Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

Kwani mmelazimishwa kupeleka watoto kwenye hizo shule?
Wabongo mnapenda kulalama sana, peleka mtoto shule ya jirani, au ww hamia jirani na shule husika.


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu ukute wazazi wa watoto husika hawajari wala nn.
 
Akifika form one anamuandikia headmaster kwamba "mimi shule basi, ni maamuzi yangu sijashawishiwa, ndiyo hivyo sitanii"...
Ndio watoto wanajifunza tabia za uongo mapema na kusingizia kuumwa ili tu wasiamke alfajiri kwenda shule
 
Tunataka na watoto wetu wasome mazingira magumu kwa kisingizio cha wajue umuhimu wa elimu in a hard way
Ni upuuz kumkomoa mtoto uliyemzaa mwenyewe,

Studying and learning should be enjoyable
 
Swala hapa ni kuangalia ni kwanini watoto wanasoma hiyo shule ya mbali, kama sababu ni ubora wa viwango na serikali haiwezi kuvitoa katika shule za kata basi waruhusu wawekezaji waongeze shule ili watoto wasiteseke.
Awamu iliyopita haya mashuleni yalivurugwa sanaa, ninaishi jirani na shule moja binafsi nzuri Sana. Mmiliki alikuwa na plan kufungua shule nyingine ili kupunguza watoto wanaotoka mbali Kuja hapo but alifuta mpango huo.
 
Shule nzuri huuza maeneo inayoizunguka, kwa mfano umejenga nyumba Tabata na shuke nzuri iko Kibaha.

Kwa muda watoto wanaihitaji shule ya Kibaha tafuta nyumba Kibaha upangishe.

Tabata unatafuta mpangaji na kodi ya Tabata inalipa nyumba Kibaha. Hofu zenu kuwa flexible.
 
Swala hapa ni kuangalia ni kwanini watoto wanasoma hiyo shule ya mbali, kama sababu ni ubora wa viwango na serikali haiwezi kuvitoa katika shule za kata basi waruhusu wawekezaji waongeze shule ili watoto wasiteseke.
Suala la kuongeza shule Bila kuweka sheria Kali za kuwabana hao wazazi na wamiliki wa hizo shule.

Hiyo Inakua ni KAZI bure.

Hapa Kuna,

suala la muda wa kuripoti shule,

Suala la muda wa masomo,

Suala la content ya masomo,

Suala la umri wa mtoto kwenda shule,

Serikali inapaswa kulisimamia Sana hili suala, na sio kukaribisha wawekezaji tu wachukue Kodi.
 
Back
Top Bottom