Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

Mkuu hawa jamaa hawana aibu. Tukikaa kimya wanaona kama vile hatung'amui maovu yao. Kinachotakiwa ni kuwahoji na watoe majibu.
 
Sasa hawatoi mpaka waone wabunge wa upinzani Bungeni ndiyo maana Ndungai akaamua kuwanunua covid 19 akiamini Dili lingrtiki vizuri
Asante mkuu. Nilipenda kujua hizi pesa TRILLION 2 za EU, EU wanatoa kwa BUNGE au kwa mhimili wa SERIKALI? Na hizi pesa zinatolewa kila mwaka au zinatolewa kila baada ya MIAKA mitano?
 
Wananchi wengi mara nyingi wamesema huko hakuna mwenye akili mpaka wanafanya mambo ya ajabu mbele ya wenye akili kama Watanzania wote ni mambumbumbu kama wao. Kuhusu hili, Spika dhaifu wa Bunge dhaifu angekuwa wa kwanza kuhoji uhalali wa jina la Mahabusu, ambaye yuko chini ya Muhimili mwingine, kuletwa ambele yake kwa sababu yoyote ile. Kwa akili ya kawaida kabisa hata ya mchunga ng'ombe wa Kongwa, Spika baada ya kupitia orodha aliyoletewa na kuliona jina la Mahabusu na kuridhika na majina ya wengine, angewaapisha wale 18 mpaka Muhimili wa Mahakama umalizane na Mahabusu maana hakukuwa na haraka yoyote. Kwa jumla wote hawakutakiwa kuapishwa kwenye gereji badala ya Bungeni, bila hata Siwa kuwepo!
 
Ila kwa kweli ki ubinadamu, mtu yoyote angakuwa amevaa viatu vya nusrat hanje asingekubali kukaataa ubunge na kuendelea kusota jela.

Tuwe tu wakweli saa nyingine
Uwe unasoma habari ukiwa umetulia ili uelewe.
Hapa hajazungumziwa Nusrat kukubali ubunge.
 
kesi itakuwa ni ipi hasa hapo? wanathibitishaje beyond reasonable doubt kuwa aliachiwa ili aapishwe na haikuwa coincidence?
 
kesi itakuwa ni ipi hasa hapo? wanathibitishaje beyond reasonable doubt kuwa aliachiwa ili aapishwe na haikuwa coincidence?
Mkuu au na wewe ni wale wale wanaotuona watanzania hatuna akili? Chadema wana mamlaka gani ya kuamrisha magereza kumtoa mahabusu awahi kuapishwa? Chadema watawekaje jina la mahabusu kwenye orodha ya viti maalumu wakati hawajui kesi yake itaisha lini na atatoka lini? Je akifungwa? Mahera katoa taarifa kwa umma kuwa chadema waliwasilisha majina ya wabunge wa viti maalumu 19 Nov 2020. Mahera kwa kukosa kumbukumbu tarehe 20 Nov akiwa azam tv alisema kuwa chadema hawajawasilisha majina ya wabunge wa viti maalumu. ...Hizi sarakasi unazionaje labda???!!
 
Ila kwa kweli ki ubinadamu, mtu yoyote angakuwa amevaa viatu vya nusrat hanje asingekubali kukaataa ubunge na kuendelea kusota jela.

Tuwe tu wakweli saa nyingine
Ishu ni nani na lini amemteua Nusrat kuwa mbunge wa viti maalumu?
 
Huyo eti ndiye mukurugezi wa tume ya taifa ya UCHAFUZI. Kwa picha hiyo anasimamia UCHAGUZI ama UCHAFUZI. Je kwapicha hiyo tunaweje kuamini kuwa uchaguzi AUKUCHAFULIWA ?. Kwa heshima ya nchi tume ya uchaguzi ijiuzuru kweli kama ni tume uchaguzi. LAKINI KAMA NI TUME YA UCHAFUZI IBAKI NA IENDELEE KUCHAFUA. Hiko siku wenye nchi wakichoka ama kujitambua WATAJUTA.
 
How? Come with a solution mkuu.
CCM walizunguka nchi nzima kuutangazia uma kwamba wapinzani wanakwamisha maendeleo na ndiomaana wakakwapua majimbo yote hili bungeni wawe pekeyao chakushangaza leo hii tena wanawalazimisha wapinzani kwenda bungeni kwa nguvu amakweli hii dunia ina maajabu yake. Kuna nini Kwan
 
Mimi kinachonikera mno kwenye utawala huu ni kitendo cha wao kutuona Watanzania ni mazuzu. Wanafanya mambo ya ajabu mno kila mara, wakifikiri sisi ni mazuzu hatuelewi!
 

Nilikuwa nawaza hivi hivi. Hata akili ya kuiba hawana. Tena wangepata na viti maalum kiulaini kabisa.. maana hao 50 lazima wangeenda bungeni, plus na viti maalum, leo wasingehaha kutafuta wabunge wa upinzani kwa kulazimisha hivi (mpaka kuapa garage jamani [emoji2296][emoji2296])!.

Tatizo kubwa ni kuwa anayefikiri na kutoa maamuzi ni mtu mmoja. Pengine anawashirikisha watu wawili watatu, ambao wote wanamuogopa huyo mtu. Hawawezi kumchallenge. Maamuzi yake hayo yanafanyiwa kazi bila kuhoji, kupinga wala kushauri vinginevyo. Hapo ndio tujue uwezo wa kufikiri wa bwana huyo. Kijani ikashinda kwa asilimia 98, uliona wapi akili ya hivi jamani!
 
DPP, NEC, NDUGAI wana kesi ya jinai mahakamani. Ipo wazi kabisa.
 
Sina uhakika ni nani anasema ukweli, ila ofisa kusema kwenye TV kuwa hajapokea ripoti fulani haina maana kuwa ripoti hiyo haijafika ofisini kwake; inaweza kuwa bado iko masjala wakati anatoa tamko hilo.
Je jina ya yule aliekua bado yuko gerezani chadema walijuaje kama atatoka?
 
Hii nchi imesha kuwa ya kisenge, amri ya ccm ndio sheria kwa taasisi zote za serikali, wajinga zaidi ni NEC na watalaam wetu lindeni sheria sio kupokea lolote kutoka juu kwa maslahi yao binafsi mnatuharibia nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…