RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kama kukaa Kigamboni na kuamua kumsomesha mtoto mbezi beach?Unapoishi mji kama Dar es salaam Kuna vitu ambavyo maisha yatakuwa hayakupi uchaguzi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kukaa Kigamboni na kuamua kumsomesha mtoto mbezi beach?Unapoishi mji kama Dar es salaam Kuna vitu ambavyo maisha yatakuwa hayakupi uchaguzi...
Hii maadaa nimeitupia kwenye group langu la WhatsApp la Wazazi na Walimu shuleni kwa wanangu,na mchezo huo nao wanao maana shule yao inaanzia hizo age za 4 na 6! Bado nasikilizia majibu kutoka huko!!Imekaaje hii[emoji848]
Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.
Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote Ni wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]
Sasa mtoto mwa miaka 2 anapelekwa shuleni kufanya Nini kama sio upigaji huu[emoji848]wengine wanaona ujanja mtoto miaka miwili anaanza kupelekwa day care..principle yangu ni mtoto akae home awajue siblings, ajue viumbe vya dunia, atembee ahave fun, ajue milima mito na bahari, ajue abc -z akiwa home, 1 to 100 akiwa home.. alale, acheze, ale. nursery nataka asome mwaka mmoja tu..sitaki kuskia ya baby class, kg 1, kg 2, pre grade 1 ..alaf baada ya hapo ndo agraduate aende class 1 lol..watu wanafanywa mtaji
Au vinafikia kwenye tv vinakutana na vikatuni vya Tom and Jerry! Mbona ndiyo vitakodoa macho hadi saa 12 jioni ndiyo kanaanza kusinzia huku homework ikimsubiria!!!wakirudi saa 12 wanapewa smartphone wanachezea
Tunakujua hupendi shule..😀Hapo mtoto akifika std 4/5 kashachoka na kuchukia shule.
Wazazi ndiyo tuna shida zaidi maana watoto kwa umri huu wa miaka 4 hufuata kile Wazazi tunawaamulia.Kizazi cha sasa ni shida, kuanzia wazazi hadi watoto.
Kina mama (wake zetu) Nadhan ndo mashabiki wa huu upuuzi,Ndio mkuu, zile nywele za uzi zinauma sana wanawake wanajua, usipopaka dicloper ya tube kichwani siku ukisuka hulali na hua inaleta vipele na vidonda. Sasa mtoto wa miaka minne anajazwa minywele ya uzi ya nini? anatafuta nini? Watoto ni warembo na wazuri bila hata huo upuuzi wa minywele, kuzutwa zutwa kichwa na wasusi kunaleta mtoto anakomaa liuso kama mtu mzima, mtoto mpige kipara daily aoge had kichwani, ni dawa na inaleta kurelax, sasa na hili joto mtoto haogi kichwa mwezi.
Ningekua waziri wa elimu au rais ningepiga marufuku wanafunzi kusuka, wanasuka ili iweje kwamfano?
Kabisaaa yaan.Hapo mtoto akifika std 4/5 kashachoka na kuchukia shule.
KABISA,Wazazi ndiyo tuna shida zaidi maana watoto kwa umri huu wa miaka 4 hufuata kile Wazazi tunawaamulia.
Imekaaje hii[emoji848]
Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.
Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote Ni wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]
Imekaaje hii[emoji848]
Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.
Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote Ni wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]
Mkuu pole sana kwa taarifa yako hao watoto sio miaka 4 kama unavyosema hao ni watoto wa miaka miwili na nusu hadi mitatu na minne na walipaswa kupelekwa kwenye day care lakini wanapelekwa mashuleni wakafundishwe.Imekaaje hii[emoji848]
Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.
Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote Ni wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]
Huyo kweli hapendi shule..😂Ushaanza...[emoji2]
WEWE..Huu uzi watu wa shule za vidumu na mifagio hautuhusu kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nmekusoma vizur Sana mkuu,Mkuu pole sana kwa taarifa yako hao watoto sio miaka 4 kama unavyosema hao ni watoto wa miaka miwili na nusu hadi mitatu na minne na walipaswa kupelekwa kwenye day care lakini wanapelekwa mashuleni wakafundishwe. Wazazi wa siku hizi hawana akili hawajali tena usalama wala lishe bora kwa mtoto wanachotaka ni mtoto afundishwe tu yaani mtoto akijua tu kuongea basi anakimbizwa kwa mwalimu. Huko mwanzo watoto wa miaka 2 hadi 4 walikuwa wanashinda kwenye day care yaani vituko vya kulelea watoto mchana ili wapate uji na chakula na pia wapate muda wa kucheza kidogo au malezi changamshi mwisho wapate muda wa kulala . cha ajabu wazazi hawajui hilo tena wanawatesa watoto kuwapeleka kwenye mashule ya mbali huku wengine wakishinda njaa mashuleni na kubebeshwa mabegi ya madaftari huu ni ukatili kwa mtoto. Siku hizi si ajabu tena unakutana na watoto wa miaka miwili eti wametoka shule za vichochoroni wengine wanajiita tuition wakati ni darasa kabisa lenye ubao.kibaya zaidi mtoto wa kike bado anajipupulia sasa mwalimu ni wa kiume anamtawazaje huyo mtoto? He siku mwalimu akiamua kumbaka? Ukweli hali ya sasa natisha shule zimekuwa nyingi mno chekechea vituko ni vingi kuliko hata hizo day care na hizo chekechea au nursery nyingi haina usajili na zipo katika mazingira hatarishi. Kuna haja ya wizara ya elimu na wizara ya Ustawi wa jamii kukaa pamoja na kutenganisha hawa watoto kwa umri wajulikane wa shule ni kuanzia umri gani tusipouwa makini baadaye watoto wetu watadumaa akili na mwili au kupata madhara Mkubwa ya kiafya huko mbeleni kwakuwa watoto wadogo hawapati lishe bora tena kwakuwa wanaamshwa asubuhi na mapema kuwahishwa shuleni. Hivi mtoto wa miaka miwili kwenye school bus ya SAA 12 asubuhi anaenda kusoma nini shuleni? Huyu sialipaswa ashinde kwenye day care? Serikali ifuatilie hili jambo huu ndio mwanzo wa mwingi mbovu wa elimu. Asante
Sasa ushoga na watoto wadogo kuwahishwa kuanza shule inahusu nn? Hivi hamuwezi kukaa bila kuujadili ushoga? Mnawaanzisha watoto wenu wadogo shule mapema kisa watu wa haki za binadamu wanatetea ushoga? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie naona hawa watu wa haki za binadamu hawafanyi kazi yao. Wamekalia ushoga baadala ya kuwatetea wototo. Sasa mtoto wa miaka minne saa kumi na moja anaenda shule kufanya nini? Kuwatesa tuu watoto.