S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

Uko sahihi
Yaani kama Mapinga uwiiii kulizwa dakika moja tu

Kifupi maeneo yote kuelekea bagamoyo kuanzia Tegeta hadi mapinga na Kerege kote hulo matapeli ni asilimia 99 wawe madalali au wamiliki

Hayo ni maeneo hatarishi kununua kiwanja unless umejihakikishia beyond reasonable doubt
Hii maana yake ni kwamba ccm imeshindwa kuongoza
 
Nje ya mada, kwa wenye uelewa: Hivi entity kama benki ikiendesha mnada wa nyumba ya mtu aliyeshindwa kulipa deni na mahakama baadae ikasema mnada ulifanyika ndivyo sivyo, hivyo nyumba inatakiwa irudi kwa wenyewe, mimi mnunuzi nitapoteza? Gharama zangu nani atalipa na hasa kama nimeshaendeleza?
Kama Benki imeuza nyumba kwa mnada kimakosa, baada ya mahakama kubatilisha mauzo. SH Amon yeye hana kosa.

Kwa vile uamuzi huu ni wa Mahakama ya Rufaa
waliokaa majaji watatu, Hamisi Bushiri Pazi & Others vs Saul Henry Amon & Others (Civil Appeal 166 of 2019) [2022] TZCA 186 (13 April 2022); | Tanzlii. Kwa kawaida kwa vile uamuzi wa mahakama ya rufaa huwa ni wa mwisho, usiporidhika, bado una fursa ya kusikilizwa kwa akuomba review ya rufaa na Mahakama wakakaa majaji watano, Half Bench kufanya mapitio ya hoja zake, kupinga uamuzi wa mahakama ya Rufaa kumpora ghorofa lake alilojenga baada ya kununua kihalali nyumba iliyokuwepo kabla kwa mnada halali wa Benki.

Review ya Rufaa hiyo ya half bench ikishindikana, then, anaweza kuomba review nyingine ya Rufaa ya mwisho kabisa, kwa Mahakama Kuu ya Rufaa kukaa Full Bench, Majaji 7, wakiongozwa na Jaji Mkuu, CJ mwenyewe in person, ambapo sasa uamuzi wa Full Bench ndio uamuzi wa mwisho, final and conclusive, Kwa mfumo wetu wa sheria, hivyo kilichobaki ni Kwa SH Amon anaifungulia kesi benki iliyomuuzia nyumba yenye mgogoro kudai fidia na anashinda straight away.
P
 
Kama Benki imeuza nyumba kwa mnada kimakosa, baada ya mahakama kubatilisha mauzo. SH Amon yeye hana kosa.

Kwa vile uamuzi huu ni wa Mahakama ya Rufaa
waliokaa majaji watatu, Hamisi Bushiri Pazi & Others vs Saul Henry Amon & Others (Civil Appeal 166 of 2019) [2022] TZCA 186 (13 April 2022); | Tanzlii, bado anaweza kuomba rufaa nyingine, Mahakama wakakaa majaji watano, Half Bench
kupinga uamuzi wa mahakama ya Rufaa kumpora ghorofa lake alilojenga baada ya kununua kihalali nyumba iliyokuwepo kabla kwa mnada halali wa Benki.

Rufaa hiyo ya half bench ikishindikana, then, anakata Rufaa ya mwisho kabisa, kwa Mahakama kukaa Full Bench, Majaji 7, wakiongozwa na Jaji Mkuu, CJ mwenyewe in person, ambapo sasa uamuzi wa Full Bench ndio uamuzi wa mwisho, final and conclusive, Kwa mfumo wetu wa sheria, hivyo kilichobaki ni Kwa SH Amon anaifungulia benki kesi ya madai kudai fidia na anashinda straight away.
P
Rufaa rufaa ya nn akae azungumze na hiyo familia awape mpunga

Ova
 
Kwenye kesi ya S.H Amon, hapakua na issue ya Benk.
Kosa lake ni kununua nyumba bila kufuata taratibu za ununuaji wa ardhu.
I hope unakumbuka mambo ya Conveyance mkuu. Yale mambo matatu hakutaka kufuata huyu, wewe unajua nyumba ni ya urithi na kuna utata upo mahakamani unainunua vipi?
 
Hiyo ilikuwa ni dhulma ya wazi, iweje mtu anaemiliki 1/7 ya mali apigiwe mnada 7/7 ya mali, wakati hao 6/7 ya wamiliki hawakuwa sehemu ya mgogoro?! Na kibaya alienunua alikuwa anajua kwamba halali yabkuuzwa ni 1/6 tu, na sio 7 ya 7!
 
Kama Benki imeuza nyumba kwa mnada kimakosa, baada ya mahakama kubatilisha mauzo. SH Amon yeye hana kosa.

Kwa vile uamuzi huu ni wa Mahakama ya Rufaa
waliokaa majaji watatu, Hamisi Bushiri Pazi & Others vs Saul Henry Amon & Others (Civil Appeal 166 of 2019) [2022] TZCA 186 (13 April 2022); | Tanzlii, bado anaweza kuomba rufaa nyingine, Mahakama wakakaa majaji watano, Half Bench
kupinga uamuzi wa mahakama ya Rufaa kumpora ghorofa lake alilojenga baada ya kununua kihalali nyumba iliyokuwepo kabla kwa mnada halali wa Benki.

Rufaa hiyo ya half bench ikishindikana, then, anakata Rufaa ya mwisho kabisa, kwa Mahakama kukaa Full Bench, Majaji 7, wakiongozwa na Jaji Mkuu, CJ mwenyewe in person, ambapo sasa uamuzi wa Full Bench ndio uamuzi wa mwisho, final and conclusive, Kwa mfumo wetu wa sheria, hivyo kilichobaki ni Kwa SH Amon anaifungulia benki kesi ya madai kudai fidia na anashinda straight away.
P
Nadhan huu mnada haikuwa wa bank. Ni migogoro ya ardhi
 
Hiyo ilikuwa ni dhulma ya wazi, iweje mtu anaemiliki 1/7 ya mali apigiwe mnada 7/7 ya mali, wakati hao 6/7 ya wamiliki hawakuwa sehemu ya mgogoro?! Na kibaya alienunua alikuwa anajua kwamba halali yabkuuzwa ni 1/6 tu, na sio 7 ya 7!
Tunaowaona matajiri bongo wengi ni dhulma

Ova
 
Umekosea kuripoti, hajarudishiwa nyumba ni amerudishiwa kiwanja, hivyo SH Amin, yuko free kuyachukua majengo yake, hivyo jamaa kubaki na kiwanja chake kirudishwe ile nyumba aliyoinunua.
P
Kama sijakosea mkuu wewe umesoma sheria, na kama kweli umesoma sheria hii ni FEDHEHA kubwa kwa taaluma.
Katika sheria kuna maxim inasema
'Qui quid plantatur solo solo cedit' maana yake 'WHATEVER ATTACHED TO LAND BELONGS TO IT'
Yaani hapo mzee anaondoka na vifaa vya kuhamishika pekee yaani kiufupi ndio ile tunasema unaondoka na begi lako tu hakuna cha kutoa hata dirisha wala frame ya mlango.
Halafu unasema ataondoka na jengo, vipi kuhusu jengo alililikuta na akalibomoa?

UMEPOTOSHA/UMEPOTOSHWA
 
Sauli ana option mbili baada ya rufaa kufungwa.
1.Awaite wahusika wabargain awape pesa watakayo. Au pesa na nyumba hata tatu tatu ya kuishi na ya kupanga
2.Aondoe jengo lake awaachie uwanja wao.
Hakuna option ya kuondoa jengo hapo. Yaani kiufupi anaondoka na begi lake na vipodozi vyake pekee, jengo linabaki kama lilivyo
 
Kama sijakosea mkuu wewe umesoma sheria, na kama kweli umesoma sheria hii ni FEDHEHA kubwa kwa taaluma.
Katika sheria kuna maxim inasema
'Qui quid plantatur solo solo cedit' maana yake 'WHATEVER ATTACHED TO LAND BELONGS TO IT'
Yaani hapo mzee anaondoka na vifaa vya kuhamishika pekee yaani kiufupi ndio ile tunasema unaondoka na begi lako tu hakuna cha kutoa hata dirisha wala frame ya mlango.
Halafu unasema ataondoka na jengo, vipi kuhusu jengo alililikuta na akalibomoa?

UMEPOTOSHA/UMEPOTOSHWA
Aise....

Bora umekuja kutuelimisha na tumepata ufahamu!

Ova
 
Back
Top Bottom