Mkuu kupokea wanapokea but in a very low level,, kwenye elimu huuita "remembering",, but hawafikii the highest levels kama analysis au applying that's why tunalalamika elimu yetu ni ya kukaririshanaMkuu,
Hawa watoto Sijui hata wakifika uko mashuleni akili zao zinakua sawa kupokea kile wanachofundishwa
Wanaenda kama formality tu.Mkuu,
Hawa watoto Sijui hata wakifika uko mashuleni akili zao zinakua sawa kupokea kile wanachofundishwa
Tunataka na watoto wetu wasome mazingira magumu kwa kisingizio cha wajue umuhimu wa elimu in a hard wayWenzetu Ulaya wana shule bora kuanzia level ya Kata.
Huku kwetu badala wazazi mji commit muboreshe mazingira ya shule zilizo jirani na makazi mnakimbilia kujaza ma bus ya watoto kuwasafirisha makilometa ya umbali bila sababu ya msingi.
Mtoto anakaa Chanika anasoma Olympio! Unategemea ataamshwa saa ngapi kupanda school bus?
Upumbavu tu.Tunataka na watoto wetu wasome mazingira magumu kwa kisingizio cha wajue umuhimu wa elimu in a hard way
Mie naona hawa watu wa haki za binadamu hawafanyi kazi yao. Wamekalia ushoga baadala ya kuwatetea wototo. Sasa mtoto wa miaka minne saa kumi na moja anaenda shule kufanya nini? Kuwatesa tuu watoto.Imekaaje hii[emoji848]
Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.
Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote Ni wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]