Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Sasa hao Liberation of Rwanda kwanini anawafadhili Congo si awatimue maana kama unavyosemaNamuunga mkono Kagame 100%, Congo waachane na FDLR militiamen ili amani ya kweli ipatikane, lakini tatizo la Congo sio Rwanda au Banyamulenge tuu wana factions nyingi sana zinazopigana na sababu kubwa ni utajiri mkubwa walionao na weak government in Kinshasa