Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
wakirudi saa 12 wanapewa smartphone wanachezea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakirudi saa 12 wanapewa smartphone wanachezea
Ha ha ha....
Umenichekesha Sana[emoji1787]
Unawazungumzia wabunge kina Ziroseventytwo ?
Huku wakimnyima mtoto haki yake ya msingi ya kulala na kupumzikaSio wapumbavu. Wanatafuta elimu bora.
Anajua mitaa mingi kuliko wazazi wakeMDA wote wanamzulilisha tu utadhani wamisionari[emoji848]
Ili huo umoja wa wazazi ufanye nini!??Wamiliki wa shule binafs wana umoja wao.je wazazi wa watoto wa shule za private kwanini wasiunde umoja wao? Kama ilivyo kwa makundi mengne
Ni sera za UN mkuu alias USA and co.Sikupingi mkuu,
hizi sera za Beijing zinatuaribia jamii yetu[emoji3525]
Moja kati ya mada muhimu hii. Moderators napendekeza muiselect hii mada na kuivalue indeedImekaaje hii?
Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni. Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
- Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?
- Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?
- Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?
HAIINGII AKILINI KABISA
Ah wengine wamezidiwa akili na watoto wao kwakweli.Kama wazazi ndio Hawa tunaoishi nao na kuwaona mitaani huku,akili Kama za watoto wao...
Na wewe tafuta house maids wazuriDaycare sawa, hata saa kumi na moja waje wamchukue mtoto niwahi kazini au nam drop center nikiwa nawahi foleni. Huko wana vitanda na hulala, huogeshwa, kulishwa, kucheza na kusoma kidogo maana mtoto wa miaka mi3 bado hata haelewi shule ni nini. Jioni nikimpitia au wakimleta nikiwa home tayari hatakama ni saa moja usiku. Mnaopinga Daycare mna house maids wazuri au mmeamua kujitoa muhanga, au mnawatu wa kuwaachia watoto nyumbani au bado hamna watoto au tayari ni wakubwa. Ila zinasaidia sana