Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Thank u
Well said
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said
Ebu muacheni huyo dada Nusrat apumzike jela sio kuzuri.
Hayo Mambo ya kuvunjwa kwa katiba na sheria ya nchi tumeshayazoea
Lissu alitumia hoja hii akakosa kura- sijui wewe una lipi jipyaRais ajaye ajiandae kulipa fidia ya mabilion ya shilingi kwa watu walioumizwa na serikali hii ya mabavu
Niwazi kuwa wako watu wengi wamewekwa kizuizini kinyume na sheria siku nchi ikirudishwa kwa utawala wa sheria watakimbilia mahakamani kudai fidia zao
tindo sisi ambao tuko huku mikoani ndio tunajua uadilifu wa huyu mkuu wa nchi. Leo hii kila kona kuna barabara za lami. Hapa nilipo ni porini lakini kuna jengo la halmashauri linasimama. Miaka ya nyuma ilikuwa ni ulaji tu.Kuna watu wanasema serikali hii inaongozwa na mtu muadilifu, jambo hilo huwa ninalikataa wazi wazi na mifano hai iko mingi sana.
Director of Public Prosecutions (DPP).Kirefu cha DPP ni nini?
Unamkumbuka Kwame Nkrumah lakini alivyowaambia watawala wa kikoloni??????????????tindo sisi ambao tuko huku mikoani ndio tunajua uadilifu wa huyu mkuu wa nchi. Leo hii kila kona kuna barabara za lami. Hapa nilipo ni porini lakini kuna jengo la halmashauri linasimama. Miaka ya nyuma ilikuwa ni ulaji tu.
Hapana,fafanua.Unamkumbuka Kwame Nkrumah lakini alivyowaambia watawala wa kikoloni??????????????
Director of Public Prosecution-Mkurugenzi wa Mashitaka ya Umma.Kirefu cha DPP ni nini?
Director of Public ProsecutionsKirefu cha DPP ni nini?
tindo sisi ambao tuko huku mikoani ndio tunajua uadilifu wa huyu mkuu wa nchi. Leo hii kila kona kuna barabara za lami. Hapa nilipo ni porini lakini kuna jengo la halmashauri linasimama. Miaka ya nyuma ilikuwa ni ulaji tu.
Dogo huwa unakosea sana. Ni wajibu wa serikali kukusanya kodi,je zikikusanywa na kuliwa?Uadilifu sio kujenga majengo, kujenga majengo ni wajibu wa serikali yoyote inayokusanya kodi. Nenda Afrika kusini, wazungu walijenga miundombinu ya kutisha, je kipi kilimfanya Nyerere na sisi watanzania kuwapinga? Usichanganye uadilifu na ujenzi wa majengo.