Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

Nampenda sana rais magufuli lakini ananiangusha sana kwenye swala la kusimamia utawala wa sheria.
 
Kidogo kidogo naiona ccm ikidondoka na siyo kuanguka, yaani puuuuuh!
 
Nampenda sana rais magufuli lakini ananiangusha sana kwenye swala la kusimamia utawala wa sheria.
Sasa hakuna cha katiba wala Sheria bali wanatumia vitabu vya marehemu Idd Amin Dada na vitabu vya mabutu, Bokasa, Gadafi Sadam Hussein Elbashiri wa Sudan, Abacha chiluba na Akina mseveni kagame
 
Pesa inayotumika CCM kulazimisha kupendwa kwa nguvu na pia kuhujumu kudhoofisha chadema na upinzani kwa ujumla ni pesa nyingi mno ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, CCM hatataki kuwekeza kwenye maendeleo wapate kura pasipo kudidimiza demokrasia badala yake wamewekeza kwenye kukandamiza demokrasia kwa gharama kubwa ili iwe sehemu ya wajanja madalali wa siasa huko CCM kupiga 10% kiufisadi, hizo mbinu za kuua upinzani ni Dili zao za kujipatia pesa toka kwa mtukufu kwa njia haramu za kishetani

True hii Ni miradi ya kutakasishia Kodi zetu.
Kutumia nguvu kubwa Sana kupambana na upinzani ni mikakati ya kutakasishia Kodi zetu.Naniliu ni wa 17 afrika nzima kwa kuwa na pesa ndefu za ukwapuzi.
 
True hii Ni miradi ya kutakasishia Kodi zetu.
Kutumia nguvu kubwa Sana kupambana na upinzani ni mikakati ya kutakasishia Kodi zetu.Naniliu ni wa 17 afrika nzima kwa kuwa na pesa ndefu za ukwapuzi.
Huko CCM wajanja wakitaka pesa huenda kwa mtukufu na kumwambia kuwa wana mbinu mpya ya kutokomeza upinzani na ndipo hupewa pesa Yaani sasa upinzani ni Dili la kula pesa za mtukufu kwa njia haramu za kishetani, pesa za walipa kodi inateketea kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa
 
Kila baya wawatendealo upinzani linawarudia mara 100.Hili limebuma nalo
Pesa inayotumika kuwanunua covid 19 ingekuwa imetumika kuleta maendeleo sidhani kama CCM wangekuwa wanatumia nguvu kubwa kulazimisha kupendwa na kudidimiza demokrasia
 
Kauli ya kukera ila inafikirisha.Wa kulaumiwa ni mijitu tuliyoipa fursa ya kutuongoza halafu yanatumia "masaburi" kufikiri. Ni aibu ilioje!
Njia ya CCM kula pesa za mtukufu ni kupeleka list ya wapinzani ambao watarejea CCM sasa hii miradi haramu ya CCM inafirisi pesa za walipa kodi
 
Huko CCM wajanja wakitaka pesa huenda kwa mtukufu na kumwambia kuwa wana mbinu mpya ya kutokomeza upinzani na ndipo hupewa pesa Yaani sasa upinzani ni Dili la kula pesa za mtukufu kwa njia haramu za kishetani, pesa za walipa kodi inateketea kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa
True lipo wazi ukitaka pesa washughulikie wapinzani tumeona kwa mahakimu wamelamba teuzi za ujaji, wengine UDC,nk Kama fadhila kwa kuwashughulikia wapinzani na kuhakikisha awapati usingizi.
 
Unajisumbua kuwaza bure tu wenyewe wanajua wanachofanya wanajua kitakachotokea sio wajinga kama ynavyodhan mchezo ulipangwa juu ya meza ya mninga
Kutumia Pesa za walipa kodi kupanga kuwaza vitu vya hovyo visivyo na tija kwa Taifa ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 
Njia ya CCM kula pesa za mtukufu ni kupeleka list ya wapinzani ambao watarejea CCM sasa hii miradi haramu ya CCM inafirisi pesa za walipa kodi
Watz wengi dhoofu Hali mtaani huwezi amini wengi ula mlo mmoja saa 12 Hadi kesho ni watoto wadogo tu ndo angalau upikiwa wasife coz hawawezi himili njaa.
Wengine ula mara 4 kwa wiki yaani mtu akila Leo kesho anavusha Hadi kesho kutwa angalau asife njaa huu ni ushahidi kamili field.Then watawala wao wanasaza Kodi za wananchi masikini Hadi kuzichezea.
Nikitafakari Sana aisee ni bora wakoloni walikuwa na utu kuliko sie waswahili.
 
Hawa watu wanabuni michezo ya kutakasishia Kodi zetu tu. Yule bwana mambo ya hovyo hovyo ya kuhakikisha upinzani unakufa pesa zipo we andaa propals tu.
 
Back
Top Bottom