The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Wacha uzushi, hakuna shule inayofundisha kuanzia saa 12 asbh mpk saa 3usiku hakuna iyo shule hata Ulaya hakuna.Wewe utakuwa na watoto vilaza na wasiopenda shule ndio maana unawachongea watoto wanaopenda shule ili wawe vilaza kama wanao. Mimi mwanangu yupo shule binafsi na wanasoma hadi saa tatu usiku, wewe unalalamikia saa 12 jioni? PUMBAVU!!!!
Kasome Allegory of the Cave by Socrates.Wacha uzushi, hakuna shule inayofundisha kuanzia saa 12 asbh mpk saa 3usiku hakuna iyo shule hata Ulaya hakuna.
Nmekwambia wacha uzushi hakuna shule inayofundisha kuanzia saa 12 asbh mpk saa 3ucku ama lete evidence, usiniambie habari za kusoma cjui mavitu gn.Kasome Allegory of the Cave by Socrates.
Tatizo sio ufaulu wa div 3 au 4, mbona sisi tulifundishwa na Walimu pasipo Elimu( UPE) na tulifanya vema. Shida kubwa ipo kwenye mitaala na muda wa ub adilishwaji wa mitaala hiyo . Kila baada ya waziri kubadilishwa basi akiipata nafasi hiyo atabadili kulingana na anavyotaka yeye. Mwisho wa yote walimu wanakuwa incompetent na hayo mazauzau ya mamitaala ya kila leo,hivyo huzisha wanafunzi wahivyohivyo wanao faulu Dr's la 7 wanafeli kdt cha 2, wana faulu vema kdt cha 4 wanaenda feli kdt cha cha 6Hili swali ndilo nalojiuliza...
Ila nishaelewa...hii ni kwa sababu WALIMU HAWA NI WALE WALIOPATA DIV 3 MPAKA 4...Kwahiyo tuseme hawana mbinu za ufaulu wenye tija...
Acha ubishi. Mwanangu anasoma mikocheni anatoka saa 2 usikuWacha uzushi, hakuna shule inayofundisha kuanzia saa 12 asbh mpk saa 3usiku hakuna iyo shule hata Ulaya hakuna.
Ss hapo ndio umerudi kule kule, kama anarudi saa 2ucku manaake anatoka saa 12 jioni na co eti anasoma kuanzia saa 12 asbh mpk saa 3ucku, haipo shule hyo.Acha ubishi. Mwanangu anasoma mikocheni anatoka saa 2 usiku
HakikaWanaozalisha madawa ya vidonda vya tumbo wataendelea kuuza sana.
Punguza makasiriko basi mwalimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe pambana na hali yako sio ufuatilie maisha ya wenzako.Huu uzi sambaza mwenyewe kwa wenye mamlaka ,sisi hatuna muda mchafu.
Ahahahahahahahaha! Zingine wanaanza saa 11 alfajiri hadi saa nne usiku! We kalia hazipo hazipo!Nmekwambia wacha uzushi hakuna shule inayofundisha kuanzia saa 12 asbh mpk saa 3ucku ama lete evidence, usiniambie habari za kusoma cjui mavitu gn.
Mahabusu hizo sio shule.Ahahahahahahahaha! Zingine wanaanza saa 11 alfajiri hadi saa nne usiku! We kalia hazipo hazipo!
elimu yetu kwa wasiokua nacho ni pasua kichwa mkuu.Salamu kwenu ndugu.
Ningeomba uzi huu MODS wanisaidie kuusambaza kwa wenye mamlaka...
Nashindwa kuelewa hawa walimu wa sasa wana tatizo gani jamani????Huwa nikitoka jogging jioni nakutana na vitoto vya shule za serikali ndo vinatoka shule mida hio saa moja na robo hv. Huwa nahuzunika sana rohoni coz wanawekwa kwenye hatr ya kubakwa na kujifunza tabia mbaya.
Young students may be 10% of our population but they're 100% of our future. Serikali inbidi waangalie hili kwakweli
Wengine hulazimisjhwa na njaa, wakurugenzi (wenye shule), ..Nashindwa kuelewa hawa walimu wa sasa wana tatizo gani jamani????
Sijui ni uwezo mduchuu wa kufikiri???