paraa53
New Member
- Nov 16, 2021
- 1
- 1
Hii maadaa nimeitupia kwenye group langu la WhatsApp la Wazazi na Walimu shuleni kwa wanangu,na mchezo huo nao wanao maana shule yao inaanzia hizo age za 4 na 6! Bado nasikilizia majibu kutoka huko!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii maadaa nimeitupia kwenye group langu la WhatsApp la Wazazi na Walimu shuleni kwa wanangu,na mchezo huo nao wanao maana shule yao inaanzia hizo age za 4 na 6! Bado nasikilizia majibu kutoka huko!!
TrueWenzetu Ulaya wana shule bora kuanzia level ya Kata.
Huku kwetu badala wazazi mji commit muboreshe mazingira ya shule zilizo jirani na makazi mnakimbilia kujaza ma bus ya watoto kuwasafirisha makilometa ya umbali bila sababu ya msingi.
Mtoto anakaa Chanika anasoma Olympio! Wa mbagala nae unalazimisha asome Olympio. Unategemea ataamshwa saa ngapi kupanda school bus?
Yaani wanatia hadi huruma,mimi nitakapokuja kuwa na mtoto,siwezi kukubali haya ya saa kumi na moja na nusu shuleImekaaje hii?
Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni. Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
- Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?
- Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?
- Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?
HAIINGII AKILINI KABISA
Elimu ikishageuzwa biashara hayo ni kawaida kutokeaImekaaje hii?
Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni. Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
- Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?
- Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?
- Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?
HAIINGII AKILINI KABISA
Wakati mnalaumu kumbukeni pia kuna sababu ambazo zinamlazimu mtoto kukaa mbali na wazazi bila kupenda. Kwa Mimi shida ni MTU wa kumwachia mtoto ilibidi nikapeleke day care na 1.5 yrs hakuna msichana anaweza kukaa mtaani kwetu yaani inabidi MTU uwaze Mara 2 ukiwaza kuzaa either uache kazi ulee sasa hiyo kazi ndio tegemeo LA kumtuza huyo mtoto. Hata ukimpeleka shule ya kuwahi kurudi huko nyumbani atakaa na nani na wewe unachelewa kufika. Yaani kuna watu wako na kazi ya kuharibu mabinti wa kazi ili waone unavyoteseka na watoto wako suluhisho waende wakashinde shuleni tukutane usiku hamna namna. Wengine imebidi wapeleke boarding sio kwa kupenda ni shidaMkuu pole sana kwa taarifa yako hao watoto sio miaka 4 kama unavyosema hao ni watoto wa miaka miwili na nusu hadi mitatu na minne na walipaswa kupelekwa kwenye day care lakini wanapelekwa mashuleni wakafundishwe.
Wazazi wa siku hizi hawana akili hawajali tena usalama wala lishe bora kwa mtoto wanachotaka ni mtoto afundishwe tu yaani mtoto akijua tu kuongea basi anakimbizwa kwa mwalimu.
Huko mwanzo watoto wa miaka 2 hadi 4 walikuwa wanashinda kwenye day care yaani vituo vya kulelea watoto mchana ili wapate uji na chakula na pia wapate muda wa kucheza kidogo au malezi changamshi mwisho wapate muda wa kulala .
Cha ajabu wazazi hawajui hilo tena wanawatesa watoto kuwapeleka kwenye mashule ya mbali huku wengine wakishinda njaa mashuleni na kubebeshwa mabegi ya madaftari huu ni ukatili kwa mtoto.
Siku hizi si ajabu tena unakutana na watoto wa miaka miwili eti wametoka shule za vichochoroni wengine wanajiita tuition wakati ni darasa kabisa lenye ubao.kibaya zaidi mtoto wa kike bado anajipupulia sasa mwalimu ni wa kiume anamtawazaje huyo mtoto?
Je siku mwalimu akiamua kumbaka? Ukweli hali ya sasa inatisha shule zimekuwa nyingi mno chekechea vituo ni vingi kuliko hata hizo day care na hizo chekechea au nursery nyingi hazina usajili na zipo katika mazingira hatarishi.
Kuna haja ya wizara ya elimu na wizara ya Ustawi wa jamii kukaa pamoja na kutenganisha hawa watoto kwa umri wajulikane wa shule ni kuanzia umri gani tusipokuwa makini baadaye watoto wetu watadumaa akili na mwili au kupata madhara Mkubwa ya kiafya huko mbeleni kwakuwa watoto wadogo hawapati lishe bora tena kwakuwa wanaamshwa asubuhi na mapema kuwahishwa shuleni.
Hivi mtoto wa miaka miwili kwenye school bus ya SAA 12 asubuhi anaenda kusoma nini shuleni? Huyu sialipaswa ashinde nyumbani na msichana wa kazi au kwenye day care?
Serikali ifuatilie hili jambo huu ndio mwanzo wa msingi mbovu wa elimu.
Asante
Dah..Ujinga ni wa wazazi wa leo, acha waliwe mipesa na kutesa watoto wao kwa pesa zao wenyewe☹️
Hiyo miaka 5 unamuanzisha level ipi!??Mimi mwanangu wanaanza shule miaka 5.
Imekaaje hii?
Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni. Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
- Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?
- Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?
- Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?
HAIINGII AKILINI KABISA
Wakikusikia utasikia "kama vipi muhamishe"Imekaaje hii?
Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni. Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
- Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?
- Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?
- Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?
HAIINGII AKILINI KABISA
Hili suala si la kulijadili kilevilevi..Wazazi wanazaa halafu hawataki kulea, wanajidai wanapeleka watoto shule ila sio kweli! Wanachofanya ni kuwanasukumia watoto kuepuka majukumu ya malezi
Kuna wakati unakuta vitoto vidogo miaka 2 na nusu, 3, 4, 5 boarding au kwenye school bus alfajiri unapata huruma hadi unatamani kumwomba Mungu awanyime wazazi wao hiyo pesa ya kuwapeleka huko.
Ukisikia pesa inakutumia badala ya wewe kuitumia ndio hapo
Wazazi wanataka wanao wasome English medium schools ambazo zipo mbali na mazingira yao. Over.Tuwaulize wazazi wao maana wapo humu
Unawazungumzia wabunge kina Ziroseventytwo ?harafu hawa ndio wakija kuwa wabunge ni kulala tu bungeni maana wana usingizi wa miaka nenda rudi tangu wakiwa wadogo[emoji16]
Ni unyanyasaji wa watotoElimu ikishageuzwa biashara hayo ni kawaida kutokea
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app