakani ndio apeleke jeshi

Atume kikosi kazi kifanye survey mapema kuhakikisha hizo chokochoko za majirani hazivuki mipaka
Waziri gani. Huyu mnyarwanda anayejiita mnyambo. Pole yako.

Tayari mmeshauzwa ndani ya BAHIMA empire
 
Kwa hiyo unatumbia atakuja kutawala MFALME DIKTETA nje ya Dunia aje atutawale kimabavu??/?
 
Huwezi amini na jeshi letu la kuvunja matofali, Rwanda anaweza kututoa kamasi....
Sifa za kizushi tu . Hao wiki mbili TUPO kigali rwanda tunatengeza watoto wa East Africa. Kill men kisha tunafaulisha warembo
 
Naona watu wengi wanafuata ushabiki maandazi bila kuchunguza kwa ndani.
 
Pale bamutu ba congolee palikua na kamanda mmoja anaitwa mommadou ndala moto kweli kweli huyo mwamba kama angekua hai daaaah lakini walimla kichwa baada ya kuwapelekea moto sana waasi ,..upumzike kwa amani ewe mtu mwema Mommadou Ndala
 
Pale bamutu ba congolee palikua na kamanda mmoja anaitwa mommadou ndala moto kweli kweli huyo mwamba kama angekua hai daaaah lakini walimla kichwa baada ya kuwapelekea moto sana waasi ,..upumzike kwa amani ewe mtu mwema Mommadou Ndala
Colonel mommadou ndala mwamba alikuwa anaingia frontline mwenyewe na askari wake 200-400 lkn kazi wanayopiga sio ya kitoto kiuhalisia huyu ndio aliwachapa M-23 lkn kama kawaida sifa nyingi zikaenda kwa TPDF
ALL IN ALL ndala aliuwawa kwenye well organised ambush INASAKITISHA SAANA

nakumbuka msibani kwake wakongo walilia saana

Baada ya kifo chake askari wa kikosi chake wale wa juu waliuwawa pia
 
PK ana cancer?
 
Ufanyike mpango Rwanda iwe sehemu ya Tz, tuite mkoa wa Rwanda ndani ya Tz.
 
Kenya wametuma wanajeshi wake Congo sasa Mr. Slim ajiandae mkong'oto unakuja mzito.
 
Nani alimuua huyu Colonel? Na askari aliowaacha waliuliwa na nani na kwa sababu zipi?
 
Kwa hiyo unatumbia atakuja kutawala MFALME DIKTETA nje ya Dunia aje atutawale kimabavu??/?
Unaelewa nini kuhusu UFLME wa MUNGU?
Je, nini maana ya kuwa Dikteta?
Unafikiri, "kutawala kwa fimbo ya chuma" ni kuwa dikteta?

Kwa kukusaidia tu ni kwamba anakuja MFALME kutoka nje ya dunia hii naye atatawala dunia yote kwa kufuata sheria, kanuni, Amri na taratibu zote za MUNGU pasipo kuyumbishwa na yeyote yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…