Ndo Hawa tunaokuta miaka 16 tayar keshahitimu kidato Cha nne,
Unabaki kujiuliza maswali mengi sana[emoji848]
We jamaa umefanya utafiti kuhusu kumaliza na umri mdogo? Kuna mjapani alikuwa ana miaka 21 ana master wewe unashangaa miaka 16!
Umri wa mwili na umri wa akili ni vitu tofauti.
Unaweza ukawa una miaka 29 hesabu za drs7 zikakushinda.
Mtoa mada ameongelea kuwahishwa shule na si kuanza shile umri mdogo.
Mambo ya kuanzisha watoto wakiwa na miaka 7+ yamepitwa na wakati.
Kanuni zinasema mtoto huanza kujifunza mara tu anapozaliwa, sasa wewe unataka mtoto amalize f4 na miaka mingapi na kwa sababu ipi ?
Mtoto wangu kaanza std i na miaka 5 ukijumlisha 6+4, atamaliza f4 na miaka 15 dipl 3 + digrii 3, jumla 22.
Hivyo basi ataanza maisha akiwa na miaka 22.
Kuna kijana niliwahi mshuhudia ana miaka 21 na yupo mwaka wa 3 course za IT.
Mkuu kama mtoto wako kilaza mpeleke akiwa na miaka 10 ila mimi nimekataa hakuna mtoto wangu ataanza std 1 zaidi ya miaka 6 labda awe na matatizo ya akili.
Jambo hili nalisema kwa sababu kazini ndio utaona gape, yani wewe una miaka 30 kuna mwenzio ana miaka 25 mnachukua mshahara sawa kisa tu wazazi wako walikuchelewesha shule.
Niishie hapa tu japo nina mengi ya kupinga hoja yako "open your mind" dunia ya sasa ni tofauti na ya zamani.