Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakwambia eti watoto wa siku hizi sio kama zamani...sijui vitoto tunavyozaa siku hizi ni vingedere ...?Huu ujinga umetufikia hata wazazi.
Angalia mtoto wa chekechea au primary hususan hizi shule waita english medium
1. Mtoto anaondoka nyumbani saa 12 anarudi saa 12 jioni
2. Mtoto anabebeshwa mzigo wa begi mgongoni ,vitabu lundo hii kiafya sio poa
Mbona sisi tulikuwa tunaenda shule tena kwa kunawa miguu tu au unajipitisha kwenye nyasi inajiosha yenyewe.
Hakuna tution wala home work lukuki
Lakini tulifanya vzr tu
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Chakushangaza sijasikia wale wazee wa haki za binadamu wakipwayuka kuhusu ili ila sula la mtu mzima na akili zake kuzibuliwa chemba wanapwayuka. Useless individuals.Salamu kwenu ndugu.
Ningeomba uzi huu MODS wanisaidie kuusambaza kwa wenye mamlaka.
Sasa hivi kuna kamtindo kameshamiri kwa shule za msingi za serikali kuwachukua wanafunzi na kukaa nao kuanzia saa 12 Alfajr hadi saa 12 jioni... Kwa kisingizio cha kusoma na masomo kuzidi kasi.
Hivi hasa ni nani kawadanganya walimu hawa kuwa MTOTO atafaulu kwa kuwa na muda mrefu wa kusoma?
Hata hizo shule zinazoongoza kwa ufaulu kama ST. FRANCIS ukiangalia kikubwa wanachokisisitiza ni NIDHAMU, Kuanzia kwa walimu mpaka kwa wanafunzi...
Wanazingatia sana ratiba na TEACHING MANUAL(Kama sijakosea) YAANI kila kitu kina wakati wake...sio kwamba wanasoma muda woteee...
Yaani ukiangalia ratiba zao, kuna muda wa kusoma, muda wa kucheza, muda wa kusali na muda wa kupumzika na kulala. NA WANAFANIKIWA.
ILA hizi shule zetu sasa za SERIKALI...wanafanya hivi miaka nenda miaka rudi lakini bado hatujaona hasa nini wamepakipata kwamba walikuwa wanakitafuta.
Yaani kuanzia Saa 12 ASUBUHI hadi saa 12 Jioni KILA SIKU, JUMATATU MPAKA JUMAMOSI Vilevile Kasoro JUMAPILI TU(na KWANINI IWE JUMAPILI TU? Tuseme UDINI ama)...
MUHULA MZIMA WA MIEZI 12...Yaani na LIKIZO VILEVILE wanawaita watoto wasiende likizo nyumbani(na hii tunawashukuru MAWAZIRI UMMY na NDALICHAKO waliliingilia kati suala hili kwa likizo hii).
SWALI LANGU NI;
Je Walimu hawa wanatafuta nini? LENGO LAO NI NINI?
Kama lengo ni kufaulisha, WANATAKA WAFAULISHEJE KWA MTINDO HUU...Mbona matokeo ni yale yale?
Mfano kuna shule iko jirani hapa...MWAKA JANA WAMEFANYA UTARATIBU HUO...Lakini wametoa WANAFUNZI WOTE WAMEENDA SHULE YA KATA ILIYO KARIBU...Hakuna hata mmoja alienda KIPAJI MAALUM...
Ina maana hawafanyi tathmini juu ya mbinu wanazotumia?
Mimi kwa Upande wangu nimeona yafuatayo;-
1. Hii ni dalili ya KUTOKUWAJIBIKA IPASAVYO na UVIVU kwa walimu wetu hawa, Kama hukuweza kufundisha na kumaliza at a given time frame WEWE NI MZEMBE, Hata ukipewa muda mwingi iweje you wont succeed.
2. Ukiwauliza kwanini hivi, watakwambia HIVI NDIVYO TULIVYOKUBALIANA NA WAZAZI KWENYE MKUTANO WA WAZAZI(Huku kwenye mkutano ndipo wanakotumia kupitisha vimichango vyao kwa kisingizio tumekubaliana).
Siri ni hivi...WAZAZI wa zama hizi ni wavivu na hawataki kulibeba jukumu lao la malezi...kwahiyo kukaa na mtoto siku nzima kwao ni AFUENI ya malezi, kwahiyo wazazi na walimu wana malengo tofauti kwa maslahi yao binafsi.
MATOKEO YAKE NI NINI?
1. Mtoto kukosa elimu ya muhimu ya uendeshaji wa maisha yake akiwa mtaani mbali na shule. Watoto wanashinda siku nzima kusoma JIOGRAFIA, HISTORIA YA KINA LIVINGSTONE, HISABATI ZA KKS NA KDS, SAYANSI YA KUMSOMA PANZI...Wanapomaliza masomo na kurudi mtaani, SERIKALI inakuachia mzigo wako mwenyewe TOTO LIMEKUWA JINGA, hata namna ya kuchomeka BULB Ili iwake ATAMWITA FUNDI amfanyie...huku AKILILIA AJIRA YA SERIKALI ili aweze kuifanyia kazi(kuapply) elimu yake ya SAYANSI YA KUMSOMA PANZI na sehemu zake katika maisha yake, wapi aapply HESABU ZA KKS na KDS kwenye maisha...hakuna.
Na sasa hivi sijui kama hata lile somo la STADI ZA KAZI likifundishwa...maana sioni hata watoto wakichonga mifagio ya chelewa kupeleka shuleni...labda ingesaidia...
BILA SHAKA hakuna asiyekubali kuwa kumekithiri yale maneno ya MJIAJIRI kutoka kwa viongozi...hii inathibitisha elimu hii INAYOTOLEWA TOTALLY FAILED
2. NAAMINI TUTAKUBALIANA WOTE KUWA...HAKUNA MAHALA PANAPOHARIBU MAADILI NA TABIA YA MTOTO KAMA SHULENI...
Shuleni hasa za serikali, WANAJAZANA WATOTO WA AINA TOFAUTI WALIOTOKA KWENYE FAMILIA TOFAUTI WENYE MALEZI TOFAUTI NA TABIA TOFAUTI...
Na kwa vile walimu wale wa serikali hawapo pale kurekebisha tabia za mtoto wa mtu...zaidi ya kuhakikisha AMEFUNDISHA ZAKE HESABU ZAKE KUTAFUTA "X"...Huyo mtoto wa mtu hamuhusu na tabia zake mbaya ..
Mwisho wa siku WATOTO wenye tabia mbaya watawaathiri watoto wenye malezi mazuri ..mwisho wa siku wote wanaharibika...
Tujiulize hizi MIMBA ZA SHULENI zimefuata nini huko? Kama shuleni ni sehemu salama tena...?
NI NINI NACHOOMBA KWA WENYE MAMLAKA.
1. Mamlaka ziratibu utoaji wa elimu kwa manufaa mema ya mtoto wa kitanzania ..badala ya kustick kwenye elimu ambayo tayari ina KILA DALILI ZA KUFAIL. Badilisheni sylabus...muda wa kusoma KKS na KDS na ALGEBRA, kusoma PANZI tuutumie kufundisha watoto mazingira halisi ya kuishi maisha yao.
2. GAWENI MUDA WENU HATA MPAKA SAA 6 AU SAA 8 INATOSHA...ILI MTOTO ARUDI MTAANI JAMII IMFUNDISHE "ELIMU MTAA".
3. Haya maadili ambayo kila kukicha viongozi mnalalamikia viongozi wa dini wayatengeneze...unadhani uharibifu wake...unaanzia wapi? Unaanzia kwenu shuleni...mtoto mnakaa nae akiwa mdogo kutwa nzima...akiharibika mnamrudisha mtaani...huyo kiongozi wa dini atatengeneza nini sasa? SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI.
4. Kwa mustakabali wa kimaadili, Wekeni sera ya KULAZIMISHA KILA MZAZI KUHAKIKISHA Mtoto wake anapata elimu ya dini yake kwanza akiwa mdogo kama elimu ya awali. Na anapoanza elimu ya msingi KUHAKIKISHA ule muda baada ya saa 8 kila mtoto aruhusiwe arudi nyumbani na kuhudhuria mafunzo ya dini yake kwa lazima...hii italinda maadili ya jamii.
SERIKALI MSIKAE NA WATOTO KUTWA NZIMA, TUACHIENI NA SISI JAMII TUITENGENEZE JAMII TUITAKAYO. KWA MWALIMU BORA NA ELIMU BORA...MASAA 8 KWA SIKU YANATOSHA KUFUNDISHA NA ELIMU IKAWA NA MANUFAA...KULIKO KUSHINDA NAO SIKU NZIMA.
INATOSHA KWA LEO.
Siku hizi wanawang'ang'ania wake boarding😂!Salamu kwenu ndugu.

Aisee huo ni utumwa kwa mwalimu na mwanafunziUngekuwa mwalimu pengine hata ww ungekuwa hivyo.
Sababu kubwa ni;
1. Kulinda kibarua cha mwalimu(shule binafsi hapa); Elimu ni biashara, ukifelisha, mkurugenzi hana huruma na ww, so lazima utumie kila njia kuhakikisha watoto wanafaulu ili ubaki kibaruani na kulinda biashara ya bosi wako.
2. Watoto hawalingani uwezo, hivyo wengine wanabaki ili wapate mda wa kutosha kujisomea na kueleweshwa zaidi wakiwa wachache.
3. Urefu wa kamba, hapa kuna hela za twisheni, hivyo walimu ndipo tunapopatia marupurupu.
4. Umbali wa mtoto kutoka nyumbani hadi shuleni; hii inafanya mtoto achukuliwe na gari saa kumi na moja alfajiri na kurudi ni saa kumi na mbili jioni.
Na haya yanafanyika kulinga kwamba kila mzazi anataka mwanaye apate ufaulu mkubwa kitu ambacho walimu kuna mda tunawakaririsha watoto ili mzazi aridhike pale mwanae anapofaulu. Na wazazi wengi wanaridhia kabisa hizo ratiba.
Mwisho; Teknolojia yenyewe imeharibu maadili; mtoto akitoka shule anawaza kwenda kuangalia TV, wengine kucheza PS, sasa si bora wakae shuleni tu, kama mtaani kwenyewe hamna wanalojifunza sababu mtaala huu wa sasa umejaribu kuingiza mambo mengi ya kwenye jamii kwenye masomo yao wanayosoma huko shuleni.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
mkuu na akirudi hiyo saa 12 ana homework hiyo ya kufanya masaaa mawiki na hayo maswali hajawahi kufundishwa inabadi wewe mzazi ndo uwe mwalimuSalamu kwenu ndugu.
Ningeomba uzi huu MODS wanisaidie kuusambaza kwa wenye mamlaka.
Sasa hivi kuna kamtindo kameshamiri kwa shule za msingi za serikali kuwachukua wanafunzi na kukaa nao kuanzia saa 12 Alfajr hadi saa 12 jioni... Kwa kisingizio cha kusoma na masomo kuzidi kasi.
Hivi hasa ni nani kawadanganya walimu hawa kuwa MTOTO atafaulu kwa kuwa na muda mrefu wa kusoma?
Hata hizo shule zinazoongoza kwa ufaulu kama ST. FRANCIS ukiangalia kikubwa wanachokisisitiza ni NIDHAMU, Kuanzia kwa walimu mpaka kwa wanafunzi...
Wanazingatia sana ratiba na TEACHING MANUAL(Kama sijakosea) YAANI kila kitu kina wakati wake...sio kwamba wanasoma muda woteee...
Yaani ukiangalia ratiba zao, kuna muda wa kusoma, muda wa kucheza, muda wa kusali na muda wa kupumzika na kulala. NA WANAFANIKIWA.
ILA hizi shule zetu sasa za SERIKALI...wanafanya hivi miaka nenda miaka rudi lakini bado hatujaona hasa nini wamepakipata kwamba walikuwa wanakitafuta.
Yaani kuanzia Saa 12 ASUBUHI hadi saa 12 Jioni KILA SIKU, JUMATATU MPAKA JUMAMOSI Vilevile Kasoro JUMAPILI TU(na KWANINI IWE JUMAPILI TU? Tuseme UDINI ama)...
MUHULA MZIMA WA MIEZI 12...Yaani na LIKIZO VILEVILE wanawaita watoto wasiende likizo nyumbani(na hii tunawashukuru MAWAZIRI UMMY na NDALICHAKO waliliingilia kati suala hili kwa likizo hii).
SWALI LANGU NI;
Je Walimu hawa wanatafuta nini? LENGO LAO NI NINI?
Kama lengo ni kufaulisha, WANATAKA WAFAULISHEJE KWA MTINDO HUU...Mbona matokeo ni yale yale?
Mfano kuna shule iko jirani hapa...MWAKA JANA WAMEFANYA UTARATIBU HUO...Lakini wametoa WANAFUNZI WOTE WAMEENDA SHULE YA KATA ILIYO KARIBU...Hakuna hata mmoja alienda KIPAJI MAALUM...
Ina maana hawafanyi tathmini juu ya mbinu wanazotumia?
Mimi kwa Upande wangu nimeona yafuatayo;-
1. Hii ni dalili ya KUTOKUWAJIBIKA IPASAVYO na UVIVU kwa walimu wetu hawa, Kama hukuweza kufundisha na kumaliza at a given time frame WEWE NI MZEMBE, Hata ukipewa muda mwingi iweje you wont succeed.
2. Ukiwauliza kwanini hivi, watakwambia HIVI NDIVYO TULIVYOKUBALIANA NA WAZAZI KWENYE MKUTANO WA WAZAZI(Huku kwenye mkutano ndipo wanakotumia kupitisha vimichango vyao kwa kisingizio tumekubaliana).
Siri ni hivi...WAZAZI wa zama hizi ni wavivu na hawataki kulibeba jukumu lao la malezi...kwahiyo kukaa na mtoto siku nzima kwao ni AFUENI ya malezi, kwahiyo wazazi na walimu wana malengo tofauti kwa maslahi yao binafsi.
MATOKEO YAKE NI NINI?
1. Mtoto kukosa elimu ya muhimu ya uendeshaji wa maisha yake akiwa mtaani mbali na shule. Watoto wanashinda siku nzima kusoma JIOGRAFIA, HISTORIA YA KINA LIVINGSTONE, HISABATI ZA KKS NA KDS, SAYANSI YA KUMSOMA PANZI...Wanapomaliza masomo na kurudi mtaani, SERIKALI inakuachia mzigo wako mwenyewe TOTO LIMEKUWA JINGA, hata namna ya kuchomeka BULB Ili iwake ATAMWITA FUNDI amfanyie...huku AKILILIA AJIRA YA SERIKALI ili aweze kuifanyia kazi(kuapply) elimu yake ya SAYANSI YA KUMSOMA PANZI na sehemu zake katika maisha yake, wapi aapply HESABU ZA KKS na KDS kwenye maisha...hakuna.
Na sasa hivi sijui kama hata lile somo la STADI ZA KAZI likifundishwa...maana sioni hata watoto wakichonga mifagio ya chelewa kupeleka shuleni...labda ingesaidia...
BILA SHAKA hakuna asiyekubali kuwa kumekithiri yale maneno ya MJIAJIRI kutoka kwa viongozi...hii inathibitisha elimu hii INAYOTOLEWA TOTALLY FAILED
2. NAAMINI TUTAKUBALIANA WOTE KUWA...HAKUNA MAHALA PANAPOHARIBU MAADILI NA TABIA YA MTOTO KAMA SHULENI...
Shuleni hasa za serikali, WANAJAZANA WATOTO WA AINA TOFAUTI WALIOTOKA KWENYE FAMILIA TOFAUTI WENYE MALEZI TOFAUTI NA TABIA TOFAUTI...
Na kwa vile walimu wale wa serikali hawapo pale kurekebisha tabia za mtoto wa mtu...zaidi ya kuhakikisha AMEFUNDISHA ZAKE HESABU ZAKE KUTAFUTA "X"...Huyo mtoto wa mtu hamuhusu na tabia zake mbaya ..
Mwisho wa siku WATOTO wenye tabia mbaya watawaathiri watoto wenye malezi mazuri ..mwisho wa siku wote wanaharibika...
Tujiulize hizi MIMBA ZA SHULENI zimefuata nini huko? Kama shuleni ni sehemu salama tena...?
NI NINI NACHOOMBA KWA WENYE MAMLAKA.
1. Mamlaka ziratibu utoaji wa elimu kwa manufaa mema ya mtoto wa kitanzania ..badala ya kustick kwenye elimu ambayo tayari ina KILA DALILI ZA KUFAIL. Badilisheni sylabus...muda wa kusoma KKS na KDS na ALGEBRA, kusoma PANZI tuutumie kufundisha watoto mazingira halisi ya kuishi maisha yao.
2. GAWENI MUDA WENU HATA MPAKA SAA 6 AU SAA 8 INATOSHA...ILI MTOTO ARUDI MTAANI JAMII IMFUNDISHE "ELIMU MTAA".
3. Haya maadili ambayo kila kukicha viongozi mnalalamikia viongozi wa dini wayatengeneze...unadhani uharibifu wake...unaanzia wapi? Unaanzia kwenu shuleni...mtoto mnakaa nae akiwa mdogo kutwa nzima...akiharibika mnamrudisha mtaani...huyo kiongozi wa dini atatengeneza nini sasa? SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI.
4. Kwa mustakabali wa kimaadili, Wekeni sera ya KULAZIMISHA KILA MZAZI KUHAKIKISHA Mtoto wake anapata elimu ya dini yake kwanza akiwa mdogo kama elimu ya awali. Na anapoanza elimu ya msingi KUHAKIKISHA ule muda baada ya saa 8 kila mtoto aruhusiwe arudi nyumbani na kuhudhuria mafunzo ya dini yake kwa lazima...hii italinda maadili ya jamii.
SERIKALI MSIKAE NA WATOTO KUTWA NZIMA, TUACHIENI NA SISI JAMII TUITENGENEZE JAMII TUITAKAYO. KWA MWALIMU BORA NA ELIMU BORA...MASAA 8 KWA SIKU YANATOSHA KUFUNDISHA NA ELIMU IKAWA NA MANUFAA...KULIKO KUSHINDA NAO SIKU NZIMA.
INATOSHA KWA LEO.
hiyo ya homework halaf ni ya vitu ambavyo hajafundishwaDuh. Ngoja waje wataalamu.
Ila mimi nimechoka kufanya homeworks za wanangu aisee.. yani ada nitoe na homeworks nije nifanye mimi. Hawa walimu hawaaa!!???
anaamka sa 10 huyo kama dereva wa basi la mkoano kwenda dar [emoji23]Watoto wengine wanakaa umbali mrefu mfano mtaani kwangu watoto wa drs la 7 wanataka saa 11alfajiri na kurudi saa 2 usiku huku wakiwa wamechoka kabisa.
Kwani zamani ilikuwaje kipindi tukitoka shule saa 8:30 mchana . Je tulikuwa hatufaulu?Ninachojua mimi nikuwa mfano darasa la saba wanafanya mtihani mwezi wa 9 sasa bila kuongeza muda wa kosoma hawawezi maliza topic, ambazo kikawaida huwa zinaisha mwezi wa 11.
Ili mzazi ugeuke kuwa mwalimu na mwalimu asimfundishe mtotohiyo ya homework halaf ni ya vitu ambavyo hajafundishwa
Huwa nikitoka jogging jioni nakutana na vitoto vya shule za serikali ndo vinatoka shule mida hio saa moja na robo hv. Huwa nahuzunika sana rohoni coz wanawekwa kwenye hatr ya kubakwa na kujifunza tabia mbaya.Salamu kwenu ndugu.
Ningeomba uzi huu MODS wanisaidie kuusambaza kwa wenye mamlaka.
Sasa hivi kuna kamtindo kameshamiri kwa shule za msingi za serikali kuwachukua wanafunzi na kukaa nao kuanzia saa 12 Alfajr hadi saa 12 jioni... Kwa kisingizio cha kusoma na masomo kuzidi kasi.
Hivi hasa ni nani kawadanganya walimu hawa kuwa MTOTO atafaulu kwa kuwa na muda mrefu wa kusoma?
Hata hizo shule zinazoongoza kwa ufaulu kama ST. FRANCIS ukiangalia kikubwa wanachokisisitiza ni NIDHAMU, Kuanzia kwa walimu mpaka kwa wanafunzi...
Wanazingatia sana ratiba na TEACHING MANUAL(Kama sijakosea) YAANI kila kitu kina wakati wake...sio kwamba wanasoma muda woteee...
Yaani ukiangalia ratiba zao, kuna muda wa kusoma, muda wa kucheza, muda wa kusali na muda wa kupumzika na kulala. NA WANAFANIKIWA.
ILA hizi shule zetu sasa za SERIKALI...wanafanya hivi miaka nenda miaka rudi lakini bado hatujaona hasa nini wamepakipata kwamba walikuwa wanakitafuta.
Yaani kuanzia Saa 12 ASUBUHI hadi saa 12 Jioni KILA SIKU, JUMATATU MPAKA JUMAMOSI Vilevile Kasoro JUMAPILI TU(na KWANINI IWE JUMAPILI TU? Tuseme UDINI ama)...
MUHULA MZIMA WA MIEZI 12...Yaani na LIKIZO VILEVILE wanawaita watoto wasiende likizo nyumbani(na hii tunawashukuru MAWAZIRI UMMY na NDALICHAKO waliliingilia kati suala hili kwa likizo hii).
SWALI LANGU NI;
Je Walimu hawa wanatafuta nini? LENGO LAO NI NINI?
Kama lengo ni kufaulisha, WANATAKA WAFAULISHEJE KWA MTINDO HUU...Mbona matokeo ni yale yale?
Mfano kuna shule iko jirani hapa...MWAKA JANA WAMEFANYA UTARATIBU HUO...Lakini wametoa WANAFUNZI WOTE WAMEENDA SHULE YA KATA ILIYO KARIBU...Hakuna hata mmoja alienda KIPAJI MAALUM...
Ina maana hawafanyi tathmini juu ya mbinu wanazotumia?
Mimi kwa Upande wangu nimeona yafuatayo;-
1. Hii ni dalili ya KUTOKUWAJIBIKA IPASAVYO na UVIVU kwa walimu wetu hawa, Kama hukuweza kufundisha na kumaliza at a given time frame WEWE NI MZEMBE, Hata ukipewa muda mwingi iweje you wont succeed.
2. Ukiwauliza kwanini hivi, watakwambia HIVI NDIVYO TULIVYOKUBALIANA NA WAZAZI KWENYE MKUTANO WA WAZAZI(Huku kwenye mkutano ndipo wanakotumia kupitisha vimichango vyao kwa kisingizio tumekubaliana).
Siri ni hivi...WAZAZI wa zama hizi ni wavivu na hawataki kulibeba jukumu lao la malezi...kwahiyo kukaa na mtoto siku nzima kwao ni AFUENI ya malezi, kwahiyo wazazi na walimu wana malengo tofauti kwa maslahi yao binafsi.
MATOKEO YAKE NI NINI?
1. Mtoto kukosa elimu ya muhimu ya uendeshaji wa maisha yake akiwa mtaani mbali na shule. Watoto wanashinda siku nzima kusoma JIOGRAFIA, HISTORIA YA KINA LIVINGSTONE, HISABATI ZA KKS NA KDS, SAYANSI YA KUMSOMA PANZI...Wanapomaliza masomo na kurudi mtaani, SERIKALI inakuachia mzigo wako mwenyewe TOTO LIMEKUWA JINGA, hata namna ya kuchomeka BULB Ili iwake ATAMWITA FUNDI amfanyie...huku AKILILIA AJIRA YA SERIKALI ili aweze kuifanyia kazi(kuapply) elimu yake ya SAYANSI YA KUMSOMA PANZI na sehemu zake katika maisha yake, wapi aapply HESABU ZA KKS na KDS kwenye maisha...hakuna.
Na sasa hivi sijui kama hata lile somo la STADI ZA KAZI likifundishwa...maana sioni hata watoto wakichonga mifagio ya chelewa kupeleka shuleni...labda ingesaidia...
BILA SHAKA hakuna asiyekubali kuwa kumekithiri yale maneno ya MJIAJIRI kutoka kwa viongozi...hii inathibitisha elimu hii INAYOTOLEWA TOTALLY FAILED
2. NAAMINI TUTAKUBALIANA WOTE KUWA...HAKUNA MAHALA PANAPOHARIBU MAADILI NA TABIA YA MTOTO KAMA SHULENI...
Shuleni hasa za serikali, WANAJAZANA WATOTO WA AINA TOFAUTI WALIOTOKA KWENYE FAMILIA TOFAUTI WENYE MALEZI TOFAUTI NA TABIA TOFAUTI...
Na kwa vile walimu wale wa serikali hawapo pale kurekebisha tabia za mtoto wa mtu...zaidi ya kuhakikisha AMEFUNDISHA ZAKE HESABU ZAKE KUTAFUTA "X"...Huyo mtoto wa mtu hamuhusu na tabia zake mbaya ..
Mwisho wa siku WATOTO wenye tabia mbaya watawaathiri watoto wenye malezi mazuri ..mwisho wa siku wote wanaharibika...
Tujiulize hizi MIMBA ZA SHULENI zimefuata nini huko? Kama shuleni ni sehemu salama tena...?
NI NINI NACHOOMBA KWA WENYE MAMLAKA.
1. Mamlaka ziratibu utoaji wa elimu kwa manufaa mema ya mtoto wa kitanzania ..badala ya kustick kwenye elimu ambayo tayari ina KILA DALILI ZA KUFAIL. Badilisheni sylabus...muda wa kusoma KKS na KDS na ALGEBRA, kusoma PANZI tuutumie kufundisha watoto mazingira halisi ya kuishi maisha yao.
2. GAWENI MUDA WENU HATA MPAKA SAA 6 AU SAA 8 INATOSHA...ILI MTOTO ARUDI MTAANI JAMII IMFUNDISHE "ELIMU MTAA".
3. Haya maadili ambayo kila kukicha viongozi mnalalamikia viongozi wa dini wayatengeneze...unadhani uharibifu wake...unaanzia wapi? Unaanzia kwenu shuleni...mtoto mnakaa nae akiwa mdogo kutwa nzima...akiharibika mnamrudisha mtaani...huyo kiongozi wa dini atatengeneza nini sasa? SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI.
4. Kwa mustakabali wa kimaadili, Wekeni sera ya KULAZIMISHA KILA MZAZI KUHAKIKISHA Mtoto wake anapata elimu ya dini yake kwanza akiwa mdogo kama elimu ya awali. Na anapoanza elimu ya msingi KUHAKIKISHA ule muda baada ya saa 8 kila mtoto aruhusiwe arudi nyumbani na kuhudhuria mafunzo ya dini yake kwa lazima...hii italinda maadili ya jamii.
SERIKALI MSIKAE NA WATOTO KUTWA NZIMA, TUACHIENI NA SISI JAMII TUITENGENEZE JAMII TUITAKAYO. KWA MWALIMU BORA NA ELIMU BORA...MASAA 8 KWA SIKU YANATOSHA KUFUNDISHA NA ELIMU IKAWA NA MANUFAA...KULIKO KUSHINDA NAO SIKU NZIMA.
INATOSHA KWA LEO.
Kuna kitu kizito sana kilichogandamana ktk elimu yetu ambacho kukitoa itakua ni kazi ngumuu... Nacho ni mtaala ulioegemea 'MITIHANI' ... tunahitaji mtazamo mpya.Huu upupu ukemewe kabisa Kuna shule wanajiita Montessori ya hapo town daslam,wanafunzi inakupasa ufike saa kumi na mbili mapema ikifika saa Moja au saa mbili mtoto haruhusiwi kuingia darasani,
Kuna dogo yupo std seven anatoka chanika saa kumi,anapambana na daladala mpka city siku akipitisha tu akifika kule saa 2 haloo
Yule mkuu wao ambaye ni sister ana roho mbayaaaaa huingii shule unaishia getini,yule dogo anahenya Sana
Hawa watawa Wana roho Mbaya sana Aisee Yaani hajali Wala Nini halafu watoto wanarudi saa Moja jioni dogo kufika chanika saa 4 usiku analala masaa ma 4 tu
Daaa hata kama elimu hii too much wadau
Mamlaka shughulikieni mbona huko Nchi za Scandinavian watoto wanatimba skulii saa tatu asubuhi bila presha na wametuzidi mbali wajameni?
Tafakari!
Sasa utampeleka shule gani itayoruhusu mwanao peke yake ndo awe na kamtaala ka peke yake..Mimi mwanangu nitaruhusu shuleni ajifunze masomo 3 tuu, yaan hesabu, English na masomo ya tehama tuu, maana atleast yana uwakika& uhalisia mtaani.