Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

Shule nzuri huuza maeneo inayoizunguka, kwa mfano umejenga nyumba Tabata na shuke nzuri iko Kibaha. Kwa muda watoto wanaihitaji shule ya Kibaha tafuta nyumba Kibaha upangishe. Tabata unatafuta mpangaji na kodi ya Tabata inalipa nyumba Kibaha. Hofu zenu kuwa flexible.
Sahii,
sema wazazi wengine ving'ang'anizi Sana kupangisha Kisha na wao wakapange.
 
Wanataka watoto wao wapate Elimu bora. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Elimu Bora au Bora elimu.

Kuna mdau kasema kwa uchovu wanaofika nao watoto, kule shuleni wanakuepo Kama masanamu TU kufata formality.

Ila akili yote hata haiko shuleni
 
Imekaaje hii[emoji848]

Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.

Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,

-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]

Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.

HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]
Wazazi wa siku hizi hawana akili
 
Akili inakua ishachoka + usingzi
Sahii kabisa,
Hata Mimi mwnyw TU, kuniamsha usiku wa manane Mara mbili Mara tatu akili yangu Lazima ichoke TU.

Na mchana ntasinzia sana+Ufanisi utapungua.
 
Watoto muda mwingi hawawezi hata kuwa na concentration darasani
Sahii kabisa,
Hata uwe mtu mzima, Kuna MDA Lazima itakudisturb TU kwny shughuli zako.

Sembuse hao watoto wadogo ambao ubongo wao Ndo bado kabisa[emoji848]
 
Sema dar ndo ipo hvyo kwasababu ya foleni ila mikoani saa moja ndo wanaamka dar kila kitu shida.
 
Wakifika nyumbani wanacheza saa ngap?
Wanafanya homework saa ngapi?
Wanakula saa ngapi chakula Cha usiku?
Wanalala saa ngapi?
Kisha wanaamshwa saa ngapi kesho yake[emoji848]
Ila kweli wanateseka aisee..wakifika nyumbani hakuna kucheza,ni kufanya homework na kula.Sasa wakicheza si watachoka sana jamani
 
Sahii kabisa,
Hata Mimi mwnyw TU, kuniamsha usiku wa manane Mara mbili Mara tatu akili yangu Lazima ichoke TU.

Na mchana ntasinzia sana+Ufanisi utapungua.
Sasa imagine kwa mtoto, ni mateso
 
Back
Top Bottom