Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Nusrat Hanje ndiye amesaidia hapa kuonyesha ni nani muongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ccm hivi hawakufikiria hiki kipengele kitawavua nguo?Nusrat Hanje ndiye amesaidia hapa kuonyesha ni nani muongo
Hapa hatuzungumzii ishu ya Nusrat.Hapa tunazungumzia ishu ya CCM kucheza movie kiboya!Ila kwa kweli ki ubinadamu, mtu yoyote angakuwa amevaa viatu vya nusrat hanje asingekubali kukaataa ubunge na kuendelea kusota jela.
Tuwe tu wakweli saa nyingine
Yaaa CCM akili hawana kabisaHapa hatuzungumzii ishu ya Nusrat.Hapa tunazungumzia ishu ya CCM kucheza movie kiboya!
Hata hii piaNusrat Hanje ndiye amesaidia hapa kuonyesha ni nani muongo
Ila kwa kweli ki ubinadamu, mtu yoyote angakuwa amevaa viatu vya nusrat hanje asingekubali kukaataa ubunge na kuendelea kusota jela.
Tuwe tu wakweli saa nyingine
Ila kwa kweli ki ubinadamu, mtu yoyote angakuwa amevaa viatu vya nusrat hanje asingekubali kukaataa ubunge na kuendelea kusota jela.
Tuwe tu wakweli saa nyingine
Hapa hatuzungumzii ishu ya Nusrat.Hapa tunazungumzia ishu ya CCM kucheza movie kiboya!
Swali la kujiuliza. Hawa ccm ndio hawana akili au ccm watanzania washatuona hatuna akili ndio maana wanatengeneza movie bila hata kuihariri?
CCM maboya sana yaani hii ishu imewapaka mavi kinomaCCM bhana sijui akili walishazipeleka wapi? Mahera anadai majina ya covid 19 yaliletwa na chadema ndio hayo aliyoyapeleka kwa Ndugai.
1. Mahera anadai CHADEMA iliwasilisha hayo majina tarehe 19 November 2020. Tarehe 20 Nov 2020 huyohuyo Mahera akiwa Azam tv alidai tume haijapokea majina ya viti maalumu kutokea CHADEMA. (Angalieni hizi tarehe mtaona nani muongo). Wanasema ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu maana hii ni aibu.
2. Nusrat Hanje: tufanye basi ni kweli Mahera anasema ukweli kuwa Chadema iliwasilisha majina ya viti maalumu. Swali la kujiuliza: Nusrat Hanje alikuwa mahabusu, Chadema wana mamlaka gani nchi hii ya kuweka jina la Nusrat kwenye orodha ya viti maalumu na kuhakikisha wanamtoa mahabusu ili akaapishwe? Hapa ndio ninapowaona ccm either walishatuona watanzania hatuna akili au wao ndio hawana akili. Chadema ina mamlaka gani ya kumtoa mwanachama wake mahabusu ili awahi kuapishwa?
Ushauri wangu kwa chadema. Fungueni kesi mahakamani. Hii kesi ni rahisi sana kushinda. CCM imepanga huu mchezo kiboya sana.
Tunashukuru Nusrat Hanje ametoka mahabusu. Sasa dada wa watu yupo huru.
Ukitaka kumuua adui yako kirahisi deal na mke wake..........(Enyi waume ishini na wake zenu kwa akili)CCM bhana sijui akili walishazipeleka wapi? Mahera anadai majina ya covid 19 yaliletwa na chadema ndio hayo aliyoyapeleka kwa Ndugai.
1. Mahera anadai CHADEMA iliwasilisha hayo majina tarehe 19 November 2020. Tarehe 20 Nov 2020 huyohuyo Mahera akiwa Azam tv alidai tume haijapokea majina ya viti maalumu kutokea CHADEMA. (Angalieni hizi tarehe mtaona nani muongo). Wanasema ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu maana hii ni aibu.
2. Nusrat Hanje: tufanye basi ni kweli Mahera anasema ukweli kuwa Chadema iliwasilisha majina ya viti maalumu. Swali la kujiuliza: Nusrat Hanje alikuwa mahabusu, Chadema wana mamlaka gani nchi hii ya kuweka jina la Nusrat kwenye orodha ya viti maalumu na kuhakikisha wanamtoa mahabusu ili akaapishwe? Hapa ndio ninapowaona ccm either walishatuona watanzania hatuna akili au wao ndio hawana akili. Chadema ina mamlaka gani ya kumtoa mwanachama wake mahabusu ili awahi kuapishwa?
Ushauri wangu kwa chadema. Fungueni kesi mahakamani. Hii kesi ni rahisi sana kushinda. CCM imepanga huu mchezo kiboya sana.
Tunashukuru Nusrat Hanje ametoka mahabusu. Sasa dada wa watu yupo huru.
Hebu fafanua kidogo.Ukitaka kumuua adui yake kirahisi deal na mke wake..........(Enyi waume ishini na wake zenu kwa akili)