Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii maana yake ni kwamba ccm imeshindwa kuongozaUko sahihi
Yaani kama Mapinga uwiiii kulizwa dakika moja tu
Kifupi maeneo yote kuelekea bagamoyo kuanzia Tegeta hadi mapinga na Kerege kote hulo matapeli ni asilimia 99 wawe madalali au wamiliki
Hayo ni maeneo hatarishi kununua kiwanja unless umejihakikishia beyond reasonable doubt
Atatakiwa kujenga nyumba aliyoikuta. Nachokiona hapa anaweza kufanya bargaining na familiaJe mwenyewe aliyejenga akiamua kuivunja vp?
Sheria ina mruhusu
Ova
Kama Benki imeuza nyumba kwa mnada kimakosa, baada ya mahakama kubatilisha mauzo. SH Amon yeye hana kosa.Nje ya mada, kwa wenye uelewa: Hivi entity kama benki ikiendesha mnada wa nyumba ya mtu aliyeshindwa kulipa deni na mahakama baadae ikasema mnada ulifanyika ndivyo sivyo, hivyo nyumba inatakiwa irudi kwa wenyewe, mimi mnunuzi nitapoteza? Gharama zangu nani atalipa na hasa kama nimeshaendeleza?
Rufaa rufaa ya nn akae azungumze na hiyo familia awape mpungaKama Benki imeuza nyumba kwa mnada kimakosa, baada ya mahakama kubatilisha mauzo. SH Amon yeye hana kosa.
Kwa vile uamuzi huu ni wa Mahakama ya Rufaa
waliokaa majaji watatu, Hamisi Bushiri Pazi & Others vs Saul Henry Amon & Others (Civil Appeal 166 of 2019) [2022] TZCA 186 (13 April 2022); | Tanzlii, bado anaweza kuomba rufaa nyingine, Mahakama wakakaa majaji watano, Half Bench
kupinga uamuzi wa mahakama ya Rufaa kumpora ghorofa lake alilojenga baada ya kununua kihalali nyumba iliyokuwepo kabla kwa mnada halali wa Benki.
Rufaa hiyo ya half bench ikishindikana, then, anakata Rufaa ya mwisho kabisa, kwa Mahakama kukaa Full Bench, Majaji 7, wakiongozwa na Jaji Mkuu, CJ mwenyewe in person, ambapo sasa uamuzi wa Full Bench ndio uamuzi wa mwisho, final and conclusive, Kwa mfumo wetu wa sheria, hivyo kilichobaki ni Kwa SH Amon anaifungulia benki kesi ya madai kudai fidia na anashinda straight away.
P
Congo na Agrey hiiKutoka nyumba chakavu ya udongo mpaka kumiliki ghorofa tusikate tamaa wadau,ipo siku tutatoboa tu hata ikiwa uzeeni..ingekuwa mimi hapo muda huohuo nataka nione mikataba ya wapangaji hili nianze kula hela za kodi
View attachment 2203922
Kwenye kesi ya S.H Amon, hapakua na issue ya Benk.Kama Benki imeuza nyumba kwa mnada kimakosa, baada ya mahakama kubatilisha mauzo. SH Amon yeye hana kosa.
Kwa vile uamuzi huu ni wa Mahakama ya Rufaa
waliokaa majaji watatu, Hamisi Bushiri Pazi & Others vs Saul Henry Amon & Others (Civil Appeal 166 of 2019) [2022] TZCA 186 (13 April 2022); | Tanzlii, bado anaweza kuomba rufaa nyingine, Mahakama wakakaa majaji watano, Half Bench
kupinga uamuzi wa mahakama ya Rufaa kumpora ghorofa lake alilojenga baada ya kununua kihalali nyumba iliyokuwepo kabla kwa mnada halali wa Benki.
Rufaa hiyo ya half bench ikishindikana, then, anakata Rufaa ya mwisho kabisa, kwa Mahakama kukaa Full Bench, Majaji 7, wakiongozwa na Jaji Mkuu, CJ mwenyewe in person, ambapo sasa uamuzi wa Full Bench ndio uamuzi wa mwisho, final and conclusive, Kwa mfumo wetu wa sheria, hivyo kilichobaki ni Kwa SH Amon anaifungulia benki kesi ya madai kudai fidia na anashinda straight away.
P
Ila kwa kodi zilivyo juu kariakoo, amino usiamini, amesharudishanpesa yake yote, hapo alikuwa anakula faida tuMilioni 105 angeweza kupata kiwanja njia ya Tegeta na kujenga kwa nafasi, mji unapanuka. Pole zake.
Nadhan huu mnada haikuwa wa bank. Ni migogoro ya ardhiKama Benki imeuza nyumba kwa mnada kimakosa, baada ya mahakama kubatilisha mauzo. SH Amon yeye hana kosa.
Kwa vile uamuzi huu ni wa Mahakama ya Rufaa
waliokaa majaji watatu, Hamisi Bushiri Pazi & Others vs Saul Henry Amon & Others (Civil Appeal 166 of 2019) [2022] TZCA 186 (13 April 2022); | Tanzlii, bado anaweza kuomba rufaa nyingine, Mahakama wakakaa majaji watano, Half Bench
kupinga uamuzi wa mahakama ya Rufaa kumpora ghorofa lake alilojenga baada ya kununua kihalali nyumba iliyokuwepo kabla kwa mnada halali wa Benki.
Rufaa hiyo ya half bench ikishindikana, then, anakata Rufaa ya mwisho kabisa, kwa Mahakama kukaa Full Bench, Majaji 7, wakiongozwa na Jaji Mkuu, CJ mwenyewe in person, ambapo sasa uamuzi wa Full Bench ndio uamuzi wa mwisho, final and conclusive, Kwa mfumo wetu wa sheria, hivyo kilichobaki ni Kwa SH Amon anaifungulia benki kesi ya madai kudai fidia na anashinda straight away.
P
Hahahaaa kulala maskini kuamka tajiri kazi kweli kweliKutoka nyumba chakavu ya udongo mpaka kumiliki ghorofa tusikate tamaa wadau,ipo siku tutatoboa tu hata ikiwa uzeeni..ingekuwa mimi hapo muda huohuo nataka nione mikataba ya wapangaji hili nianze kula hela za kodi
View attachment 2203922
Kweli Bora aibomoe tu hiyo familia ipate kiwanja maana ndio chaoJe mwenyewe aliyejenga akiamua kuivunja vp?
Sheria ina mruhusu
Ova
Tunaowaona matajiri bongo wengi ni dhulmaHiyo ilikuwa ni dhulma ya wazi, iweje mtu anaemiliki 1/7 ya mali apigiwe mnada 7/7 ya mali, wakati hao 6/7 ya wamiliki hawakuwa sehemu ya mgogoro?! Na kibaya alienunua alikuwa anajua kwamba halali yabkuuzwa ni 1/6 tu, na sio 7 ya 7!
Ndugu kwa ndugu lazima waanze kulipambania pombe upya. Na jamaa hawezi kubali kupoteza ghorofa 8. Lazima nae atafute chimbo jipyaKufikia hapo tambua madawa yamekwisha nguvu
Na kodi ambayo wangepata kwa miaka 20 kwenye ile nyumba yao ya chini iliyovunjwa utawalipa?Kweli Bora aibomoe tu hiyo familia ipate kiwanja maana ndio chao
Kama sijakosea mkuu wewe umesoma sheria, na kama kweli umesoma sheria hii ni FEDHEHA kubwa kwa taaluma.Umekosea kuripoti, hajarudishiwa nyumba ni amerudishiwa kiwanja, hivyo SH Amin, yuko free kuyachukua majengo yake, hivyo jamaa kubaki na kiwanja chake kirudishwe ile nyumba aliyoinunua.
P
Hakuna option ya kuondoa jengo hapo. Yaani kiufupi anaondoka na begi lake na vipodozi vyake pekee, jengo linabaki kama lilivyoSauli ana option mbili baada ya rufaa kufungwa.
1.Awaite wahusika wabargain awape pesa watakayo. Au pesa na nyumba hata tatu tatu ya kuishi na ya kupanga
2.Aondoe jengo lake awaachie uwanja wao.
Aise....Kama sijakosea mkuu wewe umesoma sheria, na kama kweli umesoma sheria hii ni FEDHEHA kubwa kwa taaluma.
Katika sheria kuna maxim inasema
'Qui quid plantatur solo solo cedit' maana yake 'WHATEVER ATTACHED TO LAND BELONGS TO IT'
Yaani hapo mzee anaondoka na vifaa vya kuhamishika pekee yaani kiufupi ndio ile tunasema unaondoka na begi lako tu hakuna cha kutoa hata dirisha wala frame ya mlango.
Halafu unasema ataondoka na jengo, vipi kuhusu jengo alililikuta na akalibomoa?
UMEPOTOSHA/UMEPOTOSHWA