Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

Imekaaje hii[emoji848]

Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.

Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,

-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]

Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote Ni wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.

HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]
Kusema kweli huwa sioni logic ya watoto wa miaka 4-10 kuwahi shuleni saaa 11 kama vile wanahitaji kusoma vitu vingi.ni kuwachosha akili tu
 
Tatizo kubwa hapa ni kuwa shule wanazoziamini wazazi ziko mbali na maeneo wanayoishi. Hakuna shule inaanza saa 12:00 alfajiri. Kama shule ikiwa mtaani kwako unaweza kumi amsha mtoto saa 12:00 ajiandae.
sahihi
 
Kuna mdau kasema wanazungushwa kwenye mabasi kituo mpk kituo kukusanya wenzao, kufika shuleni Ni saa 2 asbh
 
Kusema kweli huwa sioni logic ya watoto wa miaka 4-10 kuwahi shuleni saaa 11 kama vile wanahitaji kusoma vitu vingi.ni kuwachosha akili tu
Kabisa,
Hawa watoto bado ubongo wao unakua, haujakomaa kabisa kutumikishwa hivyo
 
Kuna mdau kasema wanazungushwa kwenye mabasi kituo mpk kituo kukusanya wenzao, kufika shuleni Ni saa 2 asbh
Swala hapa ni kuangalia ni kwanini watoto wanasoma hiyo shule ya mbali, kama sababu ni ubora wa viwango na serikali haiwezi kuvitoa katika shule za kata basi waruhusu wawekezaji waongeze shule ili watoto wasiteseke.
 
Imekaaje hii[emoji848]

Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.

Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,

-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]

Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote Ni wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.

HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]
Kuna wazazi wengine wapuuzi sana...unakuta anakaa kimara na huko kuna shule nzuri tu lakini anampeleka mtoto shule tegeta au mikocheni.Unategemea nini hapo.
 
Mie naona hawa watu wa haki za binadamu hawafanyi kazi yao. Wamekalia ushoga baadala ya kuwatetea wototo. Sasa mtoto wa miaka minne saa kumi na moja anaenda shule kufanya nini? Kuwatesa tuu watoto.
Ndo Hawa tunaokuta miaka 16 tayar keshahitimu kidato Cha nne,

Unabaki kujiuliza maswali mengi sana[emoji848]
 
Imekaaje hii[emoji848]

Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.

Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,

-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]

Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote Ni wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.

HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]

Sasa bora hao wa school bus kutana na wale wa kugombea dalaldala sasa katoto kadogo libegi likubwa anaanza kuhangaishana na makondakta
 
Inaumiza Sana kwakweli, wazazi wajitafakari.

Zaman tulisoma wakubwa, angalau hizi purukushani hazikutusumbua.
 
Back
Top Bottom