Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo huwa unakosea sana. Ni wajibu wa serikali kukusanya kodi,je zikikusanywa na kuliwa?
Kuifananisha Tanzania na SA ya makuburu ni kukosa busara. Tumia akili wakati unajitetea.
Uadilifu ndio unapelekea leo hii hadi kijiji nilipo taa za barabarani zinawaka. Hii ni sababu ubadhilifu na ufisadi umedhibitiwa.Sina chembe ya shaka ya nilichosema japo hakikufurahishi. Uadilifu ni jambo tofauti na ujenzi wa majengo. Fungua kamusi ya kiswahili uone maana ya uadilifu, ukikuta mahali wanasema uadilifu ni kujenga majengo, uje tuendelee na mjadala.
huelewi naona
HAKIMU ALITWA NA NDO ALITOA ODA
Uadilifu ndio unapelekea leo hii hadi kijiji nilipo taa za barabarani zinawaka. Hii ni sababu ubadhilifu na ufisadi umedhibitiwa.
Acha ushambaNarudia tena, kama taa barabarani ndio uadilifu, basi makaburu wa Afrika kusini walikuwa na uadilifu wa hali ya juu.
Daima Popote Pale....Kirefu cha DPP ni nini?
Sasa mimi na ww mshamba nani. Kama umeona taa tu unasema ni uadilifu, kuna ushamba zaidi ya huo?Acha ushamba
Najua upande uliopo mlizoea kuwanyonga wabunge na michango ya bodaboda.Sasa mimi na ww mshamba nani. Kama umeona taa tu unasema ni uadilifu, kuna ushamba zaidi ya huo?
Mahakama haina nguvu zaidi ya DPP. DPP anauwezo wa kumfokea hakim na kumpa Amri. Hujiulizi kwanini mahakama inahukum kwa ushabiki na sio kufata sheria? Kama mahakama haiko huru unategemea nani ataiamini ? Ndio maana mtu anapelekwa jela wether mahaka inataka au haitaki na kutolewa hivyohivyo. Punguza presha saivi wanasheria ni kama wapowapo tu.DPP anatishia kupeleka watu gerezani. lakini DPP hasemi kwanini amevunja CPA, kifungu cha 91, Sura ya 20. Shauri lipo mahakamani, hakimu/Jaji ndio wanaweza kumtoa mtuhumiwa gerezani kwa remove order sio DPP (mlalamikaji). Nolle Prosequi inakutaka ueleze mahakama. Hukufanya hivyo.
Sheria haikupi mamlaka ya kumpeleka na kumtoa mtuhumiwa gerezani bila kibali cha mahakama. Ulichofanya kwa Nusrat ni mwendelezo wa kukanyaga sheria kwa kiburi tu. Umeweka bila kosa la msingi na umewatoa gerezani bila kufuata utaratibu. Kifupi umewakomoa, Nusrat kahongwa ubunge
DPP, ukisoma chapter 20, Section 91, CPA, part IV "Power of the DPP to enter nolle prosequi" haikupi mamlaka ya kumtoa mahabusu gerezani bila amri ya mahakama. Sheria inakutaka uieleze mahakama au kujulisha mahakama kwa maandishi kwa niaba ya Jamhuri. Hujafanya hivyo kwa NUSRAT.
Kwa utaratibu wa magereza Tanzania, wafungwa wanahesabiwa saa nane mchana, wanajiandaa kuingia selo saa tisa hadi saa kumi. DPP hana mamlaka ya kwenda gerezani kumtoa mahabusu au mfungwa saa moja na nusu usiku bila kibali cha mahakama kwa amei ya hakimu au Jaji. DPP hana mamlaka hayo, kisheria.
Kuhusu hilo la Freeman Mbowe, kwamba pamoja na wenzake, Mlimani City aliongoza kwa kuimba "Mungu ibariki Chadema" sehemu ya "Mungu ibariki Tanzania", kwanini iwe kosa kwa Mbowe sasa (ukitishia kumkamata) na iwe sio kosa kwa Nusrat hadi kuachiwa huru na mashtaka yake kufutwa?
Kama ulimkamata Nusrat kwa kosa hilo na ukamuacha iwe vipi halali kudhani Freeman Mbowe alitenda kosa hilo ambalo umelifuta kwa Nusrat na wenzake? UHALALI huo unatoka wapi? Kama Nusrat aliachiwa na kufutiwa mashtaka maana yake sio kosa, kwanini ulete stori nyinginezo.
Sio wajibu wa DPP kukamata watuhumiwa. Sio wajibu au jukumu la DPP kuwatoa watuhumiwa gerezani. DPP ni mwendesha mashtaka. Kusema "au na yeye (Mbowe) nimkamate?) ni kutishia raia kwa mamlaka ya ofisi yako. Sheria hazifuatwi. Tumeamua kufuata watu sio sheria.
DPP ni mlalamikaji katika kesi za jinai akiwakilisha Jamhuri. Mfungwa/mahabusu akiwa gerezani ni mali ya Gereza. Hakimu/Jaji wanaweza kumtoa gerezani kwa amri ya mahakama sio DPP. Katika mashauri ya Jinai, Jamhuri ni mlalamikaji. Kesi inafutwa na mahakama. Baada ya DPP kujiondoa.
DPP anasimama mbele ya vyombo vya habari anatamba kwamba "mimi ndie nimemtoa gerezani kwa mamlaka yangu" hadhi na mamlaka ya mahakama inapokwa na DPP. Kuirejesha nchi yetu kwenye misingi, lazima tuwaeleze hawa watu ukweli, sio "semi god".
Mamlaka ya mahakama imeporwa.
#MMM, Martin Maranja Masese
Najua upande uliopo mlizoea kuwanyonga wabunge na michango ya bodaboda.
Katiba iko sabbatical leave! Sasa hivi Spika anazo amri za kuwaagiza akina DPP na wengineo bila kuhojiwa na tayari walikwisha jitengenezea kinga ya Kovidi 19.DPP anatishia kupeleka watu gerezani. lakini DPP hasemi kwanini amevunja CPA, kifungu cha 91, Sura ya 20. Shauri lipo mahakamani, hakimu/Jaji ndio wanaweza kumtoa mtuhumiwa gerezani kwa remove order sio DPP (mlalamikaji). Nolle Prosequi inakutaka ueleze mahakama. Hukufanya hivyo.
Sheria haikupi mamlaka ya kumpeleka na kumtoa mtuhumiwa gerezani bila kibali cha mahakama. Ulichofanya kwa Nusrat ni mwendelezo wa kukanyaga sheria kwa kiburi tu. Umeweka bila kosa la msingi na umewatoa gerezani bila kufuata utaratibu. Kifupi umewakomoa, Nusrat kahongwa ubunge
DPP, ukisoma chapter 20, Section 91, CPA, part IV "Power of the DPP to enter nolle prosequi" haikupi mamlaka ya kumtoa mahabusu gerezani bila amri ya mahakama. Sheria inakutaka uieleze mahakama au kujulisha mahakama kwa maandishi kwa niaba ya Jamhuri. Hujafanya hivyo kwa NUSRAT.
Kwa utaratibu wa magereza Tanzania, wafungwa wanahesabiwa saa nane mchana, wanajiandaa kuingia selo saa tisa hadi saa kumi. DPP hana mamlaka ya kwenda gerezani kumtoa mahabusu au mfungwa saa moja na nusu usiku bila kibali cha mahakama kwa amei ya hakimu au Jaji. DPP hana mamlaka hayo, kisheria.
Kuhusu hilo la Freeman Mbowe, kwamba pamoja na wenzake, Mlimani City aliongoza kwa kuimba "Mungu ibariki Chadema" sehemu ya "Mungu ibariki Tanzania", kwanini iwe kosa kwa Mbowe sasa (ukitishia kumkamata) na iwe sio kosa kwa Nusrat hadi kuachiwa huru na mashtaka yake kufutwa?
Kama ulimkamata Nusrat kwa kosa hilo na ukamuacha iwe vipi halali kudhani Freeman Mbowe alitenda kosa hilo ambalo umelifuta kwa Nusrat na wenzake? UHALALI huo unatoka wapi? Kama Nusrat aliachiwa na kufutiwa mashtaka maana yake sio kosa, kwanini ulete stori nyinginezo.
Sio wajibu wa DPP kukamata watuhumiwa. Sio wajibu au jukumu la DPP kuwatoa watuhumiwa gerezani. DPP ni mwendesha mashtaka. Kusema "au na yeye (Mbowe) nimkamate?) ni kutishia raia kwa mamlaka ya ofisi yako. Sheria hazifuatwi. Tumeamua kufuata watu sio sheria.
DPP ni mlalamikaji katika kesi za jinai akiwakilisha Jamhuri. Mfungwa/mahabusu akiwa gerezani ni mali ya Gereza. Hakimu/Jaji wanaweza kumtoa gerezani kwa amri ya mahakama sio DPP. Katika mashauri ya Jinai, Jamhuri ni mlalamikaji. Kesi inafutwa na mahakama. Baada ya DPP kujiondoa.
DPP anasimama mbele ya vyombo vya habari anatamba kwamba "mimi ndie nimemtoa gerezani kwa mamlaka yangu" hadhi na mamlaka ya mahakama inapokwa na DPP. Kuirejesha nchi yetu kwenye misingi, lazima tuwaeleze hawa watu ukweli, sio "semi god".
Mamlaka ya mahakama imeporwa.
#MMM, Martin Maranja Masese
Hupendi viongozi waadilifuHoja yaki ni nini hapa?
Paragrapha ya 1,2,3,4 umeandika vizuri sana na naekezo yako ni sahihi kabisa. Lakini paragraph 5 nad ya 6 umepotosha kwa kupindisha maneno ya DPP, na mwishowe paragraph za 7,8,9 ni speculative sana kwa sababu hujasema DPP alimtoaje gerezani, unachukulia kuwa DPP alikwenda akawaambia maafisa wa magereza kumtoa bila kujua kuwa huenda aliripoti mahakamani kuwa amefuta kesi hizo na hivyo mahakama ikatoa amri za kuwatoa, lakini amri hizo zikafika hkwa mkuu wa magereza na process ya kuwaachia ikakamilika muda huo waliotolewa. Kuna mmoja wa mahabusu hao amesema kuwa walipata taarifa mapema sana kuwa watatoka siku hiyo kwa hiyo walikuwa wamejiandaa kutoka, hiyo inonyesha kuwa siyo kweli kwamba walikurupushwa na DPP wawatoe wakati huo huo.DPP anatishia kupeleka watu gerezani. lakini DPP hasemi kwanini amevunja CPA, kifungu cha 91, Sura ya 20. Shauri lipo mahakamani, hakimu/Jaji ndio wanaweza kumtoa mtuhumiwa gerezani kwa remove order sio DPP (mlalamikaji). Nolle Prosequi inakutaka ueleze mahakama. Hukufanya hivyo.
Sheria haikupi mamlaka ya kumpeleka na kumtoa mtuhumiwa gerezani bila kibali cha mahakama. Ulichofanya kwa Nusrat ni mwendelezo wa kukanyaga sheria kwa kiburi tu. Umeweka bila kosa la msingi na umewatoa gerezani bila kufuata utaratibu. Kifupi umewakomoa, Nusrat kahongwa ubunge
DPP, ukisoma chapter 20, Section 91, CPA, part IV "Power of the DPP to enter nolle prosequi" haikupi mamlaka ya kumtoa mahabusu gerezani bila amri ya mahakama. Sheria inakutaka uieleze mahakama au kujulisha mahakama kwa maandishi kwa niaba ya Jamhuri. Hujafanya hivyo kwa NUSRAT.
Kwa utaratibu wa magereza Tanzania, wafungwa wanahesabiwa saa nane mchana, wanajiandaa kuingia selo saa tisa hadi saa kumi. DPP hana mamlaka ya kwenda gerezani kumtoa mahabusu au mfungwa saa moja na nusu usiku bila kibali cha mahakama kwa amei ya hakimu au Jaji. DPP hana mamlaka hayo, kisheria.
Kuhusu hilo la Freeman Mbowe, kwamba pamoja na wenzake, Mlimani City aliongoza kwa kuimba "Mungu ibariki Chadema" sehemu ya "Mungu ibariki Tanzania", kwanini iwe kosa kwa Mbowe sasa (ukitishia kumkamata) na iwe sio kosa kwa Nusrat hadi kuachiwa huru na mashtaka yake kufutwa?
Kama ulimkamata Nusrat kwa kosa hilo na ukamuacha iwe vipi halali kudhani Freeman Mbowe alitenda kosa hilo ambalo umelifuta kwa Nusrat na wenzake? UHALALI huo unatoka wapi? Kama Nusrat aliachiwa na kufutiwa mashtaka maana yake sio kosa, kwanini ulete stori nyinginezo.
Sio wajibu wa DPP kukamata watuhumiwa. Sio wajibu au jukumu la DPP kuwatoa watuhumiwa gerezani. DPP ni mwendesha mashtaka. Kusema "au na yeye (Mbowe) nimkamate?) ni kutishia raia kwa mamlaka ya ofisi yako. Sheria hazifuatwi. Tumeamua kufuata watu sio sheria.
DPP ni mlalamikaji katika kesi za jinai akiwakilisha Jamhuri. Mfungwa/mahabusu akiwa gerezani ni mali ya Gereza. Hakimu/Jaji wanaweza kumtoa gerezani kwa amri ya mahakama sio DPP. Katika mashauri ya Jinai, Jamhuri ni mlalamikaji. Kesi inafutwa na mahakama. Baada ya DPP kujiondoa.
DPP anasimama mbele ya vyombo vya habari anatamba kwamba "mimi ndie nimemtoa gerezani kwa mamlaka yangu" hadhi na mamlaka ya mahakama inapokwa na DPP. Kuirejesha nchi yetu kwenye misingi, lazima tuwaeleze hawa watu ukweli, sio "semi god".
Mamlaka ya mahakama imeporwa.
#MMM, Martin Maranja Masese
Hupendi viongozi waadilifu
UTOPOLOKirefu cha DPP ni nini?
Mkuu usihangaike na mbumbumbu wa humu JF. Wakisikia kuwa DPP amewaachia mahabusu wanafikiri anaenda yeye in person kuwatoa. Wakati utaratibu ni lazima removal order itolewe na Mahakama, kuna uwezekano removal order imetolewa mapema lakini process ya kuwatoa ndiyo ilichelewa hadi ikafika huo muda wanaousema kama ilivyokuwa kwa kina Mbowe removal order ilitoka mapema lakini walitoka Segerea jioni. Achana na hao wanasaccos uelewa wao ni mdogo sana.Paragrapha ya 1,2,3,4 umeandika vizuri sana na naekezo yako ni sahihi kabisa. Lakini paragraph 5 nad ya 6 umepotosha kwa kupindisha maneno ya DPP, na mwishowe paragraph za 7,8,9 ni speculative sana kwa sababu hujasema DPP alimtoaje gerezani, unachukulia kuwa DPP alikwenda akawaambia maafisa wa magereza kumtoa bila kujua kuwa huenda aliripoti mahakamani kuwa amefuta kesi hizo na hivyo mahakama ikatoa amri za kuwatoa, lakini amri hizo zikafika hkwa mkuu wa magereza na process ya kuwaachia ikakamilika muda huo waliotolewa. Kuna mmoja wa mahabusu hao amesema kuwa walipata taarifa mapema sana kuwa watatoka siku hiyo kwa hiyo walikuwa wamejiandaa kutoka, hiyo inonyesha kuwa siyo kweli kwamba walikurupushwa na DPP wawatoe wakati huo huo.
Hivi kwanini Mungu ulinifanya nizaliwe kwenye nchi ya Kiboya namna hii ?DPP anatishia kupeleka watu gerezani. lakini DPP hasemi kwanini amevunja CPA, kifungu cha 91, Sura ya 20. Shauri lipo mahakamani, hakimu/Jaji ndio wanaweza kumtoa mtuhumiwa gerezani kwa remove order sio DPP (mlalamikaji). Nolle Prosequi inakutaka ueleze mahakama. Hukufanya hivyo.
Sheria haikupi mamlaka ya kumpeleka na kumtoa mtuhumiwa gerezani bila kibali cha mahakama. Ulichofanya kwa Nusrat ni mwendelezo wa kukanyaga sheria kwa kiburi tu. Umeweka bila kosa la msingi na umewatoa gerezani bila kufuata utaratibu. Kifupi umewakomoa, Nusrat kahongwa ubunge
DPP, ukisoma chapter 20, Section 91, CPA, part IV "Power of the DPP to enter nolle prosequi" haikupi mamlaka ya kumtoa mahabusu gerezani bila amri ya mahakama. Sheria inakutaka uieleze mahakama au kujulisha mahakama kwa maandishi kwa niaba ya Jamhuri. Hujafanya hivyo kwa NUSRAT.
Kwa utaratibu wa magereza Tanzania, wafungwa wanahesabiwa saa nane mchana, wanajiandaa kuingia selo saa tisa hadi saa kumi. DPP hana mamlaka ya kwenda gerezani kumtoa mahabusu au mfungwa saa moja na nusu usiku bila kibali cha mahakama kwa amei ya hakimu au Jaji. DPP hana mamlaka hayo, kisheria.
Kuhusu hilo la Freeman Mbowe, kwamba pamoja na wenzake, Mlimani City aliongoza kwa kuimba "Mungu ibariki Chadema" sehemu ya "Mungu ibariki Tanzania", kwanini iwe kosa kwa Mbowe sasa (ukitishia kumkamata) na iwe sio kosa kwa Nusrat hadi kuachiwa huru na mashtaka yake kufutwa?
Kama ulimkamata Nusrat kwa kosa hilo na ukamuacha iwe vipi halali kudhani Freeman Mbowe alitenda kosa hilo ambalo umelifuta kwa Nusrat na wenzake? UHALALI huo unatoka wapi? Kama Nusrat aliachiwa na kufutiwa mashtaka maana yake sio kosa, kwanini ulete stori nyinginezo.
Sio wajibu wa DPP kukamata watuhumiwa. Sio wajibu au jukumu la DPP kuwatoa watuhumiwa gerezani. DPP ni mwendesha mashtaka. Kusema "au na yeye (Mbowe) nimkamate?) ni kutishia raia kwa mamlaka ya ofisi yako. Sheria hazifuatwi. Tumeamua kufuata watu sio sheria.
DPP ni mlalamikaji katika kesi za jinai akiwakilisha Jamhuri. Mfungwa/mahabusu akiwa gerezani ni mali ya Gereza. Hakimu/Jaji wanaweza kumtoa gerezani kwa amri ya mahakama sio DPP. Katika mashauri ya Jinai, Jamhuri ni mlalamikaji. Kesi inafutwa na mahakama. Baada ya DPP kujiondoa.
DPP anasimama mbele ya vyombo vya habari anatamba kwamba "mimi ndie nimemtoa gerezani kwa mamlaka yangu" hadhi na mamlaka ya mahakama inapokwa na DPP. Kuirejesha nchi yetu kwenye misingi, lazima tuwaeleze hawa watu ukweli, sio "semi god".
Mamlaka ya mahakama imeporwa.
#MMM, Martin Maranja Masese
Jiue kabisa!Hivi kwanini Mungu ulinifanya nizaliwe kwenye nchi ya Kiboya namna hii ?