Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
[emoji38][emoji38][emoji38]Hapo kilichokosekana ni nguvu ya ccm, kupindishwapindishwa kwa haki. Haki ni kama mkondo wa maji ya mvua, mutaharibu weee mutajenga hovyohovyo na kuzibaziba kila kona ila siku ikija kunyesha maji yanasafisha uchafu wote ktk mkondo wake.
Kuna jamaa alitaka kuniuzia Hilo jengo alisema 6.5b mie namwambia achukue 4 akakataa. Tukaishia Hapo. Afadhali ukosefu wa hela wangu uliniokoa na ambavyo sipendi kesiTaarifa kutoka Mahakama ya Rufaa inaonyesha kwamba Mbunge wa Mstaafu wa ccm Mh Sauli Henry Amon , ameshindwa kesi Mahakamani baada ya Familia ya Bushiri Pazi kurejeshewa nyumba iliyouzwa kwa mnada mwaka 2001 .
Ilikuwa hivi , Kampuni ya S.H.AMON ilishinda mnada wa nyumba namba 113 , Kitalu 4 , Block 17 ambayo ilikuwa mali ya Bushiri Pazi , iliyokuwa Kariakoo , Ilala , DSM , S.H.AMON alilipa Tsh mil 105 katika mnada uliofanyika 13/5/2001 , hii ilikuwa nyumba ya kawaida tu , baada ya kuinunua Sauli akaibomoa na kuporomosha jengo la ghorofa nane .
Mnada huo ulipingwa Mahakamani na Bushiri Pazi , ambaye alidai haukuwa halali , Baada ya danadana nyingi za kisheria kwenye Mahakama mbalimbali kwa miaka 20 , Hatimaye Ndugu Bushiri Pazi amerejeshewa nyumba yake , ila sasa si ile ya chini tena , ni ghorofa 8 .
View attachment 2203933
Chanzo : KYELA FM
Nje ya mada, kwa wenye uelewa: Hivi entity kama benki ikiendesha mnada wa nyumba ya mtu aliyeshindwa kulipa deni na mahakama baadae ikasema mnada ulifanyika ndivyo sivyo, hivyo nyumba inatakiwa irudi kwa wenyewe, mimi mnunuzi nitapoteza? Gharama zangu nani atalipa na hasa kama nimeshaendeleza?
Asante sanaTZCA 186 :
HUKUMU YA 13 APRIL 2022
IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIAAT PAR ES SALAAMfCORAM: KWARIKO, J.A., MAIGE. 3.A. And MWAMPASHI. J.A.lCIVIL APPEAL NO. 166 OF 2019HAMIS BUSHIRI PAZI ...............................................................1st APPELLANTHAMIS BUSHIRI PAZI (as the Administrator ofthe deceased estate of NEEMA BUSHIRI PAZI-Deceased and ...2nd APPELLANTMWAJUMA BUSHIRI PAZI-Deceased) ........................................RD APPELLANTSTUMAI BUSHIRI PAZI ..............................................................4th APPELLANTHATUJUANI BUSHIRI PAZI .......................................................5[emoji769] APPELLANTVERSUSSAUL HENRY AMON..................................................................1st RESPONDENTS.H. AMON ENTERPRISES LTD ..............................................2nd RESPONDENTMUSA HAMISI KAZUBA ........................................................3rd RESPONDENTKASSIM ALLY OMARI (as the Administrator of theestate of TATU BUSHIRI PAZI deceased) ............................4[emoji769] RESPONDENTANDTHE ATTORNEY GENERAL .......................................................THIRD PARTY(Appeal from the decision of the High Court of Tanzania,Land Division at Dar es Salaam )(Sambo, 3.)dated 9th day of March, 2012inLand Case No. 185 of 2004JUDGM ENT OF THE COURT7th February &. 13th April, 2022MAIGE, J.A.:This judgment is a culmination of twenty years struggle for a piece of land described as house No. 113 Plot No. 4, Block 17, Kariakoo Area, Ilala District, Dar es salaam ("the suit property") which is currently held under certificate of title No. 57275 dated 24th March 2005 in the name of the second respondent (exhibit P4). It is not in dispute that until ...
READ more : Hamisi Bushiri Pazi & Others vs Saul Henry Amon & Others (Civil Appeal 166 of 2019) [2022] TZCA 186 (13 April 2022); | Tanzlii
Soma habari vizuri, Wadai waliomba mahakama itambue wao ndio wamiliki halali WA kiwanja na nyumba iliypjengwa humoJe mwenyewe aliyejenga akiamua kuivunja vp?
Sheria ina mruhusu
Ova
Asante sana
Unamfungulia kesi mahakamani ili akulipe fidiaNje ya mada, kwa wenye uelewa: Hivi entity kama benki ikiendesha mnada wa nyumba ya mtu aliyeshindwa kulipa deni na mahakama baadae ikasema mnada ulifanyika ndivyo sivyo, hivyo nyumba inatakiwa irudi kwa wenyewe, mimi mnunuzi nitapoteza? Gharama zangu nani atalipa na hasa kama nimeshaendeleza?
Umekosea kuripoti, hajarudishiwa nyumba ni amerudishiwa kiwanja, hivyo SH Amin, yuko free kuyachukua majengo yake, hivyo jamaa kubaki na kiwanja chake kirudishwe ile nyumba aliyoinunua.
P
Mkuua tokea asubuhi sijacheka Kama leo ,aisee nashukuru saana . Yaani unawahi kwnye asali haupoteZi muda mkuu. Yaani uko fasta Sana kwenye hela jamani. Haya bana kila la heriuzeeni..ingekuwa mimi hapo muda huohuo nataka nione mikataba ya wapangaji hili nianze kula hela
... milioni 105 mwaka 2001 (20 yrs ago) was a hell of money!Milioni 105 angeweza kupata kiwanja njia ya Tegeta na kujenga kwa nafasi, mji unapanuka. Pole zake.
Kutoka nyumba chakavu ya udongo mpaka kumiliki ghorofa tusikate tamaa wadau,ipo siku tutatoboa tu hata ikiwa uzeeni..ingekuwa mimi hapo muda huohuo nataka nione mikataba ya wapangaji hili nianze kula hela za kodi
View attachment 2203922
Aombe mapitio ili mahakama iamuru waliokuwa wamiliki wa awali ambao wamerudishiwa umiliki wao wamlipe gharama za jengo au aruhusiwe kulivunja jengo lake ili wao wabaki na kiwanja chao.
... benki hawawezi kuendesha mnada bila idhini ya mahakama nadhani. Lazima shauri lipelekewe mahakamani kwamba umeshindwa kulipa mkopo wao kwa mujibu wa mkataba (umekiuka mkataba) then mahakama itatoa hukumu ya nyumba yako kuuzwa. So, mnunuzi atakuwa ameinunua kwa utaratibu sahihi kuja kumgeuka itakuwa ngumu sana.Nje ya mada, kwa wenye uelewa: Hivi entity kama benki ikiendesha mnada wa nyumba ya mtu aliyeshindwa kulipa deni na mahakama baadae ikasema mnada ulifanyika ndivyo sivyo, hivyo nyumba inatakiwa irudi kwa wenyewe, mimi mnunuzi nitapoteza? Gharama zangu nani atalipa na hasa kama nimeshaendeleza?
Fedha zangu zinitese bila kosa lolote!Unamfungulia kesi mahakamani ili akulipe fidia